Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Wanabodi, inawezekana hiki nilichokizumza hapa
Wanabodi,

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Wasalaam.

Pasco
Sasa ndio kinaanza kutokea?, angalieni hizi picha kutoka kwa mwana jf huyu,
Wakuu

Pichani ni yaliyo jiri kwenye mkutano wa Mwanza leo.
Hizi picha ni shuhuda za umati wa watu!, and only if umati wa watu ndio wapiga kura, saa hizi zamani tungeisha zungumza mengine!, ile 1995 Lyatonga Mrema alifunga Jangwani!, ili tukija kwenye kura, ni habari nyingine!.

Ila kama this time umati huu, ndizo kura, then Chadema na UKAWA wana dalili njema kwa sababu determinant ni chama kipi kitashinda overall ya uchaguzi Tanzania, lies kwenye kura za Kanda ya Ziwa!.

Ila pia bado naendelea kuwasisitiza Chadema, katika safari ya kuelekea ikulu, 2015, they should focus on the targets so as not to miss the targets!, Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, concentrations kubwa ilikuwa ni kuishambulia CCM!, CCM sio the target, bali ni watu!.

All the best!.

Pasco
 
Wanabodi,

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi watu Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nanguro wataweza kusalimika, sehemu pekee ambayo ni salama kwa CCM Arusha, ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

Safe heaven ya CCM Arusha ilikuwa ni jimbo la Monduli, kama kwa sasa sio safe tena, na kama safe heaven ya CCM kurudi madarakani October 25 ni kama wangemsimamisha Lowassa, then hizi fununu ninazozisikia mitaani, kama ni kweli, then, October 25 CCM.. itapigwa ...mweleka...pwaaa...!,... chini!.

Pasco
 
Wanabodi,

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

Hii niliipandisha tarehe 1st May 2012 12:52, hiki ninachokishuhudia saa hizi Kanda ya Zia, ndicho hiki ninachokion
a.

Tuambizane ukweli jameni, kama umati huu, wote wamejiandikisha, na siku ya kupiga kura watu wote hawa, watajitokeza kupiga kura na wote wakampigia Lowassa!, there is no way CCM inaweza kushinda!.

Sasa hivi niko hapa mwanza hotel napiga mbili tatu na mzee mzima Gachuma na washikaji zake, wanakwambia Lowassa ni shiiiida ndani ya ccm, kila mtu wanasema Lowassa anachukua nchi sema swali walilojiuliza je Kikwete atakubali kuachia nchi chama pinzani??
 
Sitoshangaa EL kumpiga KO JPM mwanza....ccm wawekeze Geita na simiyu.
Mara, Kagera na Mwanza lazima wakae
 
Sasa hivi niko hapa mwanza hotel napiga mbili tatu na mzee mzima Gachuma na washikaji zake, wanakwambia Lowassa ni shiiiida ndani ya ccm, kila mtu wanasema Lowassa anachukua nchi sema swali walilojiuliza je Kikwete atakubali kuachia nchi chama pinzani??

JK anataka billion za Mo Ibrahim na maujiko mengine kwenye international stage.....ataachia bila wasi wasi tupige kura tu kwa EL
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Wasalaam.

Pasco
Arusha.
With just two days to go, there is nothing new to say, yote yameishasemwa, sasa imebaki kukumbushana tuu, tulisema nini, nini kimefanyika, uchaguzi ndio keshokutwa Jumapili, nini kitafanyika siku hiyo, na baada ya hapo, tukutane tena wiki ijayo, au tupongezane, au tupeane pole!.

Nchi hii inaweza tuu kubadilishwa kwa watu wenye uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu, na kusimama wahesabiwe!.

I'm very proud kuwa ni mmoja wa wapiga kura hiyo Jumapili.

Haya shime kwa wote waliojiandikisha, tujitokeze kwa wingi, tuitumie haki yetu ya kidemokrasia kujichagulia viongozi wetu,

We have to choose our leaders and love our choices and live with or without!.

Pasco
 
Sio kuwa ccm imechokwa Moshi/Arusha, bali chadema inaendekeza ukabila.
lowassa mungu akimsaidia kuwa rais cha kwanza aje kuwashukuru watu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma maana kama na wao wangekuwa na ukabila na ukanda kama ndugu zake wa kaskazini basi asingeambulia chochote huku, watu wa kaskazini badilikeni maisha ni zaidi ya uchaguzi ss siyo wajinga kama mnavyotuzania
 
Wanabodi,

Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.

Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.

Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.

Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.

Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.

Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.

Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.

Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.

Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.

Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!

Wasalaam.

Pasco
Arusha.

...ccm imechokwa Tanzania nzima kwa sasa; kama unavisha,nitajie mikoa zaidi ya mitano unayoamini kama bado ni ngome ya ccm...mimi ninaona ccm imebakiwa na mikoa miwili tu; Tanga na Dodoma, hebu niongezee mingine mitatu kama unayo?!
 
Jamani Kinje gombare kasemaje star tv sasa hivi jamani eeeeee upesiiiiiiiii mwaga uzi na mapicha you tube fastaaaaa
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom