saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,173
- 6,156
Taarifa iliyotolewa na BOT mwishoni mwa mwaka jana inaonesha kanda ya kaskazini yenye mikoa 4 ndio ya pili kwa makusanyo ya mapato nchini baada ya Dar.
Mapato ya Dsm hayashangazi kwasababu kadhaa, kwanza uwingi wa watu, Dsm ndio TZ utamkuta hata mhadzabe. Ila kanda ya wenye sifa yenye mikoa mingi na watu wengi ina uchumi mdogo sana ikizidiwa na kanda ya kaskazini mara 3.
Kanda ya ziwa ina mikoa ya Mara, Simiyu, Shinyanga, Geita, kagera na Mwanza wao wanaita makao makuu yao. Hii kanda wameizungukq ziwa Victoria ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani lakini watu wake hawana ubunifu, wako hovyo kiuchumi. Uwingi wa makamasi siyo ukubwa wa pua.
Nilishasemaga mara nyingi uwekezaji mkubwa Mwanza ni hasara, ni ujinga aliouanzisha Magu. SGR Mwanza ni hasara itarudi na mzigo gani. Serikali ijenge uwanja wa ndege mkubwa Arusha hata siyo Msalato, Arusha Airpot kwa siku zinaruka ndege zaidi ya 150, wataalam wa uchumi wanajua uwekeze wapi upate return kwa muda mfupi.
Tutenganishe siasa na uchumi. SGR ingeenda Arusha badala ya Mwanza, ndio ukweli hata km inauma. Mh. Rais ile barabara ya njia 4 ifike angalau KIA. KIA ni taswira ya nchi yetu.