Mungu anawaona mjue.......

Alafu mi sijapata kigezo cha u'bachelar wako! Inakuaje ukongwe wako wa Jeiefu thn iwe hivyo?
Au wanaokutokea unawatolea nje?
Labda ww mwenyewe unapenda HalimaMdeeisims?

meipenda "halimamdeeisims" afu hyo mbona shwari? full kuenjoy maisha bila stress. . . .
 
kaka nitakuja unipeleke kwa yule FUNDI wako bagamoyo...nahisi kuna mtu ananichezea Judgement sio bure!

Karibu BAGAH, ukijisikia nambie tukawashushe mishipa if HE , by the way if SHE tunawashusha mitindi yaani tindi lina'drop kukipita kitovu!
 
Last edited by a moderator:
Jibaba jitu zimaaa linasarandia vitoto vidogoo kumbe liko positive na kuwaharibia maisha watoto wetu Mungu anakuona na utachomwa vibayaa!!:angry::angry:
 
meipenda "halimamdeeisims" afu hyo mbona shwari? full kuenjoy maisha bila stress. . . .

Sina uhakika kua single ni kuenjoy!
Sanasana utabadili ndizi tu! Leo mkonowaTembo, kesho, NdiziBukoba, kisha NdiziMoshi, tena Kisukari, thn Ngonja n. K ,
Huko nako ni kufaidi ?
 
Mungu anakuona...!!!unajifanya hujaoa unamdanganya binti wa watu na kutoa ahadi kibao ukishapata ulichopata unasepa:boxing:
 
Shemeji Judgement usiku mwema
Swahiba Kipipi good night
My friend Preta mada nzuri ili usingizi umeshika kasi klorokwini na Erotica mniote BAGAH uache kupotea Erickb52 njozi njema charminglady lala unono Vin Diesel Mmwaaaaaaaa
@My sweet wifi Blaki Womani i love you

Wengine wote Mungu awalinde na maovu yote

Afu Judgement sie ni under 16 hivyo bado hatujaanza kunaniliu.


sweetlady tumeshindwa kabisa kukuota na loya klorokwini sabb hatujalala.

ila nakuahidi leo tutalala walau masaa mawili, hapo tutakuota tunachakarika pamoja. mwaaaah.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom