Mungu anawaona mjue.......

cjambo mie, kasi ipi jaman mbna nipo kawaida. hebu nambie hyo kasi ili nsije ingia pori kavu!

nilienda likizo haupo, nimerudi nimekukuta umekuwa mwenyeji kweli kweli! huna hata mabaki ya kamba mguuni! salama?
 
nilienda likizo haupo, nimerudi nimekukuta umekuwa mwenyeji kweli kweli! huna hata mabaki ya kamba mguuni! salama?

nlikuwepo mkuu,sema kwa id nyngne. id za awali ilileta shda ikanibd nisajili id nyngne! hku salama salmin amour. . . .
 
nlikuwepo mkuu,sema kwa id nyngne. id za awali ilileta shda ikanibd nisajili id nyngne! hku salama salmin amour. . . .

ndio maana nikasema huna kamba mguuni! vipi leo huko milimani kukoje? jana ulilalamika foleni!
 
Ipo sana hyo sweetlady,wengine wanapiga picha kwenye magari ya watu wanabandika fb na kujifanya yaoo.. loh aibu kweli.

Aibu sio kidogo Little Angel kwa nini mtu atake sifa na kitu kisicho chake lol.....kama hujapewa leo utapewa kesho na kama huna huna tu.......tujifunze kuridhika na tulivyonavyo!

BTW nimependa hiyo id yako.....tubadilishane au niuzie tehe!
 
Last edited by a moderator:
sweetlady shemeji yangu naomba murudi kwa huyo mganga wenu mnilegezee masheriti,...mtaniuaa...
BAGAH kwani vipi tena shem?.......mie hapa bado kukuelewa kabisa, angekuwepo Erickb52 angefafanua manake yeye ndie aliekuendea kwa mganga......mie akuuuuu namtegemea Mungu kwa kila jambo.
 
Last edited by a moderator:
Sina uhakika kua single ni kuenjoy!
Sanasana utabadili ndizi tu! Leo mkonowaTembo, kesho, NdiziBukoba, kisha NdiziMoshi, tena Kisukari, thn Ngonja n. K ,
Huko nako ni kufaidi ?

mmmmmmmmhhhhhhh! Du
 
1. Kwa wale wanaoandika txt, 'Nakumiss' halafu kuituma kwa wapenzi 20..........MUNGU ANAWAONA
2. LUKU imekata kwenu umekaa nje unatext watu,'Niko nje napata upepo mwanana'.......MUNGU ANAWAONA
3. Huna kazi, mpenzi wako mtumishi wa serikali mshahara laki 3 kwa mwezi, Birthday yako unatumia milioni mbili......MUNGU ANAKUONA
4. We ni kiserengeti boy una mpenzi wa miaka 50, unamtext 'Njoo baby', we huyo baby au nyanya yako?.....MUNGU ANAKUONA
5. Unapiga picha sebule ya boss wako unaiweka FB na kukoment Home Sweet Home........MUNGU ANAKUONA
6.
7.
8.
9.
10.

endelea........

Hahaaaaah haha yaani Preta ndiyo umeamua kuja kunianika hapa JF!!! Sifa zote ulizozisema ninazo hapo juu yaani.....

Ngoja na mimi nitupe jiwe sasa,

Kwa wale akina dada au akina kaka wanapotongozwa/kutongoza kisha wanasema hawana marafiki(wapo single) MUNGU NAO ANAWAONA.
 
he he he.....na wale wanaopeleka nyama kwa kimada.....watoto nyumbani wanakula kabichi kavu....Mungu anawaona.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom