mito
JF-Expert Member
- Jun 20, 2011
- 10,513
- 10,404
ahsante sana kaka yangu wa moyoni mito lakin je hivi umeshawah kukutana na binti wa kike from no where akakuvutia sana na kabla hata hujasema naye ghafla na mwanaume mwingine maeneo hayo hayo akatamka kwa nguvu binti kanivuti? kama ndiyo mazingira kama hayo nini hupelekea? manake mimi kuna maali nimemuuliza Catherine kama kwa mfano kakutana na BAK na ni mwanaume mzuri ambaye mwanamke yeyote anaweza kuvutiwa naye pasi hata kuingia naye kwa bed nini kitakacho mvutia cha kwanza. nafikir amejibu vizuri hebu msome halafu unipe na wewe majibu yako.
gfsonwin jibu la swali lako la kwanza hapo kwa red ni big YES, ngoja nikupe mfano kidogo wa experience yangu. Mwaka juzi nilikuwa na rafiki zangu watatu (so mi wa nne) kwenye daladala maeneo ya Mwenge. Tulikuwa tumekaa siti za nyuma kabisa, hivyo kila aliyeingia na kutoka tuliweza kumuona vizuri. Tulipofika kituo fulani aliingia mama mmoja hivi (hakuwa binti na alionekana kabisa kuwa ameolewa , siyo kwa kuangalia pete lakini). Honestly alikuwa mzuri kweli kwa macho yangu by looking, figure, reception, miguu, dressing etc. Baada ya kama vituo vitatu vinne hivi yule mama akashuka. Basi mi nikajiachia kwa kutamka (nawambia rafiki zangu), mmh aisee yule mama ni mzuri kweli kweli hata siwezi kumuoa! Huwezi amini ilikuwa kama walikuwa wananisubiri nifungulia mjadala. Kila mmoja wetu alikubali kuwa mama yule ni mrembo kweli kweli! sema tu walikuwa hawajafunguka, maana wanaume wengi wanaona na kumezea tu.
Nikija kwenye swali lako la pili hapo kwa bold. Kinachopelekea hivi ni kwamba wanaume wengi tuna vitu similar ambavyo tunavipenda kwa mwanamke. Wengi tunapenda figure, reception, miguu, wowowo, etc. Na wanawake kwa kuligundua hili ndo maana wengi wako bize kuweka sawa reception zao, figure hata wengine wanadiriki ku-create artifificial wowowo.
Angalizo: pamoja na kuwa na vitu similar haimaanishi wote watapenda kufanya naye mapenzi. Of course, wapo watakaoenda ktk extent hiyo, lakini pia wapo ambao hupenda ku-appreciate uumbaji wa Mungu tu basi. Kwa mfano binafsi nampenda wema kwa figure, reception etc, (kiukweli muonekano wake ni mvuto kwa wanaume wengi) lakini hata wakinipa na ghorofa juu siwezi lala naye! Hii ni kwa sababu ni hafiti kwenye hatua ya pili (baada ya kumuona kwa macho) niliyoieleza kwenye last comment yangu hapo juu