Mvuto kwa mwanamke ni kweli?

mito napenda sana mtu anayetoa mifano halisi manake hii ndiyo inayojenga ma dearest. real nimependa sana ulichokisema. sasa hapo nikuulize swali suppose umekutana na mtu wa aina hiyo waweza kumsifia yeye binafsi kwa kumwambia umzuri bi mkubwa?

Inategemea na mtu mwenyewe, mazingira yenyewe na hasa mahusiano yake na mimi. Hivyo kuna watu huwa nawaambia na kuna wengine huwa siwaambii, namezea tu. Sisifii mara nyingi kwa sababu kubwa 3:
1) nimegundua kuna baadhi ya wanawake ukiwasifia anaona kama vile umeishamdondokea, hivyo hiyo ni gia tu ya kuingilia
2) nimegunda jamii kwa ujumla haichukulii hili kama jambo la kawaida. Yaani kuna watu wakikusikia unasifia mwanamke hadharani wanakuchukulia kama mhuni fulani hivi, so wanakushusha hadhi kutegemea na wewe mwenyewe ulivyo.
3) mke wangu mwenyewe hapendi kusikia nasifia mwanamke mwingine, so sitaki kuzoea kufanya hivyo kwani kuna siku naweza jisahau nikasifia mbele ya mke wangu. Nasema hivi kwasababu mwaka 2006 wakati wema anashinda umiss TZ nilikutana naye ghafla (but nikiwa na mke wangu) wizara ya mambo ya ndani, ilikuwa ni kama siku 3-5 hivi tangu aliposhinda. Alienda kushughulikia criminal clearance certificate. Bahati nzuri na mimi nilikuwa natafuta hiyo hiyo. So kumuona tu ghafla (kumbuka nilikuwa bado na zile memories za tukia zima la ushindi wake kwenye tv) nikachachawa na kumsalimia na kumsifia, of course na yeye alikuwa ana-respond vizuri tu. Lakini thereafter maiwaifu wangu hakujisikia vizuri, so i learnt something new!

Mmmh unasifiwa nini dada yangu gfsonwin, mbona unanichokonoa hivi?
 
Ili ndoa idumu mpaka kifo na wanandoa wote muifurahie hiyo ndoa ni lazima iwe na vyote vitatu,ngono,mapenzi na kikuu ni upendo.Kwanini upendo ni zaidi?Upendo ni zaidi kwa sababu haukinai,yaani ni maisha yako na kujikubali na kumbubali mwenzio bila masharti.Na kigezo kikubwa ni ubinadamu.Ukishakuwa na ngono kisha kukawa na mapenzi halafu mkajikubali na kila mmoja akamkubali mwenzie kama alivyo bila masharti(bila kuangalia pesa,umbo wala elimu) mtaishi milele na nyote mtaifurahia ndoa.Ndo maana kuna wakati kunaweza kukawa hakuna ngono(kupata maradhi,ajali n.k)lakini bado mnakua pamoja na mnaifurahia ndoa kwani mnajikubali bila masharti na kila mmoja anamkubali mwenzie bila masharti(mnapendana) Pia mnaweza mkawa pamoja bila mapenzi(kusindwa kutoka outing,kwenda beach,mbuga za wanyama kwa kuyumba kifedha)na bado mkawa pamoja na mkafurahia ndoa yenu kwa sababu kila mmoja anajikubali na anamkubali mwenzake bila masharti yaani kama alivyo(mnapendana)Lakini bila upendo hata mkiwa na hayo mawili mtaishia njiani.Kama ni ngono imewaunganisha mwenzio akiugua tu unaisaka kwingine.Kama ni mapenzi fedha zikiisha utatafuta mwenye nazo,yasipotokea hayo na ya kufanana nayo bila upendo kuwepo mtakinaiana na mtaachana au mtaishi kwa mazoea bila kuifurahia ndoa yenu!
 
Mvuto kwa mwanamke unatokana na vigezo vya mwanaume mfano mimi nina mvuto na wanawake wabaya kwa hyo nikimuona mwanamke mbaya natamani ni do naye.
 
Ukweli lazima tuseme:
  1. At first sisi wanaume tunavutiwa na muonekano wa nje, baada ya hapo taswira ya kile kinachopatikana chumbani huundwa kulingana na muonekano huo.
NB. Hapa ndipo wanaume sometimes huingia mkenge, mwanamke mzuri wa kila kitu cha nje, umbile na sura, sauti nk. lakini ukiingia naye chumbani pengine ukakuta matope/bwawa, pengine mambo fulani kama gogo, pengine anatoa harufu kali, pengine ana gubu na mabo mengine kama hayo.
Hapo ndipo tunapotoka nduki, tukiacha watu wakijiuliza kwanini huyu mwanaume kamuacha demu mzuri hivi?

kinyume na sisi, wanawake wao hisia zao hazipo kwenye kuona, zipo kwenye miguso, ndiyo maana dada yangu GFSOWIN alisema anaweza kufanya matusi na mkaka hata kama nje hana mvuto lakini akiwa kwenye pozi la mahaba chumbani anaweza kujikuta kampa K.
 
Hiyo ndiyo point. Kuna kuvutiwa kwa kukubali kazi ya muumba; na kuvutiwa kuwa na serious relationship na mtu.

Wenye maumbo namba nane mara nyingi wanaume hawawachukilii serious; wanapenda ku past nao time tu si kuwaoa.
Unless wawe wagumu kweli na wajitahidi ku prove kwa jamii kwamba wao si chombo cha kufurahisha wanaume.

Ila Wema si mfano wa umbo la kumtisha mtu kumfanya mke. Kinachimfanya Wema atishe ni kujulikana kwake (star) na tabia yake. Angekuwa nobody mbona umbo lake linafaa kuwa private wife (Lol)

@Nyumba Kubwa nakubaliana nawe kabisa. Swali la gfsonwin lilimlenga mwanamke unayemuona kwa mara ya kwanza labda barabarani au kwenye burudani hujui chochote kuhusu mwanamke huyu. Hivyo unachosema ni kweli kabisa kwamba kumtamani kufanya naye matusi kwa vile alivyoumbika ni kwa muda tu lakini ukishapata nafasi ya kumjua kwa karibu tabia yake, usafi wake n.k. basi unaweza kuvutiwa naye zaidi hata kutaka awe GF/Wife.
 
Kha! Best BAK, bora bubu asitake kusema. Naomba pooo! Wowowo la kukata kwa shoka ndo likoje?

linakatika na shoka tu :) Kisu au panga vyote havioni ndani :)
large_BuffieTheBodyBlackAss.jpg

sasa kaka yangu wa moyoni platozoom tunakwenda sambamba ila hebu nijibu swali hili hapa, hivi mvuto ama uzuri wa huyu mwanamke at first eye utaangalia nini? je ni zile features unazozipenda ama zile wenzio wanazosema ni nzuri ama hauna sababu nyuma yake?

the first thing i look on a girl is her finger nails na kucha za miguu,then vitu vngine ila hvyo nilivyotaja ndio huvipa uzito.
 
Last edited by a moderator:
hivi BAK hujawah kuona mtu mwanamke mzuri sana wa sura na umbo lakin hapati mwanaume wa hata kumsalimia tu? je huyu kwake synonymous inakuwa wapi?

Huyu wa design hii utakuta ana nyodo kwani wanaue wengi watambua kwamba mwanamke anatakiwa kuringa lakini akizidisha sana pamoja na mashauzi kinachotokea ndio kama hicho ulichosema na mwisho wa siku wanawake wa design hii utakuta aechukuliwa na mwanaume ambae ingekuwa enzi zake ni hawaendani kwani wale wote makini waliokuwa wanajitutumua kumtokea walishaweka akilini kwamba ana nyodo hivyo hata strategy za kutokea wakazifuta mwisho wa siku anaibuka msela anachukua zigo kwani huwa inafika wakati mtu anahitaji mwenzake kwa kuwa inakuwa too late anaishia kwenye ule msemo wa NDEGE MJANJA HUNASA.................
 
linakatika na shoka tu :) Kisu au panga vyote havioni ndani :)
large_BuffieTheBodyBlackAss.jpg

Huyu kweli anavuta hisia lakini kwa tabia za wanaume akila mzigo huwa wana-tend kumwona wa kawaida japokuwa nguvu ya kumfukuzia ilikuwa kubwa tena unakuta anamwona very special punde atafanikiwa yaani hapo atamwona kaa wa kawaida na sijui kwanini inakuwa hivi
 
Inategemea na mtu mwenyewe, mazingira yenyewe na hasa mahusiano yake na mimi. Hivyo kuna watu huwa nawaambia na kuna wengine huwa siwaambii, namezea tu. Sisifii mara nyingi kwa sababu kubwa 3:
1) nimegundua kuna baadhi ya wanawake ukiwasifia anaona kama vile umeishamdondokea, hivyo hiyo ni gia tu ya kuingilia
2) nimegunda jamii kwa ujumla haichukulii hili kama jambo la kawaida. Yaani kuna watu wakikusikia unasifia mwanamke hadharani wanakuchukulia kama mhuni fulani hivi, so wanakushusha hadhi kutegemea na wewe mwenyewe ulivyo.
3) mke wangu mwenyewe hapendi kusikia nasifia mwanamke mwingine, so sitaki kuzoea kufanya hivyo kwani kuna siku naweza jisahau nikasifia mbele ya mke wangu. Nasema hivi kwasababu mwaka 2006 wakati wema anashinda umiss TZ nilikutana naye ghafla (but nikiwa na mke wangu) wizara ya mambo ya ndani, ilikuwa ni kama siku 3-5 hivi tangu aliposhinda. Alienda kushughulikia criminal clearance certificate. Bahati nzuri na mimi nilikuwa natafuta hiyo hiyo. So kumuona tu ghafla (kumbuka nilikuwa bado na zile memories za tukia zima la ushindi wake kwenye tv) nikachachawa na kumsalimia na kumsifia, of course na yeye alikuwa ana-respond vizuri tu. Lakini thereafter maiwaifu wangu hakujisikia vizuri, so i learnt something new!

Mmmh unasifiwa nini dada yangu gfsonwin, mbona unanichokonoa hivi?

yaani mito ukitaka nife siku hiyo aisee msifie mwanamke mwenzangu kama wewe ni mume wangu. lolest! yaani hata kama atapita mbele yako mdada mzuri kama malaika aisee usije ukamsifia nikikuskia na nashukuru sana mungu sinajawah pata hii experience.

hapo kwenye red mmmh!.....................siri ya mtungi aijuaye kata.
 
Last edited by a moderator:
Mvuto kwa mwanamke unatokana na vigezo vya mwanaume mfano mimi nina mvuto na wanawake wabaya kwa hyo nikimuona mwanamke mbaya natamani ni do naye.
Arvin sloane hivi kuna mwanamke mbaya? au nimesoma vibaya? ubaya kwako wewe ukoje?
 
Last edited by a moderator:
the first thing i look on a girl is her finger nails na kucha za miguu,then vitu vngine ila hvyo nilivyotaja ndio huvipa uzito.

lol wewe Nakapanya nafikiri ni bora tusionane milele manake waweza kunihonga hadi mshahara wote hasa ukinikuta nimevaa sandals na nikikupa mkono waweza kufikir vimechongwa kumbe jamani uumbaji wa MUngu tu.
 
Last edited by a moderator:
yaani mito ukitaka nife siku hiyo aisee msifie mwanamke mwenzangu kama wewe ni mume wangu. lolest! yaani hata kama atapita mbele yako mdada mzuri kama malaika aisee usije ukamsifia nikikuskia na nashukuru sana mungu sinajawah pata hii experience.

hapo kwenye red mmmh!.....................siri ya mtungi aijuaye kata.
gfsonwin, kweli tunatafautiana. Wakati mie nikiwa na mwenzangu huwa namuonyesha kabisa wenye miguu mizuri, makalio ya kukata na shoka (source BAK), wenye skin texture nzuri na pua za kishihiri. I understand I'm not the most beautiful woman he has ever seen, but I'm the woman he fell in love with. Ukiwa comfortable in your own skin utaonyesha hata walio vaa nusu uchi ili mshangae pamoja. Kisangani cha kumvalisha mawani ya mbao motto wa mwanamke mwenzio?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin, kweli tunatafautiana. Wakati mie nikiwa na mwenzangu huwa namuonyesha kabisa wenye miguu mizuri, makalio ya kukata na shook (source BAK), wenye skin texture nzuri na pia za kishihiri. I understand I'm not the most beautiful woman he has ever seen, but I'm the woman he fell in love with. Ukiwa comfortable in your own skin utaonyesha hata walio vaa nusu uchi ili mshangae pamoja. Kisangani cha kumvalisha mawani ya mbao motto wa mwanamke mwenzio?

sasa wewe umesema kuwa wewe huwa unamuonyesha na hata mimi kuna mahali kabisa huwa na admit utukufu wa Mungu na kumunyesha ila sitaki yeye aanze kuonyesha jamani.

kuna siku king'ast niliwah kumtamkia if he wants to cheat over me he better choose lady ambaye ni most beautful kuliko mimi ili hata kama namkuta niseme kweli mume wangu hapa alikuwa na kila sababu ya kuanguka dhambini. Ila sipend tabia ya mkaka kila mdada mzuri akipita yeye shingo feni macho bulb lol ataniua buree!
 
Last edited by a moderator:
D
ah nshawahi kuvutiwa, tena me huvutiwa sana na wakaka warefu wenye mwili wa kimazoezi!

sasa kumbe atleast unayo idea miye kwangu huwaga sielewi kitu kimoj anayekuvutia siyo utakaye mpenda na pia utakaye mpenda yawezekna yeye asikupende, na pengine anayekupenda wewe usimpende this life bana acha kabisa
 
Back
Top Bottom