Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,507
- 113,628
- Thread starter
- #81
Wanabodi, inawezekana hiki nilichokizumza hapa
Ila kama this time umati huu, ndizo kura, then Chadema na UKAWA wana dalili njema kwa sababu determinant ni chama kipi kitashinda overall ya uchaguzi Tanzania, lies kwenye kura za Kanda ya Ziwa!.
Ila pia bado naendelea kuwasisitiza Chadema, katika safari ya kuelekea ikulu, 2015, they should focus on the targets so as not to miss the targets!, Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, concentrations kubwa ilikuwa ni kuishambulia CCM!, CCM sio the target, bali ni watu!.
All the best!.
Pasco
Sasa ndio kinaanza kutokea?, angalieni hizi picha kutoka kwa mwana jf huyu,Wanabodi,
Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.
Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.
Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.
Wasalaam.
Pasco
Hizi picha ni shuhuda za umati wa watu!, and only if umati wa watu ndio wapiga kura, saa hizi zamani tungeisha zungumza mengine!, ile 1995 Lyatonga Mrema alifunga Jangwani!, ili tukija kwenye kura, ni habari nyingine!.Wakuu
Pichani ni yaliyo jiri kwenye mkutano wa Mwanza leo.