Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

Too bad!

Shida ya mambo ya kuiga ndo hii!

Mwanaume mzima anadai..."wanaume wenzangu wanananihiino, mbona wake zao hawaharibikiwi"....oohh my neighbour's pubic hairs!...
Huyu m'baba ni mshenzi period!
 
He? bibi wewe nawe ndio nini kumsema mumeo kiasi hicho? Hicho ni kitu cha kawaida sana kwa siku hizi, mbona wewe kama umerudi miaka ilee ya 47? Mimi kilikuwa kipya kwangu lakini kwa sasa nimezoea na tunaishi vizuri tuu, acha hizo mpe mwenzio japo siku moja moja, ndoa yenu itadumu na mtakuwa na amani. Unaweza kumchukia mkaachana alafu ukapata mwingine hata hajatamka kukuoa urafiki tu anakuomba kitu kile kile, utakuwa umeruka majivu na kukanyaga moto. Nikuambie shoga hiyo ni style kwa wanaume wengi sana siku hizi! Hata humu JF wapo wengi tuu, lakini kwa aibu utaona wanakuandikia kukupa pole, ila mioyoni mwao wanakuona hujatulia! MI NAKUOMBA SHOGA MPE MUMEO, DUNIANI MAPENZI KUPEANA!
 
ohooooo! Sydney wewe ni HE/SHE? samahani kwa swali hilo
 
oow boy ... thats so cruel... I hope she had managed to get rid of him...

Hivi huko Tanzania hakuna courts? can she take this case to the court?
 
kaizer, vipi unashangaa hizi ni zama za uwazi na ukweli ndugu yangu, mimi ni she! na ndio maana namshangaa sana huyo mwenzangu! Ataweza kuvunja ndoa kwa kuogopa kujifunza kupika ugali na kuungua unapotokota! BILA SAMAHANI! ni mawazo tuu!
 
Sydney sasa wajameni huyo dada kasema hapendi halafu anaumia lakini huyo baba analazimisha tuu...

ndo mambo gani ya kisasa hayo?
 
kaizer, vipi unashangaa hizi ni zama za uwazi na ukweli ndugu yangu, mimi ni she! na ndio maana namshangaa sana huyo mwenzangu! Ataweza kuvunja ndoa kwa kuogopa kujifunza kupika ugali na kuungua unapotokota! BILA SAMAHANI! ni mawazo tuu!

Nimeipenda hiyo,

mimi hoja yangu ni kwamba kwa nini amlazimishe? ndicho wanacholalamika wadau hapa...sikatai kwamba okay siku moja moja mtu abadilishe mboga but inafanyika hivyo kinguvu, na kwa kuangalia kuwa mtu mwenyewe ndo hivyo hana mbele wala nyuma?

si mnakaa mnakubaliana au sio jamani..consent..hapa haikuwepo ndo maana jamaa anaonekana muuaji tu wa kuachana naye...kama anamvizia hadi wakati anaumwa?
 
oow boy ... thats so cruel... I hope she had managed to get rid of him...

Hivi huko Tanzania hakuna courts? can she take this case to the court?

Zipo, ila ni kwa wenye uwezo..huyu dada hata uwezo huo hana sasa ndo shida, hata uelewa sidhani kama upo ki viile!
 
NONAME, huyo dada kuumia ametaka mwenyewe, maana mumewe alianza kwa kumuomba mara baada ya kufunga ndoa, kwahiyo angefikiria na kwenda taratibu taratibu kisha mambo yangekuwa poa! Lakini yeye alikataa, wacha alazimishwe! mi mumewe namuona yuko sawa kabisaaaaaaa!
 
KAIZER, kama nilielewa vizuri mumewe alianza kumuomba mke siku tuu walipofunga ndoa! Lakini mkewe ndo akawa mbishi, ndio maana jamaa akawa mbogo, lakini yote kayataka yeye mke, alipoombwa angekubali kisha akamwambia mumewe kuwa anaogopa then mumewe angemwendea taratibu, maana taratibu ndo mwendo, nina uhakika wangefika pazuri sio hapo walipo sasa! Si kweli kwamba jamaa anamwingilia kinguvu anataka haki ya ndoa maana mwanzo aliomba, JE? kama aliponyimwa na mkewe angeenda kutafuta nje, for sure tungekuwa tunajadili la yeye kulalamika mumewe anatoka nje ya ndoa! TUWE WAKWELI JAMANI TUNZA CHAKO, KITATULIA! sio kaizer?
 
Naona thread imeshaingiliwa na makafiri tayari. Labda tuombe MODS waipeleke sehemu ya uficho, maana imeshatoka ktk mfumo wa kuisaidia jamii.
 
Pole sana dada yangu kwa masahibu yanayokupata,
Sifahamu Dini yako. Lakini ninachotaka kusema ni kwamba Vitabu vyote Viwili vya Dini vimekataza mchezo huo.
Mwanaume huyo anawalakini kichwani mwake.
Wewe hata ungekuwa ukipendelea mchezo huo yeye anapaswa kukukatalia
na hata kukupiga.
Lakini anakuambia hata marafiki zake wanafanya mchezo huo.
Inamaana wakikaa kwenye vikao vyao wanaongopeana ndiyo maana siku ya kwanza alikuingilia kwa nguvu.
Watakuwa walipanga kuwa huyo ni mke wako lazima akupe. Kwanza m-bamize kisawa sawa mpaka achoke alafu umwingilie atazoea mbona wake zetu wamezoea.
Huyo Mwanaume Hana Busara.
Yeye anakuambia usitoe siri wakati yeye anatoa siri yenu ya ndani.
Rafiki yake alijuaje kama Wewe umekataa kuingiliwa kinyume cha maumbile?

USHAURI WANGU
Kwakuwa baba yako yuko, Basi nenda Nyumbani kwenu umueleze shangazi yako sio baba.
Shangazi atakuelekeza cha kufanya.
Naamini kitaitishwa kikao Pale nyumbani kwenu utaenda wewe na mume wako.
Yaani Mume wako ataitwa kama mgeni wa heshima akiwa na watu wengine upande wafamilia ya kwao.
Hilo Bomu utalipasulia pale nyumbani na itakuwa ndio mwanzo wa kuachana naye.
Wazee wakisikia sauti yako kuwa badala ya kutumia uke anatumia sehemu nyingine itakuwa ni aibu kwa huyo mume wako.
Kwa kawaida mnaachana siku hiyo hiyo.
Sema jinsi alivyo kufira mara mbili.
Mpaka hapo utakuwa umeepukana na tatizo hilo la kufirwa kwa nguvu.
Ukieendelea kukaanaye kweli ataendelea mwishowe ****** utaota fangasi zinazowasha utakuwa ukisikia hamu ya kufirwa.
Hakikisha unatengeneza mazingira ya kuachana na yeye kabisa.
Utaolewa na Mume mwingine Mungu atakuongoza.
 
Dah! kweli dunia imekwisha jamani, tunaenda wapi sasa? pole sana dada kweli hata mm imeniuma sana, lkn naomba kuuliza swal kwani huyo mumeo mlikutana siku moja tuu na kuowana? au mliishi maisha ya uchumba kama ilivyokawaida? je wakati mkiwa kwenye taratibu za uchumba hakuwahi kukuomba kitu kama hicho????? na kama ni ndio kwa nini hukuchukua hatua mapema dada yangu?? maana sidhani kama wakati wote wa uchumba kwamba hukuwahi kukutana naye, nakama ulikutana naye ni wazi kwamba alishawai kukutamkia, maana anaonyesha huo ni mchezo wake wa siku nyingi sana tena si ajabau huyo anawafira hata wanaume wenzake ndio maana hawezi kulala bila kufira mtu jamani, hakuanza leo. anyway mm nakuomba usifanye siri utakuja kufa dada maana po siku utamwima atakupiga hadi kufa na watu wasijue kilichokuuwa ninini kisa unaficha siri. toa taarifa kwa wasimamizi wenu wa ndoa haraka. ikishindikana rudi kwenu Mungu atakusaidia. siyo yeye peke yake mwanaume. naomba mungu akutie nguvu uyashinde majaribu hayo ya SHETANI
 
Pole sana bibie kwa hilo tatizo,jaribu kukutanisha wazazi wa pande zote mbili uliweke wazi sababu limefikia hali mbaya huna haja ya kukaa kimya.
 
Pole sana dada yangu, ukisikia mapito ndio hayo. Huyo bwana ameshindikana ikiwezekana achana naye maana amekufanya wewe ni chombo chake cha starehe wala hana mapenzi yoyote na wewe. Alaaniwe katika Jina Yesu wa Nazareti aliye Hai. Amen
 
He? bibi wewe nawe ndio nini kumsema mumeo kiasi hicho? Hicho ni kitu cha kawaida sana kwa siku hizi, mbona wewe kama umerudi miaka ilee ya 47? Mimi kilikuwa kipya kwangu lakini kwa sasa nimezoea na tunaishi vizuri tuu, acha hizo mpe mwenzio japo siku moja moja, ndoa yenu itadumu na mtakuwa na amani. Unaweza kumchukia mkaachana alafu ukapata mwingine hata hajatamka kukuoa urafiki tu anakuomba kitu kile kile, utakuwa umeruka majivu na kukanyaga moto. Nikuambie shoga hiyo ni style kwa wanaume wengi sana siku hizi! Hata humu JF wapo wengi tuu, lakini kwa aibu utaona wanakuandikia kukupa pole, ila mioyoni mwao wanakuona hujatulia! MI NAKUOMBA SHOGA MPE MUMEO, DUNIANI MAPENZI KUPEANA!

oh may dia God wangu??? sooon and very soon we are going to see the .......
oh God dont kill us as sodoma na gomora
 
KAIZER, kama nilielewa vizuri mumewe alianza kumuomba mke siku tuu walipofunga ndoa! Lakini mkewe ndo akawa mbishi, ndio maana jamaa akawa mbogo, lakini yote kayataka yeye mke, alipoombwa angekubali kisha akamwambia mumewe kuwa anaogopa then mumewe angemwendea taratibu, maana taratibu ndo mwendo, nina uhakika wangefika pazuri sio hapo walipo sasa! Si kweli kwamba jamaa anamwingilia kinguvu anataka haki ya ndoa maana mwanzo aliomba, JE? kama aliponyimwa na mkewe angeenda kutafuta nje, for sure tungekuwa tunajadili la yeye kulalamika mumewe anatoka nje ya ndoa! TUWE WAKWELI JAMANI TUNZA CHAKO, KITATULIA! sio kaizer?

dini gani kwa zilizopo zinzzoruhusu haki ya ndoa iwe kinyaa hicho. si kwa masikio yangu wala kwa macho yangu sijawahi ona maandiko ya Kimungu yanayoruhusu uchafu huu.tena imeainishwa vema kua mtanda na mtendwaji mahali pao ni jehanam tuu.inakuje hiyo iwe haki ya ndoa????
 
Hizi mada Fidel80 anaweza kutoa msaada. Dunia inaongozwa na shetani dalili zote zimepita na sasa dalili zilizoko hata hazikutabiriwa na manabii lakini zinatokea. Kuna mambo hata shetani hashiriki kumshawishi mtu ni mtu mwenyewe amegeuka shetani.

Tufunge macho tuombe.

Eee Mungu baba nakuomba ukapate kumgusa huyo mwanaume fedhuli akapate kushindwa katika jina la Yesu na kama akizidi Mungu naomba umnyanganye hiyo nguvu inayompa kiburi asichaji tena maisha.

Amen

Na wanaume wote wenye tabia hizi kwa wake zao Mungu wanyang'anye uwezo uliowapa.

Amen
 
Back
Top Bottom