Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

Kuanzishwe tume ya manyanyaso katika ndoa; Ishughulike manyanyaso kama haya! unajua kama ndoa haziko stable basi na familia zetu nyingi haziko stable pia vivyo na taifa halitakuwa stable!

So hii issui ni siaz kuliko tunavyofikiri!

familia kiungo muhimu sana kwa taifa kwa kweli maana hata maendeleo ya nchi yaaanzia hapo atiii!!!!
 
Sioni hoja hapa zaidi ya kusema kuwa yeye anaipendelea hali hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya ndoa ya mwaka 1973, ndoa hufungwa msikitini/kanisani/bomani/kimila lakini TALAKA ili ishwii kisheria hutolewa mahakamani. Sasa je? Mume amemzuia mke kwenda mahakamani? Au huyo mwanamke hajui haki zake? Tafadhali aache upumbafu na awe angalau mjinga aende mahakamani kudai talaka yake. Anaogopa kumdhalilisha mume kwa lini? KUFIRWA! Huku ni kukosa akili ya utambuzi.
 
Wewe Dada huna matatizo sio bure kinacho kufanya uendelee kuishi na huyo mwanaume ni kitu gani? na kushauri ONDOKA haraka huyo jamaa asije kukuua bure,tena inaonekana amezoea huo mchezo mchafu na ana wanawake wanje ambao huwa wanampa ako kamchezo ka back door.
 
Pole sana Dada kwa yaliyokukuta,
Huyu mwanaume ni muuaji sana,na nakupongeza kwa msimamo wako wa kumkatalia kumpa kinyumea na maumbile,
na ukibali tu atakuaribu kabisa tena saaana,wewe uatakuwa wa kuvaa nepi miaka yote au pedi.na hao wanawake ambao wanaibgiliwa kila siku na waume zao nao si kazi wavaa pedi kila siku.na vipi je ukipata tumbo la kuharisha gafla si ndio utaaibiaka,
wewe kataa kabisa na tena kabisa.
Kama tatizo ni Pesa wewe ondoka na ninauhakika Mungu atakupa zaidi ya hayo.
Wanawake wengi sana wanajikuta wanaingia kunyanyasika kwa sababu ya kutokuwa na kazi au mtaji wa biashara andio maana wanakubali bila kujua kuwa Mungu yupo na anaoa,
Hichi kitendo kimekatazwa kabisa kwenye Biblia,"WAFIRAJI NA WAFIRWAJI HAWATAURITHI UFALME WA MBINGUNI"
na halikadhalika nafikiria kwenye Mstaafu.
TAFADHALI DADA ONDOKA KWENYE IYO NDO LA SIVYO ATAKULETEA MAGONJWA TENA HASA HASA LA UKIMWI,maana Wanaume wengi hatukai kuwa wanacheat sana na wako akiwa anacheat kwa watu wengine atakuwa atakuwa anaomba nyuma na huko nje kwa kutumia pesa yake,na kama ujuavyo sababu sehemu ya nyuma haijaubwa kuingiliwa sasa ni rahisi sana kupata michubuko na kama mmoja ameadhirika na VIRUSI VYA UKIMWI NI RAHISI KUPATA MAAMBUKIZO.
DADA OMBA TALAKA YAKO HARAKA ,MWANZO NI MGUMU BUT MWENYEZI MUNGU ATAKUNUSURU,
NA MIMI NAKUOMBEA UTAPATA MUME BORA NA MSHIKA DINI AMBAYE HAFANYII HUO UNYAMA
 
Somo tunalopata hapa ni umuhimu wa KUMUELIMISHA mtoto wa kike.

Asalalah MOLA awaepushe WALE WALIOBAKIA
 
Mi nafikiri huyo mwanaume zamani alikuwa anaishi mombasa na inawezekana yeye alikuwa anakula jicho huko cha muhimu mwanamke akimbie ndoa kama anaitaka sharti aendelee kumpa taratibu lakini si jambo jema kula ni mahala kwa haja hapatakiwi kuingia mtalimbo
 
Inashangaza kuona bado kuna wanaume tunapiga wake zetu, Mweleze huyo bibie aondoke haraka sana,sio kesho ni leo na asfikirie kumrudia tena huyo mume,swala la ataishije mungu atamuongoza,mbona ndege wa angani wanakula? je wana mume basha? labda asikie amekuwa hanitxxxxx.
 
Muombee naye atasahau na mwisho atatubu hiyo tabia yake chafu maana imeanza siku mingi ni wewe tu ulikuwa hujajuanga kwamba yuko nayo lakini sasa shwetani imepanda kwa kichwa yake
 
Huyu mwanaume ni mshenzi na hajazaliwa na mwanamke... otherwise, angekuwa na heshima kwa mkewe. Huyu dada cha kufanya aongee na wamama wa kanisani na hata ikibidi wazee wa kanisa na wazazi wa pande zote mbili... unless hana pa kwenda!! chumvi ilishaharibika, itiwe nini hata ikolee?? Hilo janaume bedui haliwezi kubadilika na litaendelea kumdhalilisha...
 
"hutupwa nje, na kukanyagwa na watu"
 
Huyo unayeishi nae sio mume bali ni mshenzi mmoja tuu,hana mapenzi na wewe na hata haijui thamani ya utu wako,fanya mpango uwaeleze ndugu zake usikie watakacho kuambia!!
 
Ya dunia mengi ya kustaajabisha. huyu dada aondoke tu huyu sio mume. Mpaka hapa sina hamu ya kuwa na mume sijaona matamu ya mume na mke zaidi ya machungu tu kila siku. EE Mungu turehemu sisi wanadamu. Inahidhunisha sana.
 
mafundisho ya dini yanasemaje kuhusu Ufiraji??
hiyo ni laana,na ikiwa mtu akikufanya utende dhambi nawe wajua kabisa ni dhambi,ikimbie,hebu afanye kama Yusufu alivomkimbia yule mke wa bosi wake alipomtaka alale nae.
huko kujifanya tegemezi na kwamba kwao hakuna uwezo je ndo kusema hana mikono aili na utashi wa kutafta kitu cha kufanya.huu ni upuuzi. ilimpasa kabisa ile first day akwit, au amstaki huyo bwana. mtu kama huyo mumewe anatakiwa aende lupango kwanza. ni bora angekufa hata kwa hayo maumivu ya tumbo kuliko kuendelea kunyenyekea dhambi.
 
Hasira bwana,sasa hiyo Red si tusi kabisa wajameni,tupunguzeni munkari wakati tunapochangia hoja!!!
 
Hizi mada Fidel80 anaweza kutoa msaada. Dunia inaongozwa na shetani dalili zote zimepita na sasa dalili zilizoko hata hazikutabiriwa na manabii lakini zinatokea. Kuna mambo hata shetani hashiriki kumshawishi mtu ni mtu mwenyewe amegeuka shetani.

Tufunge macho tuombe.

Eee Mungu baba nakuomba ukapate kumgusa huyo mwanaume fedhuli akapate kushindwa katika jina la Yesu na kama akizidi Mungu naomba umnyanganye hiyo nguvu inayompa kiburi asichaji tena maisha.

Amen

Amen
 
mafundisho ya dini yanasemaje kuhusu Ufiraji??
hiyo ni laana,na ikiwa mtu akikufanya utende dhambi nawe wajua kabisa ni dhambi,ikimbie,hebu afanye kama Yusufu alivomkimbia yule mke wa bosi wake alipomtaka alale nae.
huko kujifanya tegemezi na kwamba kwao hakuna uwezo je ndo kusema hana mikono aili na utashi wa kutafta kitu cha kufanya.huu ni upuuzi. ilimpasa kabisa ile first day akwit, au amstaki huyo bwana. mtu kama huyo mumewe anatakiwa aende lupango kwanza. ni bora angekufa hata kwa hayo maumivu ya tumbo kuliko kuendelea kunyenyekea dhambi.

Kisasangwe tukiingia kwenye mambo ya dini kwenye hili suala hapa tutakesha, nadhani tuliangalie kwa ujumla wake kwamba ni unyama mkubwa aliomfanyia bila ridhaa yake na kwa kutumia udhaifu wake wa kiuchumi na kijinsia
 
Back
Top Bottom