Pamoja na uteuzi wa Dotto Biteko na Paul Makonda. Mama bado hakubaliki kanda ya ziwa

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.

Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.

Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.

Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.

Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
 
Kanda ya ziwa ipi hiyo,ziwa Tanganyika au ziwa Rukwa,eleweka usaidiwe?,kama unaongelea mikoa ya Mwanza,Kagera,Shinyanga,Geita na simiyu,rudia kufanya utafiti wako,umekosea mkuu.

Kanda ya ziwa huwambii kitu kuhusu mama

Achana na kanda ya ziwa, sasa hivi nchi nzima imeuchoka na kukinahi uongozi huu wa awamu ya sita.
Achana na hao unaoona wanapewa hela ya mboga ya siku moja kisha wanagalagala kusifia.

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.

Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.

Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.

Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.

Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Siasa za NCHI MASIKINI SHIDA SANA viongozi wanataka watawale milele

Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app
 
Hakuna ubishi kanda ya ziwa bado wana kinyongo.

Uchaguzi wa 2025 kuna kisasi kikubwa watafanya by any means necessary.

Uteuzi wa Dotto Biteko ilikuwa ni mbinu ya kurudisha ushawishi wa mama kwa watu wa kanda ya ziwa ili akubalike. Lakini haukuzaa matunda.

Haya huyu mwenezi wa CCM sasa alipoteuliwa ilidhaniwa kuwa huenda akawavuta watu wa kanda ya ziwa.Lakini imeshindikana.

Kanda ya ziwa wana kinyongo gani?
Mbona unataka kuifanya kanda ya ziwa kuwa maalum saaaaana? Why? Umefanya utafiti gani ewe SG?
 
Ukitaka kupima kama unakubalika na raia afanye kitu kimoja kirahisi tu!
Aruhusu hizi Oline media ama luninga za kimtandao zikusanye maoni kuhusu utendaji kazi wake na mambo ambayo anafanya kama watanganyika wanamuelewa.
Yaani hakuna siku Mzanzibar atakuja kuiacha Zanzibar aje aiendeleze Tanganyika kamwe! Chukua hiyo Mkuu!
 
Duh
 
Ungeamka hapo ulipolala usingizi itoke hata nje upate hewa safi .maana naona unaandika kama vile kipofu wa akili na macho. Mh Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hasssan anakubalika sana na mamilioni ya watanzania.anakubalika na kuoneshwa kutoka kila kona ya Taifa letu.hakuna kanda au mkoa ambao Rais Samia hakubaliki.

Kinachokutesa wewe na kukupofusha akili yako ni chuki zako binafsi za kijinga na kishetani.sasa wewe endelea na chuki zako na utaona namna mh Rais wetu anavyozoa na kukomboa kura zote kwa kishindo uchaguzi ujao.

Hakuna mtanzania mwenye kilo timamu anayeweza kumnyima Rais Samia kura ya ndio kwa mambo makubwa aliyotafanya kwa Taifa hili ndni ya muda mfupi.ona saizi wanafunzi wanaenda shuleni kwa raha kabisa bila bughudha baada ya kuwa wamejengewa madarasa ya kutosha na kulipiwa ada yote na Rais Samia.
 
Sio kanda ya ziwa, nafikiri ni nchi nzima, wananchi wanajiona kama wametengwa. Hasa wale wanaitwa wanyonge!
Labda wewe uliye kalia umbea nauzushi wako.lakini mamilioni ya watanzania wanampenda sana Rais Samia na wanaendelea kumuunga mkono kwa nguvu zao zote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom