Mungu anawaona mjue.......

sweetlady tumeshindwa kabisa kukuota na loya klorokwini sabb hatujalala.

ila nakuahidi leo tutalala walau masaa mawili, hapo tutakuota tunachakarika pamoja. mwaaaah.

Erotica,
hebu kuta unanitangulizia walau few hints in advance za huo mchakariko, utakavyokua nianze jaramba.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Karibu BAGAH, ukijisikia nambie tukawashushe mishipa if HE , by the way if SHE tunawashusha mitindi yaani tindi lina'drop kukipita kitovu!

teheee...nasikia kuna shipa SHE atii...ntakuja maana nimechoka kukaa ndani ya kichupa!
 
Unachelewa kurudi hme ukiulizwa unasema umekwama kwenye foleni kumbe uko bar..........MUNGU ANAKUONA.
 
unatumia id yako kukosesha amani wengine... Mungu anakuona... badilika...
 
mh! huyu charminglady mbona kaja na kasi namna hii! hujambo?
 
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA
6.
7.
8.
9.
10.

endelea........


Mi hiyo home sweet home ndio nimeipenda....lol!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom