Michepuko ya mume wangu ni ndugu zake wa damu

Smart AJ

JF-Expert Member
Mar 21, 2022
5,542
5,752
PART 5
MICHEPUKO YA MUME WANGU NI NDUGU ZAKE WA DAMU

Baada ya kupiga simu nikaingia chumbani nikamwambia Mercy vaa nguo uje huku tuyamalize, sikuwaambia kama Mama anakuja. Mume wangu analiangalia hanimalizi, nikamwambia we baki ndani niongee na kina Mercy kwanza.

Mercy akatoka kakunja sura na yuko mjeuri sana, akasimama kanishikia kiuno.
Nikamuuliza Mercy inakuwaje unatembea na kaka yako, akasema wifi Mimi ni kweli natembea na kaka Fabian wala si uongo. Ni bwana wangu wa siku nyingi sana na nilikuwa naishi nae kabla hujaolewa, hata wazazi wetu wanajua hili. Nimeshatoa mimba zake kama tatu na Sasa nina mimba yake nyingine na Safari hii nimesema sitoi nisije kosa kuzaa, nimeamua nimzalie mtoto. Amenipangia nyumba nyingine baada ya wewe kuja hapa na analipa kila kitu. Sasa namshangaa huyu kipereto anakuja kusema nini hapa, wakaanza kugombana tena na Lisa. Nikawaambia jamani tulieni kwanza, naomba utulivu.

Kidogo Mama Mkwe, Baba Mkwe na wifi wakaingia nilivyowaona nikaanza kulia. Nililia kwa uchungu sana nikawahadithia yote mpaka mimba ya Mercy. Baba Mkwe akamwita Fabian, akatoka chumbani akaja. Baba akamuuliza "Wewe ulituambia unaoa Mke wako ili uachane na Mercy, imekuwaje tena umeoa bado uko nae na nilisema muachane. Baba akasema na bado unatembea na mtoto wa Dada yangu, wewe Mtoto una laana gani wewe. Nilichoka jamani, nikasema na Mercy kasema ana mimba na hawezi kuitoa kaamua kuzaa, Mama Mkwe akasimama uwiii jamani akaanza kulia jamani Fabian mwanangu nini kimekupata, aibu gani hii. Kanyamaza tu. Ila nikaona hakuna jipya, wazazi wanajua kinachoendelea, mtoto wao hawamkanyi ni kuulizana tu, nikaona wananichora.

Nikawaambia wazazi inaonekana mahusiano ya Fabian na Mercy mnayajua na inaonyesha hakuna jipya, Mimi naomba niondoke nitarudi wakati mwingine. Nikatoka nikaondoka kwetu.
Nilifika kwa Mama nililia sana, nikamuhadithia Mama hakuamini, wakasema hembu kaa kwanza utulie. Shangazi yangu akasema nilikwambia mwanangu sio kila familia inafaa kuolewa nayo, nyingine zina laana. Daaah niliumia sana.

Chakushangaza zaidi baada ya pale, Mercy na Fabian waliendelea na mahusiano kama kawaida, Mercy sasahivi amezaa mtoto wa kiume na Mimi sina mtoto na wanaishi pamoja. Mercy alinitumia message akasema "rudi tu kwako lakini mimi na Fabian hatuachani" kaa kwenye ndoa yako jua Mimi nipo.

Niliumia sana, nilihisi kudhalilika, nikaamua nibebe vyakwangu niondoke kwetu. Maana sioni hata muelekeo na sioni msaada popote.

Jamani kuna wanaume hawafai, kuna familia haziingiliki, najiuliza aliniolea nini huyu kaka hata sipati jibu. Ndoa imekufa, Mercy ndio yuko na kaka yake mapenzi moto moto.

MWISHOOOOO
 
kaa kwenye ndoa yako, hakuna ndoa kamilifu. kila ndoa ina makandokando yake
 
ndoa za koo za simba, hazina "makandomakando". Simba husaidiana kwenye mapungufu.

Woyooooo, woyoooooo mijegejoooooo R.l.P
 
Back
Top Bottom