Mwanamke akikupenda...

Ila mapenzi matamu kama asali ukipendwa fahari sna.wanawake wanajua na kuwa na mapenzi ya dhati co wote ila baadhi ya ni wakwel kbx
 
Kuna dada alinipenda mno ila tulikuja gombana alikua kama mbogo alienda olewa na mwingine hasira zilipoisha ananikumbuka mno cm kila wkt
 
Mapenzi ya kifilipino hayo ukiya apply kwenye maisha ya kibongo utapata tabu.Mapenzi ni kama chombo cha kusaidia kuzaliana kwa binaadamu kama ilivyo kwa wanyama wengine tu,ila sie tumeongezewa mbwembwe nyingi,mwisho wasiku inakuja kutukosti.
Mtu anataka umpigie simu mara 3 kwa siku ujue amekula nini kuanzia asubuhi mpaka jioni,ukimtexti eti umuite baby,honey,my love sjui na majina mengine kibao ya uongo na kweli,kabla ya kulala lazima muongee zaidi ya dakika 30,ajue uko nan na wapi all the time.To hell with that lavidavi bullcrap,I rather prefer the friend with benefits/no strings attached arangement.
 
Kweli kabisa huwa anachukia anakuwa mbogo. nashauri wabembelezeni wake, wachumba, ma girlfriend mtafaidi zaidi, ukimuelewa kwua amekupenda kwa dhati basi funguka kwake utakula mema yote kwa roho safi atakupa bila ya kuzingatia muda na wakati.
Mwanamke akikupenda amekupenda kweli, ukimkorofisha tu, tayari anakuwa mnyama!
Kweli kabisa huwa anachukia anakuwa mbogo. nashauri wabembelezeni wake, wachumba, ma girlfriend mtafaidi zaidi, ukimuelewa kwua amekupenda kwa dhati basi funguka kwake utakula mema yote kwa roho safi atakupa bila ya kuzingatia muda na wakati.
 
Mwanamke akikupenda kweli na wewe kama unampenda
hata kama nchi ina vita,we utakuwa kutwa unatabasamu tu lol

Kupendwa raha jamani..... huuuuu!!! Kupendwa raha raha raha ...... Its the best feeling one can have ......
 
Back
Top Bottom