Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

lol! wee una hatari sana...nimeshakuwa target yako...majina yote hapa JF hukuyaona au hata ya kusadikika ila ukaliona la BAK tu!!! Haya bana "liwalo na liwe"...nisalimie kichanga.




BAK siku nyingi sijakuona ma dearest brother, and me saying so it means that your are man enough to drive Catherine and any other woman crazy in every way. kichanga hajambo
 
Last edited by a moderator:
Muonekano kuanzia juu hadi chini hii inahusisha pia mavazi ya kimahaba, titi la saa sita, umbo namba 8, mguu wa bia. Vingine malizia...

umesema vizuri sana mkuu lakin je ina maana mvuto umekaa kwenye muonekano wa nje tu?
 
Kwanza nimecheka sana hapo kwenye ulinganisho wa Erotica mlatino na gfsonwin mbantu! Haya tuendelee...kama nilivyosema awali mvuto mara nyingi hutokana na nguvu ya ndani ambayo wakati mwingine haizuiliki ipo tu hata kama naweza kuwaambia watu kwamba napenda figure la kibantu (kwa macho) au tabia (hisia ya ndani) bado yategemea mwanamke aliyesimama mbele yangu kama ataisukuma ile nguvu ya ndani nisiyoweza kuizuia.

Lakini hapo pia lazima tutofautishe tamaa ya ngono na mvuto.........kama kwa ngono mbona ni rahisi kukwambia kwamba mimi nakufa kwa mbantu gfsonwin............Lakini inapofika kwenye mvuto inakuwa complicated.............nitasema kwa urahisi "napenda mwenye manners a,b,c" au figure namba 8" lakini nakuhakikishia mpaka nitakapomuona ndipo naweza kukwambia "ehee huyu ananivutia".

Mwisho: Usimuulize hezbend wako hili swali!!!

haya sitomuuliza ingawa nilishamuuliza siku nyingi sana so majibu yake ninayo. sasa platozoom si mwanzo umekubaliana na mimi kuwa mvuto huwasha tamaa ya kufanya matusi?? sasa je unapoitofautisha mbona wazidi kunichanganya zaid? nieleweshe please.
 
Last edited by a moderator:
Mimi ngoja nifunguke zaidi, pamoja na mambo mengi ambayo wadau wameyaongea pia mvuto unaweza kuja bila hata ya kumuona muhusika. Yani hata kwa kusikia jinsi anavyoongea unaweza vutiwa mpaka ukapata hamasa ya kufanya matusi! Mfano hapa JF kuna mdada mmoja ananikosha kwa jinsi anavyochangia, ngoja nimvutie kasi!
 
gfsonwin hapa kuna mambo makubwa mawili
1) Mwanaume anaanza kupenda kwa kuona. Anapokuwa anamuangalia mwanamke for the first time,mara nyingi huwa ana-concentrate zaidi zile qualities anazozipenda yeye kama vile figure, reception, miguu, miondoko n.k kama walivyosema wachangiaji waliotangulia. Kwa kuzingatia hili ndo maana ndg zetu wa kiislamu hawataki wanawake wavae mavazi yanayochoresha au kuonyesha maungo yao. Wanaamini yatawatamanisha wanaume, which is 100% true

2) Akisharidhika kwa macho anaanza kutamani kisha ndo sasa anaanza kuangalia qualities zingine ambazo mara nyingi atazigundua baada ya kumu-approach for the first time, kuambiwa au kadri atakavyoendelea kuwa naye karibu na mwanamke husika.

Kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo juu, combination ya hivi vyote ndo vinafanya mwanamke fulani awe na mvuto kwa mwanaume wengi

ahsante sana kaka yangu wa moyoni mito lakin je hivi umeshawah kukutana na binti wa kike from no where akakuvutia sana na kabla hata hujasema naye ghafla na mwanaume mwingine maeneo hayo hayo akatamka kwa nguvu binti kanivuti? kama ndiyo mazingira kama hayo nini hupelekea? manake mimi kuna maali nimemuuliza Catherine kama kwa mfano kakutana na BAK na ni mwanaume mzuri ambaye mwanamke yeyote anaweza kuvutiwa naye pasi hata kuingia naye kwa bed nini kitakacho mvutia cha kwanza. nafikir amejibu vizuri hebu msome halafu unipe na wewe majibu yako.
 
Last edited by a moderator:
Japo watu wengi wamechangia lakini nahisi hujapata jibu,
and of coz hili suala linachanganya na mi nna imani umeumiza
sana kichwa kuhusu hili.

I think ni vigumu kutofautisha mvuto na tamaa ya kufanya ngono
kwa mara ya kwanza unapomuona msichana. Mwanaume akikiri
kwamba msichana ni mzuri si lazima wado ila akisema mdada ana
mvuto hapo lazima kuna kitu kinafuata. Mvuto ni uhalalishaji wa kufanya
ngono, na kila mwanaume ana vitu vyake ambavyo huwa vinamchanganya.

Mvuto kwa asilimia kubwa ni muonekano wa nje wa mdada, ambao
hupeleka hisia za mwanaume kufanya tendo la ngono, kwa nn!
Mvuto upo siku ya kwanza tu ya kumuona huyo mwanamke baada
ya hapo huwa ni hisia ndio zinatawala. Ukishafanikiwa kuvutika
na uka do naye, basi ukiwa na hamu tu hisia zako ni kwake hapo
given amekufurahisha!

Si kila msichana mzuri ana mvuto bali ana mvuto kwa wale
wanaopenda uzuri wake kama kigezo cha haja, na si kila msichana
mwenye mvuto ni mzuri bali pia ni mzuri kwa wale wanaovutika nae sana.
Kwa kuwa wanasema uzuri mtu upo machoni pa mtu, kila mtu ana sifa zake.

aisee Nawaza hapa sasa naona shule yangu inazidi kukolea na napenda zaid wachangiaji wasome btn lines ili waone mambo ya msingi uliyoyataja hapa. kwanza hongera wa kuwa mwelimishaji mzuri.

haya tuendelee from your post inamaana mvuto kwa mtu huwa siyo endelevu? na je kama siyo huoni kama kuna hatari ya mahusianao kuvunjika? hapa pana kitu cha msingi sana wana mmu na nafikir ndicho kinachopunguza hisia za mapenzi katika mahusiano tuliyo nayo.
Please nawaomba akina cartura Allien BAK Kaizer mito Bishanga Mr Rocky na wengine wote watusaidie hapa kufafanua
 
Last edited by a moderator:
yes, hadi kufikia kugombaniwa na wanaume. Ila kiukweli, huyo mwanamke anakuwa na kitu kinachowavutia wanaume i.e anadeal na issues sio watu, anawazidi kitu wanaume (akili, pesa, cheo)

lakini bidada huku kugombaniwa hakuwez kuwa kuna sababisbhwa na urahisi tu wa mwanamke mwenyewe? au na wenyewe ni sababu ya mvuto usiojulikana kama ulivyosema?
 
kwa mtazamo wangu, tumeangalia hili suala kwa kuchukulia 'basic instincts' zaidi (one-night-stand kinda thing)...katika hali ya kawaida, na as a preliminary stage, unaweza kuvutiwa na mwamamke kwa sababu ana physical features, standard of behaviour, reasoning capacity etc unazotamani mwanamke awe nazo...
sasa kaka yangu wa moyoni cartura umenifundisha jambo hapa ila hebu niambie mvuto huu wa mwanamke huweza kuisha ama ni kitu endelevu katika maisha?
 
Last edited by a moderator:
Aaaha dada yangu gfsonwin naona aibu kuchangia hapo kwa red.
Ngoja nisome comments za wengine kwanza

lol.......! sasa waogopa nini kaka yangu? hapa tunaelimishana tu ili tudumishe mapenzi yetu, manake hakuna ajuaye sana na kila siku napenda kujifunza zaid.
 
Umenikumbusha,jana tu nilikutana na dada mmoja,wacha kabisa.Yaani niliduwaa utadhani wale waliokua wanachorwa kwenye yale majarida ya enzi zileeee,majarida ya Bongo!

haya mdogo wangu wa moyoni Eiyer kwanza hujambo? haya nieleze alikuvutia nini huyo mrembo wa moyo wako? ama uliogopa hata kumsemesha?
 
Last edited by a moderator:
ceteris paribus, BAK akiwa black ule ublack wa kung'aa, mrefu zaidi yangu halafu sio bonge nyanya hapo nitadata mtoto wa kike.
Mi nafikiri kama ambavyo uzuri wa mtu upo machoni pa mtu na mvuto ni hivo hivo. Nakubaliana na waliosema mvuto upo kihisia ingawa uzuri wa mtu pia upelekea awe na mvuto.

sasa umeona Catherine kumbe mvuto huwa haujali sana mapigo ya bed manake kwa mara ya kwanza unapokutana na mtu hutawaza kitandani yukoje bali utawaza anaonekanaje huyu machoni pangu.
 
Last edited by a moderator:
queen Latifa ana umbo zuri? Kwani hana mvuto?

Uzuri ni mjumuisho wa mpangalio wa umbo na sura ya mtu.

Mvuto ni mjumuisho wa uzuri na tabia.

Kwa kizungu si ndio kuna 'beauty' na 'sexy'?

Unaweza ukawa si mzuri sana wa sura na bado ukawa na mvuto, mwanamke mwenye kujiamini na akili anakuwa na mvuto zaidi.

Ndo maana kuna saa unamsikia mtu analalama 'beauty with no brain'
Kongosho sasa na wewe ndo unazidi kunipa maswali mengi sana, kumbe tabia nazo ni compliment ya mvuto? sasa kama ndivyo mbona kuna mwanamke unakuta labda kila siku anaandamwa na stori mbaya na chafu lakin kila siku anatakwa na mwanaume tofauti? na yeye ukiangalia utakuta hajawah kuish bila mpenzi yaani kuwa na boy friend hata miez miwili baada ya mahusianao aliyokuwa nayo kuvunjika?
 
Last edited by a moderator:
Mimi ngoja nifunguke zaidi, pamoja na mambo mengi ambayo wadau wameyaongea pia mvuto unaweza kuja bila hata ya kumuona muhusika. Yani hata kwa kusikia jinsi anavyoongea unaweza vutiwa mpaka ukapata hamasa ya kufanya matusi! Mfano hapa JF kuna mdada mmoja ananikosha kwa jinsi anavyochangia, ngoja nimvutie kasi!

hiyo nayo kali mkuu yaani mtu anakuvutia pasi hata kumuona wala kusikia sauti yake? sasa kama maandish tu ya keybord yanakufanya uvutiwe na mtu si utakuwa moyoni umeshazini na wengi sana? lazima huyo atakuwa ni Erotica tu ama ni cacico?
 
Last edited by a moderator:
haya mdogo wangu wa moyoni Eiyer kwanza hujambo? haya nieleze alikuvutia nini huyo mrembo wa moyo wako? ama uliogopa hata kumsemesha?

Kwanza niweke wazi,nimechangia kwa namna hiyo kutokana na kauli yako ya "mtu anaekuvutia kufanya matusi"
 
Last edited by a moderator:
Kwanza niweke wazi,nimechangia kwa namna hiyo kutokana na kauli yako ya "mtu anaekuvutia kufanya matusi"

na mimi nimeendelea kuuliza ili nijue kama kwa maana hiyo ulimsemesha? lakina lets go further hivi waamin kuwa mvuto wa mara ya kwanza waweza leta hisia kali za mapenzi ambazo hupelekea kuwa wenzi milele?
 
Ngoja nifafanue vizuri zaidi,kuna tofauti kati ya mtu kukuvutia kufanya matusi,mtu kukuvutia kimapenzi na kumpenda mtu.KUVUTIA KUFANYA MATU:hii ni kumtamani mtu,yaani unamuangalia mtu na unapata hisia za ngono na sio mapenzi wala upendo.Hisia za ngono ni kuwa unapomuona mtu wa aina hiyo unamuwazia namna utakavyomkamata na kumkunja kitandani na style nyingine,hapa ni ngono tu.KUMVUTIA MTU KIMAPENZI:hali hii inatokea pale unapopata hisia za mapenzi kwa maana kuwa,unakuwa na mawazo ya kutoka outing nae,kufanya nae ngono,kumnunulia zawadi,kuzungumza nae,kwenda nae sijui mnaita vekesheni n.k,hapa kunaweza kusiwe na upendo.MTU KUWA NA HISIA ZA UPENDO:hii haina uhusiano na ngono,lakini linaweza kuwa na uhusaiano na mapenzi.Mtu kuwa na hisia za upendo inamuhusu kila mwanadamu kwa mwanadamu yoyote bila kujali jinsia.Kupendana ni muhimu kwa mwanadamu yoyote kwa yoyote ili kuleta umoja na furaha katika jamii.Kumbuka ili uwe na ndoa imara ni lazima ujue hayo!
 
na mimi nimeendelea kuuliza ili nijue kama kwa maana hiyo ulimsemesha? lakina lets go further hivi waamin kuwa mvuto wa mara ya kwanza waweza leta hisia kali za mapenzi ambazo hupelekea kuwa wenzi milele?

No sikumsemesha,nilimwangalia tu!
 
Back
Top Bottom