Akasankara
JF-Expert Member
- Feb 28, 2015
- 4,050
- 5,513
Kutokujificha
Jijini Chato. Anyway!!! Kwanini wasiseme waziwazi kwenye ile platform yao (bunge)? Huo pia ni unafiki wa hali ya juu sana.Katika suala la kupambana na virus vya KORONA niwapongeze wabunge wengi wa CCM na wale vyama vya upinzani kwa kupingana na Sera ya Rais ya tuchape kazi tusiogope kakorona.
Wabunge wengi wameenda kinyume na mawazo yake na badala yake wanahimiza kampeni ya Stay home ( baki nyumbani) kupitia mitandao mbali mbali ya kijamii Kama vile Instagram, WhatsApp na Facebook.
Kampeni hii imefanikiwa kwani ukiangalia kwa Sasa mitaa mbalimbali ya jiji la Dar watu wamepungua Sana na pia kwenye usafiri wa umma idadi kwa sasa Ni ndogo ukilinganisha na ilivyokuwa awali
Huu ndio ujasiri tunaoutaka kwani siyo kila wazo la Rais linakuwa sahihi, mengine inafaa kujiongeza. Tuendelee kupambana mpaka nchi ijifanyie lockdown bila hata tanko la Rais maana hata yeye kashaunga mkono kwa kijifanyia lockdown jijini Chato.
Jijini Chato. Anyway!!! Kwanini wasiseme waziwazi kwenye ile platform yao (bunge)? Huo pia ni unafiki wa hali ya juu sana.
Duh...!. Kumbe Chato nayo sasa tayari ni jiji?!.jijini Chato.
HahahahaDuh...!. Kumbe Chato nayo sasa tayari ni jiji?!.
Mimi siku nyingi nilisema humu,
Naunga Mkono Uwanja wa Ndege wa Chato, Una Justification, Utakuwa kama Ggabolite, au Yamoussoukro, Watalii Watamiminika! - JamiiForums
P
Tembelea kurasa zao za mitandao ya kijamii"Wabunge wengi wa Ccm" ni akina nani hao! Mbona hujawataja kwa majina walau wale walio mstari wa mbele zaidi? Kwa upande wa Upinzani wanafahamika tayari.