Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

unajua hili swala la mvuto liko tofauti kutoka mtu mmoja mpaka mwingine,isipokuwa wapo wanawake wanaoweza kuvutia kila mwanaume rijali,binafsi navutiwa sana na mwanamke mwenye miguu mizuri na sura nzuri halafu yanafuata mambo mengine.
 
aisee Nawaza hapa sasa naona shule yangu inazidi kukolea na napenda zaid wachangiaji wasome btn lines ili waone mambo ya msingi uliyoyataja hapa. kwanza hongera wa kuwa mwelimishaji mzuri.

haya tuendelee from your post inamaana mvuto kwa mtu huwa siyo endelevu? na je kama siyo huoni kama kuna hatari ya mahusianao kuvunjika? hapa pana kitu cha msingi sana wana mmu na nafikir ndicho kinachopunguza hisia za mapenzi katika mahusiano tuliyo nayo.
Please nawaomba akina cartura Allien BAK Kaizer mito Bishanga Mr Rocky na wengine wote watusaidie hapa kufafanua

Here's the official list of what initially attracts a man to a woman:

1.) Sexual chemistry
2.) Smile
3.) Kindness
4.) Sense of humor
5.) General body type
6.) Eyes
7.) Intelligence
8.) Communication skills
9.) Teeth/Lips
10.) Hair

Here's what attracts a man to a woman in the long-term:

1.) Kindness
2.) Sense of humor
3.) Communication skills
4.) Sexual prowess
5.) Intelligence
6.) Smile
7.) Listening skills
8.) Money/Wealth
9.) General body type/fitness

Source: The Top 10 Traits That Attract A Man To A Woman | YourTango
 
Ngoja nifafanue vizuri zaidi,kuna tofauti kati ya mtu kukuvutia kufanya matusi,mtu kukuvutia kimapenzi na kumpenda mtu.KUVUTIA KUFANYA MATU:hii ni kumtamani mtu,yaani unamuangalia mtu na unapata hisia za ngono na sio mapenzi wala upendo.Hisia za ngono ni kuwa unapomuona mtu wa aina hiyo unamuwazia namna utakavyomkamata na kumkunja kitandani na style nyingine,hapa ni ngono tu.KUMVUTIA MTU KIMAPENZI:hali hii inatokea pale unapopata hisia za mapenzi kwa maana kuwa,unakuwa na mawazo ya kutoka outing nae,kufanya nae ngono,kumnunulia zawadi,kuzungumza nae,kwenda nae sijui mnaita vekesheni n.k,hapa kunaweza kusiwe na upendo.MTU KUWA NA HISIA ZA UPENDO:hii haina uhusiano na ngono,lakini linaweza kuwa na uhusaiano na mapenzi.Mtu kuwa na hisia za upendo inamuhusu kila mwanadamu kwa mwanadamu yoyote bila kujali jinsia.Kupendana ni muhimu kwa mwanadamu yoyote kwa yoyote ili kuleta umoja na furaha katika jamii.Kumbuka ili uwe na ndoa imara ni lazima ujue hayo!
Eiyer leo umenifanya nione jumapili hii kuwa siku njema sana umenifundisha vizuri sana juu ya aina za mvuto na hapa natamani kila mtu asome aelewe uliyoyasema.

lakin pia Eiyer kwanini sana mvuto mara nyingi huwa ni huu wa kufanya matusi ama wa kimapenzi kuliko kuwa wa upendo? je ni wapi sisi binadam tunapokosea?
 
Last edited by a moderator:
Wewe! I am watching!
Kaunga huwa natahamini sana michango yako ma dearest haya hebu niambie mvuto kwa mwanaume wewe unauchukuliaje? je uko katika makundi gani kati ya hayo aliyoyataja Eiyer?
 
Last edited by a moderator:
unajua hili swala la mvuto liko tofauti kutoka mtu mmoja mpaka mwingine,isipokuwa wapo wanawake wanaoweza kuvutia kila mwanaume rijali,binafsi navutiwa sana na mwanamke mwenye miguu mizuri na sura nzuri halafu yanafuata mambo mengine.

sasa ndugu yangu, huu mvutokwa hawa wanawake kwa mara ya kwanza huangalia externalities lakini jehuoni kama kunahatari ya kupotea?
 
Gfsowin kwangu mimi mvuto inamchanganyiko vifuatavyo 1umbo lake mlengwa 2 sura yake, macho na miguu yake pia ila tunatofautiana kulingana matarajio ya mtu

sasa kwa haya huoni kwamba huu mvuto utaisha?
 
Here's the official list of what initially attracts a man to a woman:

1.) Sexual chemistry
2.) Smile
3.) Kindness
4.) Sense of humor
5.) General body type
6.) Eyes
7.) Intelligence
8.) Communication skills
9.) Teeth/Lips
10.) Hair

Here's what attracts a man to a woman in the long-term:

1.) Kindness
2.) Sense of humor
3.) Communication skills
4.) Sexual prowess
5.) Intelligence
6.) Smile
7.) Listening skills
8.) Money/Wealth
9.) General body type/fitness

Source: The Top 10 Traits That Attract A Man To A Woman | YourTango

you know Allien to me literature are minds alive on shelves but they mostly some remain to be theories than to be real practical.
from what the author has said do you want to tell me the attraction seizes if some factors are lost?.
 
Last edited by a moderator:
Leo tunajadili mvuto siyo? Mvuto ni relative term, si kweli?

Anyway nilitaka kujua leo ni jumangapi. DAMN MBEGE!!

leo ni jumapili Asprin, haya na naona fyatanga asiku hizi wanauza MBEGE! ok back to the point kwako weye mvuto ni nini na hizo relativity ni zipi?
 
Last edited by a moderator:
leo ni jumapili Asprin, haya na naona fyatanga asiku hizi wanauza MBEGE! ok back to the point kwako weye mvuto ni nini na hizo relativity ni zipi?

Ngoja nikirudi Dar ntakueleza vizuri. Huku nna akili za kimbegembege tu.

Kumbe leo jumapili? Ngoja niwahi kanisani.

Swali la kizushi; kuna tofauti kati ya haiba na mvuto? Na wivu wa kimapenzi husababishwa na nini?
 
Last edited by a moderator:
you know Allien to me literature are minds alive on shelves but they mostly some remain to be theories than to be real practical.
from what the author has said do you want to tell me the attraction seizes if some factors are lost?.

My dear those are research facts and not only literature.

Katika Ndoa hufika wakati mapenzi yanaisha. You should know what are there factors then which can keep your marriage live.

Wadada wengi humu wanalalamika juu ya BF/Wachumba na Waume wao, but do they know naturally what factors controls men naturally to be attracted to them?

As for me this is what initially attracts to Woman (No compromise):

1.) Sexual chemistry: Hii inaanzia kwenye sura inayonivutia na umbo
2.) Feminine Attractive Figure: Hii inamaanisha Titis, Kiuno/tumbo, miguu, nyuma, nywele, ngozi nk.
3.) Dressing Code (do not mean expensive) Mavazi yaonyeshe feminine figure inayovutia (haina maana yawe ya kubana au nusu uchi)
4.) Awe mwelewa na Intelligent
5.) Compatibility
 
SuperStock_1525R-104235.jpg

gfsonwin umemuona huyu dada? sio mzuri sana, ila ana mvuto na anatia raha kumuangalia,

acha tu wanaume, hata mimi mwanamke mwenzie natamani ni dou nae licha ya kumtazama tu.

haijalishi mvuto ama uzuri ni wakununua or not. wat matters ni kuwa ana mvuto. na kama ana

mvuto wa kutosheleza na mwanaume rijali akamtazama machoni he wishes apate nafai ya kuonja K,

sio lazima kuishi nae, yaani mradi agusishe na aondoke zake. kama vile kupoza kiu ya maji.
Erotica,unanivutia......
 
Last edited by a moderator:
My dear those are research facts and not only literature.

Katika Ndoa hufika wakati mapenzi yanaisha. You should know what are there factors then which can keep your marriage live.

Wadada wengi humu wanalalamika juu ya BF/Wachumba na Waume wao, but do they know naturally what factors controls men naturally to be attracted to them?

As for me this is what initially attracts to Woman (No compromise):

1.) Sexual chemistry: Hii inaanzia kwenye sura inayonivutia na umbo
2.) Feminine Attractive Figure: Hii inamaanisha Titis, Kiuno/tumbo, miguu, nyuma, nywele, ngozi nk.
3.) Dressing Code (do not mean expensive) Mavazi yaonyeshe feminine figure inayovutia (haina maana yawe ya kubana au nusu uchi)
4.) Awe mwelewa na Intelligent
5.) Compatibility

sawa wala sihitaj ku compromise hapa, na nafikir ni vitu ambavyo vipo. to me huwa naona mvuto kama ni kitu ambacho huwez kukilazimisha na pia hakiko uniform but kwa yule umpendaye kwa maana ya mke/mume mvuto huu unapoisha yawapasa wana ndoa wajitahd kurudisha tena huu mvuto. but bana life ina complexities nying na jins tu siku hiyo itakavyokujia.
 
Ngoja nikirudi Dar ntakueleza vizuri. Huku nna akili za kimbegembege tu.

Kumbe leo jumapili? Ngoja niwahi kanisani.

Swali la kizushi; kuna tofauti kati ya haiba na mvuto? Na wivu wa kimapenzi husababishwa na nini?
ku
mbe fyatanga siyo dar? haiba siyo mvuto bana na wivu wa mapenzi ni kipimo cha upendo wako kwa mtu husika. ukiona wivu hakuna jua upendo nao hakuna.
 
haya sitomuuliza ingawa nilishamuuliza siku nyingi sana so majibu yake ninayo. sasa platozoom si mwanzo umekubaliana na mimi kuwa mvuto huwasha tamaa ya kufanya matusi?? sasa je unapoitofautisha mbona wazidi kunichanganya zaid? nieleweshe please.

Ningeshangaa kama ungemuuliza sasa!! back to topic kule mwanzo sikusema moja kwa moja kwamba mvuto huwasha tamaa ya kufanya matusi ila nilisema hivi:

2. Anaweza kuwa na umbo zuri (la kibantu) au 8 figure.......na nikwambie wengi wanapenda (soma kutamani) maumbo hayo..kuna fikra kuwa anafaa kwenye matusi

Kwa hiyo utaona hiyo sababu namba mbili itawavutia watu fulani wakati wengine watavutika na kitu tofauti ingawa kimsingi ile nguvu ya mvuto huanza kwanza then ndipo hapo akili inaweza kuchora matamanio ya kufanya "matusi" (source gfsonwin).

Unajua kwa nini naita mvuto unatoka ndani? Utaona pia kwamba watu wanaovutiwa na umbo hilo si wote watakaoishia kuchora ngono kwenye bongo zao, lakini vilevile si wote wanaopenda ngono wanapenda figure hizo!!

Lakini vilevile tena si wote wanaopenda kumuona mwanamke mwenye figure hiyo watavutiwa naye............Anaweza mtu kusema "mimi napenda mwanamke mwenye bantu figure si vimbaumbau kama Erotica" na akapita mwanamke mwenye figure hiyo akaishia kusema "ndiyo ni mzuri yuko poa" na asivutiwe naye!!...kwa sababu kupenda kuona ni matamanio wakati kuvutiwa na mwanamke ni nguvu iliyoko kwenye hisia ya ndani ambayo haishikiki wala kuzuilika.

Umeuliza mvuto huisha?..........Ndiyo au hapana na hili ni gumu kidogo...........Tunasema mwanamke X hapa mtaani A anavutia sana na sote tunajua hivyo (sababu ya mvuto hatuna hakika nayo ila tunavutiwa naye)....Lakini baada ya muda anapoteza ule mvuto kwa sababu kila jambo hukinaisha na kuwa kadri tunavyovutiwa naye ndipo tunapoongeza udadisi wa kumfahamu zaidi na kutafuta kasoro zake au "kushibisha" nafsi hatimaye ule mvuto wa ndani unapotea kabisa.

Sasa mtu huyohuyo anahamia mtaa M unashangaa watu wanavyovutiwa naye.....ndipo pale unapotokea wewe wa mtaa A na kushangaa!!........Kifupi gfsonwin narudia mvuto ni nguvu iliyoko ndani ya nafsi na si nje!
 
Leo umefunguka kweli platozoom nimependasana mmchango wako. haya hebu nijibu swali hili la kizushi kwako wewe mvuto unaka kwenye nini? yaani qualities.
 
Last edited by a moderator:
BAK hivi hujawahi kusikia mtaani watu wanasema fulani ana damu ya kupendwa??simply because anapendwa na kila mtu sio kwa uzuri wake, wala umbo lake bali imetokea tu akawa kivutio cha wengi!mvuto is more about hisia,hauonekani wala haushikiki..wakati mwingine unaeza ona mtu ni wa kawaida sana lakini anavutia wengi kuliko yule anayeonekana mzuri..

Yap,umenena!ni km,jokate,ni mzuri lkn hana kismati cha kupendwa since anasoma pale loyola!na unaweza kukuta mtu ni mbaya bt,anapendwa mpaka unajiuliza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom