Naomba kutofautiana na maelekezo ya Rais Samia kwamba Serikali itapunguza kukopa. Serikali ongezeni kukopa, nitaeleza sababu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,076
49,774
Akiwaapisha Viongozi aliowateua Rais Samia amesikika akisema Kwa miaka hii 3 Serikali yake imekopa sana Kwa Ajili ya Huduma za jamii ila Sasa wanaenda kupunguza kukopa.

Kwa haraka haraka Kwa mtu ambae sio mchumi ataona Rais Yuko kwenye muelekeo sahihi ila binafsi napingana na hiyo Kauli.

Nchi hii Kwa miaka Mingi tumekiwa tukiogopa kukopa kana kwamba ni Dhambi au jambo baya wakati katika Hali ya kawaida Ili upige hatua za maendeleo Kwa haraka lazima ukope iwe kwenye biashara binafsi au Kwa Nchi.

Wakati Serikali inasema itapunguza kukopa, deni letu liko chini ya mstari wa ukomo kulingana na vigezo rasmi na mbaya zaidi taasisi za kufanya tathmini ya kukopesheka Kwa Nchi zimeiweka Tanzania kwenye alama B+ na Kato ya Nchi 10 Za Afrika Zenye Madeni madogo sana.

Wakati sisi tunaogopa kukopa wenzetu mfano Angola,Kenya,Uganda nk Wana Madeni kuzidi 100% Juu ya mstari wa ukomo.Hivyi hivyo Kwa Nchi zote kubwa Duniani ikiwemo China ,USA nk.

View: https://www.instagram.com/p/C4ctEmHsQFH/?igsh=MXcwYTV4Z3k0bnZyZA==

Hoja yangu ni nini ,Naomba Serikali Iongeze juhudi za kukopa badala ya kupunguza. Kwa nini tuendelee kukopa
1. Tanzania ni Nchi kumbwa ambayo inakabiliwa na Changamoto kubwa ya miundombinu ya uchumi mfano Umeme,Maji na Barabara

-Bila kukopa tutadunduliza Kodi za kukamua maskini Hadi lini?

2. Watu Wetu ni maskini.Tafsiri ya kupunguza kukopa manake ni kuongeza Kodi na tozo.
-Yaani tuna Nguvu kazi ambayo 70% inategemea Kilimo Cha kujikimu,Sasa watu Hawa utawaongezea Kodi na tozo watajikwamua lini kiuchumi?

3. Tuna fursa ya Kukopa na Tunakopesheka.
-Serikali isiache kukopa Kwa sababu tunayi hiyo fursa na tunakopesheka,Sasa ni Bora kutumia fursa Sasa hivi kuliko kusubiria.

Ushauri.
-Serikali ikope Mahsusi Kwa Ajili ya kufungua miundombinu ya Uchumi kama Barabara,maji,Umeme na Miundombinu ya Kilimo Cha Umwagiliaji.

Tuache kabisa kukopa Kwa Ajili ya Huduma za jamii kama kujenga mashule,Vyuo,Vituo vya Afya na mambo ya Mahakama.Hizi Huduma ndio tuzifanye Kwa makusanyo yetu.

My Take
Vicious circle of Poverty rule inasema kinachosababisha umaskini ni kukosa capital ambayo ingekuwa invested na Kuongeza production.

JK amewahi nukuliwa akisema Watanzania Wanakabiliwa na umaskini wa kipato Sasa huo umaskini hauwezi kutatuliwa Kwa kuongeza Kodi,tozo na Utitiri wa urasimu in the name of kujitegemea.Ni Kuzalisha maskini Juu ya maskini.
 
Waendelee kukopa badala ya kujikaza na kupambana kwa nguvu zote
Tafuteni mbinu za kukusanya hela bila kuwaumiza sana wananchi
Ila huduma za jamii pia ziwepo
Unakopa halafu zinapigwa na wachache sasa kuna faida gani ya kukopa
Miradi mnayoombea ni mikubwa na mnachora mikakati ya kuombea hiyo mikopo, ila mkipewa sasa zote zinaliwa
Mama kashtuka ila anashindwa kumwambia direct waziri husika

Kwa maana ya kwamba wizi sasa tunapunguza
Mbona hamuelewi nyie
 
Watu ni maskini walipa Kodi hawazidi mil.4 ,hizo mbinu ni zipi ilhali mahitaji yanazidi kukua?

Kujibana aliharibu Nyerere pamoja na watu wachache ila mlivaa viraka na akashindwa kujenga Barabara na shule Kila mahala.

Njia rahisi ni kukuza uchumi na Ili ukisema uchumi lazima uwekezaji kwenye economic capital ambayo inahitaji pesa nyingi na Kwa kuzipata ni kukopa na kuziweka kwenye uchumi.

Hii ya Kodi Kodi has not worked anywhere.Kujibana siku zote Huwa kunaongeza umaskini.Utasubiria uje nyanya sokoni au uvizie ushuru wa magunia ya wakulima ndio upate bil.500 za kujenga umeme mkubwa kama huu unaohitajika kwenye viwanda? 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/C4euZHONUV6/?igsh=ZjZzaXYxbWsyOGFr

Fuateni ushauri wa DK.Kimei
 
Watu ni maskini walipa Kodi hawazidi mil.4 ,hizo mbinu ni zipi ilhali mahitaji yanazidi kukua?

Kujibana aliharibu Nyerere pamoja na watu wachache ila mlivaa viraka na akashindwa kujenga Barabara na shule Kila mahala.

Njia rahisi ni kukuza uchumi na Ili ukisema uchumi lazima uwekezaji kwenye economic capital ambayo inahitaji pesa nyingi na Kwa kuzipata ni kukopa na kuziweka kwenye uchumi.

Hii ya Kodi Kodi has not worked anywhere.Kujibana siku zote Huwa kunaongeza umaskini.

Fuateni ushauri wa DK.Kimei
Uko sahihi kabisa kwa hilo boss
Tatizo linakuja hizo hela nani anazilinda?
Maana wanazipiga haswa
Sikatai kukopa ila hela zote zifanye kazi yake
Hivi kama magari yote yanayoingia kariakoo kwa traffic ile na ikatozwa 3000 na buku guta , 500 pikipiki unafikiri ni shiling ngapi zitakusanywa hapo
Huo ni mfano tu maana naona hata nchi zilizoendelea wanafanya hivyo pia
Kwa mfano London, Moyar Khan alileta congestion charge na sasa kuna Ulez
Unajua kwa siku wanakusanya pound ngapi? £4m
Sasa sisi hatuna ubunifu wa kusaidia na hizo hela zinasaidia sana kwa maendeleo ya jiji
 
Akiwaapisha Viongozi aliowateua Rais Samia amesikika akisema Kwa miaka hii 3 Serikali yake imekopa sana Kwa Ajili ya Huduma za jamii ila Sasa wanaenda kupunguza kukopa.

Kwa haraka haraka Kwa mtu ambae sio mchumi ataona Rais Yuko kwenye muelekeo sahihi ila binafsi napingana na hiyo Kauli.

Nchi hii Kwa miaka Mingi tumekiwa tukiogopa kukopa kana kwamba ni Dhambi au jambo baya wakati katika Hali ya kawaida Ili upige hatua za maendeleo Kwa haraka lazima ukope iwe kwenye biashara binafsi au Kwa Nchi.

Wakati Serikali inasema itapunguza kukopa ,deni letu liko chini ya mstari wa ukomo kulingana na vigezo rasmi na mbaya zaidi taasisi za kufanya tathmini ya kukopesheka Kwa Nchi zimeiweka Tanzania kwenye alama B+ na Kato ya Nchi 10 Za Afrika Zenye Madeni madogo sana.

Wakati sisi tunaogopa kukopa wenzetu mfano Angola,Kenya,Uganda nk Wana Madeni kuzidi 100% Juu ya mstari wa ukomo.Hivyi hivyo Kwa Nchi zote kubwa Duniani ikiwemo China ,USA nk.

View: https://www.instagram.com/p/C4ctEmHsQFH/?igsh=MXcwYTV4Z3k0bnZyZA==

Hoja yangu ni nini ,Naomba Serikali Iongeze juhudi za kukopa badala ya kupunguza.Kwa nini tuendelee kukopa
1.Tanzania ni Nchi kumbwa ambayo inakabiliwa na Changamoto kubwa ya miundombinu ya uchumi mfano Umeme,Maji na Barabara
-Bila kukopa tutadunduliza Kodi za kukamua maskini Hadi lini?

2.Watu Wetu ni maskini.Tafsiri ya kupunguza kukopa manake ni kuongeza Kodi na tozo.
-Yaani tuna Nguvu kazi ambayo 70% inategemea Kilimo Cha kujikimu,Sasa watu Hawa utawaongezea Kodi na tozo watajikwamua lini kiuchumi?

3.Tuna fursa ya Kukopa na Tunakopesheka.
-Serikali isiache kukopa Kwa sababu tunayi hiyo fursa na tunakopesheka,Sasa ni Bora kutumia fursa Sasa hivi kuliko kusubiria.

Ushauri.
-Serikali ikope Mahsusi Kwa Ajili ya kufungua miundombinu ya Uchumi kama Barabara,maji,Umeme na Miundombinu ya Kilimo Cha Umwagiliaji.

Tuache kabisa kukopa Kwa Ajili ya Huduma za jamii kama kujenga mashule,Vyuo,Vituo vya Afya na mambo ya Mahakama.Hizi Huduma ndio tuzifanye Kwa makusanyo yetu.

My Take
Vicious circle of Poverty rule inasema kinachosababisha umaskini ni kukosa capital ambayo ingekuwa invested na Kuongeza production.

JK amewahi nukuliwa akisema Watanzania Wanakabiliwa na umaskini wa kipato Sasa huo umaskini hauwezi kutatuliwa Kwa kuongeza Kodi,tozo na Utitiri wa urasimu in the name of kujitegemea.Ni Kuzalisha maskini Juu ya maskini.

Is not about kukopa ,how do you utilize huo mkopo. Mara ngapi tunakopa halaf pesa haifiki panapotakiwa ? Poor planning?

Namuunga mkono mhe rais, it time tupunguze hii kitu
 
Mpumbavu amepoteza mvuto nchi imemshinda hakuna alichofanya hata kimoja sasa ana haa kudanganya watu kuwa ni mzalendo na kujidsi ana jali nchi ....tskataka za makunduuchi nani anaitaka
 
Is not about kukopa ,how do you utilize huo mkopo. Mara ngapi tunakopa halaf pesa haifiki panapotakiwa ? Poor planning?

Namuunga mkono mhe rais, it time tupunguze hii kitu
Uchumi sio siasa kwamba Kila mtu anaweza.

Inahitaji akili kubwa na complicity of policies Kuinua Hali ya maisha vinginevyo itakuwa mnalalamikia Kila kukicha.

Hata ukipunguza Kwa zero na huna Cha kufanya ku address umaskini ni kazi Bure sana sana utaongeza maskini.
 
Back
Top Bottom