Mungu anawaona mjue.......

hatuonekani kwa sababu wakati mnadanganya....huwa tunawaona ma fa la tu.......mwisho wa siku unamwagwa kama vile gunia la taka........

tena hapo mungu ndio anawaona vizuri bila hata kuvaa mawani ya macho
 
hatuonekani kwa sababu wakati mnadanganya....huwa tunawaona ma fa la tu.......mwisho wa siku unamwagwa kama vile gunia la taka........

sasa ukiwamwaga wakati 'wameshatupia' zao kadhaa mbona poa tu!!?suala ni kwamba unakuwa umepigika tayari...........lol!
 
sasa ukiwamwaga wakati 'wameshatupia' zao kadhaa mbona poa tu!!?suala ni kwamba unakuwa umepigika tayari...........lol!

nani kasema unasubiri mpaka upigike....?...hakuna hiyo nafasi bobuu.....
 
Mungu anakuona# Yaani vocha inagome kuingia, unapigiwa unasingizia network mbovu, Mungu anakuona!
 
Wanaowabatiza wenzao majina ya vitu,wanyama,ndege n.k ilhali ni wana wa adam

MUNGU ANAWAONA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom