Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

Siamini sana kama kufuatwa na wanamme ndio kipimo cha uzuri au mvuto.

Kufuatwa na wanamme nadhani ni 'how you make yourself available' kwa ajili ya wanamme kukufuata.

Hivi machangudoa wote ni wazuri au wanamvuto? Lakini kutwa kucha wanafuatwa na wanamme.

Au mabarmaid, sorry simaanishi kudharau kazi ya mtu hapa, lakini na wao kiwango cha kutongozwa kiko juu sana.

Wanamme wengi wanapenda 'cheap and available' for short term japo ukichunguza akitaka kuoa haoi hao.

So uziri na mvuto ni beyond matongozo ya wanamme.

Kongosho sasa na wewe ndo unazidi kunipa maswali mengi sana, kumbe tabia nazo ni compliment ya mvuto? sasa kama ndivyo mbona kuna mwanamke unakuta labda kila siku anaandamwa na stori mbaya na chafu lakin kila siku anatakwa na mwanaume tofauti? na yeye ukiangalia utakuta hajawah kuish bila mpenzi yaani kuwa na boy friend hata miez miwili baada ya mahusianao aliyokuwa nayo kuvunjika?
 
Hata kumuonesha naweza, na kuna wakati hata akinionesha sijali sababu najua hawezi kula wazuri wote
Na wala hana guarantee kuwa watamkubali, who is he bana?

Afu kuna uzuri wa nje na uzuri wa ndani
Teh teh, wanawake wabaya tunawekeza kwenye uzuri wa ndani lol
Shepu utadhani nilianguka bafuni, miguu mkimbia riadha na cowberry zinafaa kusupply maziwa Tunduma lakini sitakosa bazazi mmoja lol

gfsonwin, kweli tunatafautiana. Wakati mie nikiwa na mwenzangu huwa namuonyesha kabisa wenye miguu mizuri, makalio ya kukata na shoka (source BAK), wenye skin texture nzuri na pua za kishihiri. I understand I'm not the most beautiful woman he has ever seen, but I'm the woman he fell in love with. Ukiwa comfortable in your own skin utaonyesha hata walio vaa nusu uchi ili mshangae pamoja. Kisangani cha kumvalisha mawani ya mbao motto wa mwanamke mwenzio?
 
Hata kumuonesha naweza, na kuna wakati hata akinionesha sijali sababu najua hawezi kula wazuri wote
Na wala hana guarantee kuwa watamkubali, who is he bana?

Afu kuna uzuri wa nje na uzuri wa ndani
Teh teh, wanawake wabaya tunawekeza kwenye uzuri wa ndani lol
Shepu utadhani nilianguka bafuni, miguu mkimbia riadha na cowberry zinafaa kusupply maziwa Tunduma lakini sitakosa bazazi mmoja lol

mbavuuuu zanguu jamaniii lol! hivi kumbe nipo ndani kwasababu ya uzuri wa ndani eeh? ila best mbavu sina
 
Siamini sana kama kufuatwa na wanamme ndio kipimo cha uzuri au mvuto.

Kufuatwa na wanamme nadhani ni 'how you make yourself available' kwa ajili ya wanamme kukufuata.

Hivi machangudoa wote ni wazuri au wanamvuto? Lakini kutwa kucha wanafuatwa na wanamme.

Au mabarmaid, sorry simaanishi kudharau kazi ya mtu hapa, lakini na wao kiwango cha kutongozwa kiko juu sana.

Wanamme wengi wanapenda 'cheap and available' for short term japo ukichunguza akitaka kuoa haoi hao.

So uzuri na mvuto ni beyond matongozo ya wanamme
.

Mkuu Kongosho hapo kwa red ndo umenena maukweli yote kuhusu wanaume, I wish gfsonwin na wanawake wote wangezingatia hili. Kusema kweli hii ndo sababu unakuta mwanaume mzinzi anakula house girl, baamedi au mwanamke ye yote hata kama si mzuri kama mke wake
 
lol wewe Nakapanya nafikiri ni bora tusionane milele manake waweza kunihonga hadi mshahara wote hasa ukinikuta nimevaa sandals na nikikupa mkono waweza kufikir vimechongwa kumbe jamani uumbaji wa MUngu tu.

hakika naweza kukuhonga hata mshahara wote tu nikikuona una vidole vizuri na kucha nzuri,yani huo ndo ugonjwa wangu aisee.......
 
Last edited by a moderator:
BAK na wakaka wengine, nakubali wanaume huvutiwa na sura, silka ya mdada, umbo zuri, makalio makubwa, mgongo mzuri, kiuno, etc.Swali langu ni je hayo makalio makubwa huwa mnayatumiaje kwenye tendo? Maana mi sina makubwa sana ila Maashallah, lakini sijaona matumizi yake hasa, au sijapata anayejua kuyatumia?!
 
....hujapata ajuaye, penye miti hakuna wajenzi...
 
SuperStock_1525R-104235.jpg

gfsonwin umemuona huyu dada? sio mzuri sana, ila ana mvuto na anatia raha kumuangalia,

acha tu wanaume, hata mimi mwanamke mwenzie natamani ni dou nae licha ya kumtazama tu.

haijalishi mvuto ama uzuri ni wakununua or not. wat matters ni kuwa ana mvuto. na kama ana

mvuto wa kutosheleza na mwanaume rijali akamtazama machoni he wishes apate nafai ya kuonja K,

sio lazima kuishi nae, yaani mradi agusishe na aondoke zake. kama vile kupoza kiu ya maji.

Hapo kwenye RED,

Duuuh!!
 
BAK na wakaka wengine, nakubali wanaume huvutiwa na sura, silka ya mdada, umbo zuri, makalio makubwa, mgongo mzuri, kiuno, etc.Swali langu ni je hayo makalio makubwa huwa mnayatumiaje kwenye tendo? Maana mi sina makubwa sana ila Maashallah, lakini sijaona matumizi yake hasa, au sijapata anayejua kuyatumia?!

Nafikiri jibu unalo tayari...
 
Huyu kweli anavuta hisia lakini kwa tabia za wanaume akila mzigo huwa wana-tend kumwona wa kawaida japokuwa nguvu ya kumfukuzia ilikuwa kubwa tena unakuta anamwona very special punde atafanikiwa yaani hapo atamwona kaa wa kawaida na sijui kwanini inakuwa hivi

unakuta kajiweka kutamanika na akishatumika tamaa inakwisha na anakuwa tayari kutumika kwa mwanaume mpya atakayemtamani tena.....upo...??
 
Magnificent na BAK jaribuni kufunguka ili mimi na wengine tuelewe hayo makalio makubwa ya partners wenu huwa mnayatumiaje ktk tendo! Ikiwezekana na mie nimfundishe!!!
 
Wapenzi wana mmu habari za week end?
Jamani leo nimekuja na hili hapa nimelipata mitaa ya kati nikaona nililete hapa tujadili pamoja.

Hivi jamani kuna mwanamke mwenye mvuto tu ambaye kila mwanaume rijali akimuona huvutiwa kumsemesha? je mvuto huu hupelekea kuwasha tamaa ya kufanya matusi na mwanamke husika? Je mvuto huu kwenu wakaka huwa unaangalia vitu gani kwa muonekano wa mara ya kwanza?

Hakuna mwanamke ambaye kila mwanaume akimuona huvutiwa kumsemesha kwa sababu wanaume tofauti wanavutiwa na vitu tofauti.
Mvuto wa kuongea na mwanamke unaweza ukawasha tamaa hiyo uliyoieleza lakini sio lazima uwashe hiyo tamaa(inategemea na umri wako na mazingira uliyokulia) kwa sababu wapo wanawake ambao watakuvutia kimaongezi lakini sio ki namna hiyo nyingine.
Kwenye muonekano wa kwanza, mvuto wa kawaida unatokana na mwanamke mwenyewe. Kwa mfano je huyu dada ananionyesha welcome face au ananipa ile sura ya shoka yaani usithubutu hata kunitazama.
Mvuto ambao sio wa kawaida(ule wa matusi) hauna formular, inategemea mwanamke ana-contain nini katika sehemu ya mwanamke unayoipenda(sura, umbo,maongezi/sauti, ustaarabu n.k). Nadhani ulishawahi kuona wanaume wengi wa mtaa fulani wanatongoza mwanamke mmoja na sio kwamba anawavutia isipokuwa wameshaambiana kwamba huyu dada chupi kaivaa kichwani. Mvuto wa matusi hauna formular.
Lakini mwisho wa yote wanaume wengi hawaoi wanawake wenye hivyo vivutio. Wanaume wengi wanaowa wanawake wenye motherly look.
 
[/COLOR]

hapo kwenye black ndipo umenikosha zaid aisee. kumbe ndivyo ilivyo.
 
kwani huw ahamwoni mtu kapendeza ila wanaume wanakuambia hamna kitu hapo wanajuwa uzuri ni ukiwa tupu!!!!!!!!
 
nakumbuka 2009 mchungaji mmja eti aliniambia mimi ninapepo lakutamaniwa na wanaume sikukubaliana naye ila kiukweli it was toomuch kabisa nilikuwa hata nikipita njianiunashaangaa gari linapaki pembeni it was shida kwangu sio nilikuwa navaa labd uchi hapana kawaida tu ila sijuininini nikabidi ninunue pete nivae ikaanza kupungua pungua,so wanajua wenyewe wanachotamani
 
mh inategemea na mtu..kuna mahali unaweza ukakaa na mwanaume akapita demu akaanza kumsifia kusema cheki demu aisee ananitamanisha ni mzuri kweli alafu mi nikimuangalia huyo demu sioni kile ambacho kimemchanganya jamaa mpaka nakua najiuliza kama huyu jamaa ana akili sawa sawa...
 
hakika naweza kukuhonga hata mshahara wote tu nikikuona una vidole vizuri na kucha nzuri,yani huo ndo ugonjwa wangu aisee.......

kuna mdada mmoja mzuri kwa sura umbo la kawaida tatizo ngoz yake ya viganja imekomaa nilshkana nae mkono sikuamin adi mzuka ukanipungua,
 
Mwanamke akiwa msafi asiwe bonge mrefu wastani atanishawish ila mwanamke anaepend kulakula ovyo uwa cwafaglii
 
Back
Top Bottom