Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile

Zambi ni kwenda kinyume na Amri Kumi.
Sasa je kuna mahari ktk Amri kumi wamekataza kwenda kinyume na maumbile?

Kama hamna mpe mambo mwenzio ajirrrrrambe .
We ukikataa ataenda kukurupua jianti huko matokeo yake ataulizwa ''unaanza huku au huku?''

Jitume bibie, we usione wenzio wanadumu ktk mapenzi more than two or three years.
Wanajisaidia haja kubwa wale...oooohooooooo
 
mficha maradhi kifo humuumbua. kwake imeshatokea, wala sijui kama anasoma huku. cha msingi kwa wadada wa leo. msiende kwa waume mkiwa mikono mitupu! yanaweza kuwakuta mengi mabaya na mkakosa pa kukimbilia. hakikisheni mnakuwa na vyanzo vyenu vya kipato na hali itakapobadilika kwenye ndoa una pa kujishikiza

Moral(Maadili) na Knowledge(ilmu, yaani elimu ya dini na dunia) capitals ndio misingi wa maisha kuliko any material capital. Na kwa kweli ni materialistic mentality ndio chanzo cha matatizo. Wazazi lazima waishi wakijijua kuwa wana jukumu la mfano kwa watoto wao, aidha kwa wanayoyafanya dhahiri na wanayoyafanya kwa siri na watoto waeleweshwe kimazungumzo na kidarasa za nyumbani juu ya "haki za wanaooana" pamoja na ofcourse mambo mengineyo mengi ya kimaisha , KINAGA UBAGA BILA YA KUFICHA CHOCHOTE, kutegemeana na nyakati tofauti kutokana na umri na makuzi ya mtoto husika. Mvulana ana namna zake na msichana ana namna zake. Halali is clear na haramu ni clear, na vilivyo katikati ni doubtfull things, wajiepushe navyo na watabakia na halali tu.

Kichwa hasa cha maadili ni kwamba: imani, hofu, mapenzi, utii, utegemezi, na ibada ni lazima vielekezwe kwa mmoja tu, peke yake, bila ya kufikiria na kuamini kwamba kuna aidha mshirika, mbadala au nothing katika hili ila yeye, naye ni Mwenyezi Mungu. Wakilikamata hili tu, basi kila kitu kita-fall into place. Baba, mama, ndugu, jirani nk, kila mmoja ana nafasi na daraja yake na vile vile Mume ana nafasi na daraja na HAKI yake na mke ana nafasi na daraja na HAKI yake, individually and collectively kama wanandoa. Mipaka, roles and responsibilities ziko wazi. Hakuna kiumbe yeyooote akiwemo mume isipokuwa anastahili mapenzi, imani, utii, nk with conditions(masharti), na mke nae vilevile. Anaestahili tu haya uncondtionally (bila ya masharti) ni Mwenyezi Mungu Muumba peke yake. No one is subservient wa mwengine, as simple as that

Hii leo Geoff ni daily news, sio mzalendo, unaionaje???
 
Zambi ni kwenda kinyume na Amri Kumi.
Sasa je kuna mahari ktk Amri kumi wamekataza kwenda kinyume na maumbile?

Kama hamna mpe mambo mwenzio ajirrrrrambe .
We ukikataa ataenda kukurupua jianti huko matokeo yake ataulizwa ''unaanza huku au huku?''

Jitume bibie, we usione wenzio wanadumu ktk mapenzi more than two or three years.
Wanajisaidia haja kubwa wale...oooohooooooo

Duh!!!
 
Huyu mume ana pepo wa ukatili binadamu kama binadamu huwezifanya unyama wa aina hii!! Suala hapa si kutaka kupewa mlango wa uwani la hasha suala ni ukatili anaoutumia kwa kulazimishia kupata hicho kitu. Kusema ukweli imeniuma sana eti unaanguka na kupoteza nguvu ye anakugeuza na kukuingilia?? Jamani angemaliza hiyo starehe yake na kukukuta umeshazimika moja kwa moja angesemaje?. Hapana huyo ana yake kwani mlimdai mahari ya kiasi gani? Je wakati wa uchumba na urafiki hakuwa na vitabia vilivyokuwa vinaashiria ukatili? ah kumbe muhusika hayupo?

We kaizer hebu njoo ukaniulizie maswali yangu kisha uje uniletee majibu hapa ndo niendelee ama sivyo nafunga bakuli langu. Umeniuzi!

:p:p......
 
kwa jinsi nilivyo ielewa makala hii nimeona

kwanza
financial problem, kama dada alivyo sema ni kwamba kwao uwezo ni mdogo

pili
jamaa ndio kampatia mtaji wa biashara hopefully baada ya kumuoa

tatu
Kutokana na vijipesa vyake huyo jamaa ndio maana mwanamke aliamua kuolewa naye ili angalau ajikwamue kiuchumi

nne
pamoja na matatizo yoote hayo lakini dada anaonekana amemsahau mungu kwani amehangaika kuwaeleza marafiki bila kujua kuwa kesi ya nyani anapeleka kwa ngedere ambaye naye hula mahindi shambani

Tano
huyu mume wake kwa sababu ya hayo yoote ndio maana ameamua kumyanyasa kadri alivyoweza kwa kujua hatamfanya chochote sababu tu bibie hali ya kipesa sio nzuri

Ushauri

kwanza

Dhambi hiyo ni mbaya saana maana hata vitabu vyadini vimeelezea bayana, namshauri dada kama anamuamini mungu, na pia anayaweza yoote, akutane na viongozi wa dini awaelezee kwani ninaamini watamuombea kwa mungu na mambo yoote yatakwisha kwahi hapo shetani amekamata kila pande, akitaka nitampatia maelekezo zaidi

Pili

Kuliko kuendela kuteseka ni bora kuondoka maana kinachofuata ni kifo, Kuachana na huyo mtu haina maana ndio mwisho wa dunia, maisha yataendelea mbele kwani ninaamini atapata ufumbuzi yaani kweli dada mzima ushindwe hata kuchoma vitumbua kwa kuanzia maana hata mafanikio una dream big but you start with little,

mwisho

nampa pole saana ila achukue uamuzi kwani akikataa atammaliza na akiendelea kukaa hapo atamzoesha na atazoea na dhambi itaota mizizi na zaidi ya hapo mauti maana mshahara wa dhambi ni mauti.

pole saana dada
 
Dada pole sana. Kimya chako na woga zitakufanya uwe chizi au kichaa au kufa. Achana na huyo mume. Ulifanyiwa upasuaji , je madaktari uliwaeleza tatizo hilo limetokana na nini. Nadhani vyeti uliyofanyiwa upasua na sababu ya upasuaji unavyo, nenda kwenye vyombo vya sheria au mahakama ya wanawake au waone wanasheria wanawake wakusaidie. Kwani mumu ni nini. Hilo tatizo lako limeniuma sana.
 
u r back sweety!!!! dunia ina mambo na ndoa kweli ndoano!!!!!!!!!!!!!


am back ma dearest...yaani hivi kweli mtu anakufanyia kitu kama hicho tena kwa nguvu....jamani.. jamani......
 
Si uliapa kwa shida na raha, sasa hizo ndizo shida zenyewe sasa --- komaa nazo tu utunze ndoa yako mama.
 
am back ma dearest...yaani hivi kweli mtu anakufanyia kitu kama hicho tena kwa nguvu....jamani.. jamani......

eti bado anasubiri karatasi named 'talaka'...by the time analipata atakuwa 'kazoea' shughuli tenyewe n there wont be any need of leaving!!!!!!!!!!!!!!!
 
eti bado anasubiri karatasi named 'talaka'...by the time analipata atakuwa 'kazoea' shughuli tenyewe n there wont be any need of leaving!!!!!!!!!!!!!!!

hapo mie ndio hoi...hivi kwanza unataka talaka ya nini,ni pesa hiyo useme unaenda kuongezea kwenye biznec? hv mie nikae niseme nasubiria talaka? khaa watu wengine jamani mbona uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana?...huyu dada karidhika/anampenda huyu bwana.
 
hapo mie ndio hoi...hivi kwanza unataka talaka ya nini,ni pesa hiyo useme unaenda kuongezea kwenye biznec? hv mie nikae niseme nasubiria talaka? khaa watu wengine jamani mbona uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana?...huyu dada karidhika/anampenda huyu bwana.

dada ni tegemezi na muoga kuyakabili maisha ndo maana anashindwa kusepa!!!! kazoe that she has a shoulder to lean on na sasa bga lenyewe ndo hiloooo
 
dada ni tegemezi na muoga kuyakabili maisha ndo maana anashindwa kusepa!!!! kazoe that she has a shoulder to lean on na sasa bga lenyewe ndo hiloooo

kuna mambo sana kwenye hizi ndoa, kama anaona hivyo c ampe sasa? nimekacrika kweli, yaani wewe uteseke kihivyo kisa unamchukulia mume kila kitu maishani?
 
Jamani tunapokuwa kwenye makundi siyo kila unaloambiwa kuwa mwenzio anafanya basi nawe ufanye!
Hapa kuna issue ya ku-justify kuwa mbona hata marafiki za huyo jamaaa wake zao huwa wanawapa!!!INAMAAANA HUYO JAMAAA ANAHADITHIWA NA WENZAKE WANACHOKIFANYA KWA WAKE ZAO!!!!!.
Shida inaanzia hapo!!!!sasa akishamaliza kumfanyia hiyo anaendelea kuita sweet?UPUUUUZI MTUPU YEYE AKIINGILIWA KINYUME CHA MAUMBILE ATAKUBALI?AJARIBU KWANZA!!!!!
 
Hataki kuolewa na mimi mpaka nimle tigo!
Pape
user_offline.gif
1st February 2010, 05:20 PM



Mume wangu anataka kuniingilia kinyume na maumbile
Kaizer
user_online.gif
29th January 2010, 01:37 PM
Hawa inafaa wabadilishane!! Duniani kuna ishues
 
Kuanzishwe tume ya manyanyaso katika ndoa; Ishughulike manyanyaso kama haya! unajua kama ndoa haziko stable basi na familia zetu nyingi haziko stable pia vivyo na taifa halitakuwa stable!

So hii issui ni siaz kuliko tunavyofikiri!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom