Simba Mangu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 350
- 71
Karibu Rchuga Pasco
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, nipatapo fursa, hupita huku na kule na kubadilishana mawazo na watu mbalimbali wa kada tofauti. Kwa takriban siku 3 zilizopita, nimepata fursa ya kutembelea mikoa ya Kilimanjaro na Arusha ambayo ndiyo inayo dorminate Kanda ya Kaskazini, kiukweli CCM Imechokwa mpaka basi!.
Siku zote nimekuwa nikisema humu, CCM imekuwa ikichaguliwa na wengi sio kwa sababu ya kupendwa au kukubalika sana, bali kwa mazoea tuu wengi wakiwa ndicho chama pekee walichokifahamu tangu wamezaliwa, na wengine wakikichagua CCM kama asante ya kutuletea uhuru kupitia TANU, na idadi kubwa ya walio vijijini, wamekuwa wakiichagua CCM kwa ignorance tuu ya elimu ya uraia!. Sasa wale wanaichagua CCM kama asante ya kutupatia uhuru, ni oldguard, wanazidi kupungua na wachache waliobakia they days are numbered!. Wale wengi waliokuwa wakiichagua kwa ignorance, sasa wameamka!.
Kwa mujibu wa kada mbalimbali nilozungumza nao, wamethibitisha kuwa hakuna jinsi Ole Sendeka, Ole Medeye na Ole Nyaguro wataweza kusalimika, sehemu salama mpaka sasa ni Jimbo la Monduli tuu!.
Kama kasi ya upepo wa mwamko kama Kanda ya Kaskazini, utaingia kanda ya Ziwa kwa kasi hiyo hiyo, then hakuna jinsi yoyote ya kuiokoa CCM isipigwe mwereka uchaguzi wa 2015!.
Determinant ya nani anakuwa rais wa nchi hii, ni wapiga kura wa Kanda ya Ziwa ambayo ndiyo inayoongoza kwa idadi kubwa ya watu!. Kati ya watu milioni 40 wa sensa ya mwaka 2002 kwa Tanzania yenye makabila 120, Wasukuma peke yao wako milioni 6!. Sasa ukiwajumlisha na Kanda ya Kaskazini, hata kama mikoa yote iliyobakia wataipigia kura CCM, bado kwa kanda hizo mbili pekee, zinatosha kabisa kuipiga chini CCM!.
Mwelekeo huu ni uthibitisho kuwa ukombozi wa kweli wa pili wa Mtanzania, sio ndoto tena, ni kitu ambacho kinawezekana!.
Natoa mwito kwa Watanzania wenye mapenzi mema na nchi yetu, tusiendekeze hizi siasa za chuki za kukichukia chama fulani bila sababu za msingi ya chuki hiyo, au kukipenda na kikishabikia chama fulani kwa upenzi tuu, matokeo ya mwisho ya siasa hizi ni kujengeana chuki zisizo na sababu!. Tupingane bila kupigana, tutofautiane kisiasa bila kuchukiana bali tupingane huku tukipendana!.
Hata mimi uchaguzi wa Arumeru, nilisimama na Sioi, tumekutana na Nasari pale Dodoma, tumekumbatiana, na kiukweli kutoka moyoni mwangu, sina chuki na Nasari, namkubali kwa dhati japo namhurumia Sioi kwa sababu ni rafiki!.
Nyie watu wa Kanda ya Kaskazini, msiichukie hivyo CCM, kwani pamoja na mabaya yake, pia kuna mema mengi imelifanyia taifa hili!.
Namalizia kwa kusisitiza, huu ni mtazamo tuu!
Wasalaam.
Pasco
Arusha.
Katika kanda ya Ziwa sehemu ambayo nadhani inapaswa kufanyika kazi ya ziada ni mkoa wa Tabora, hawa wanyamwezi hata siwaelewi elewi akili zao zimekaaje!!

mkuu mkoa wa Tanga upo kaskazini lakini loh!!! lushoto pekeee ndo kuna wajanja wachache, huko kwingine ni CCM A na CCM B tu.Wee Matola wee, Msula Eve, hihiiiii......
Sasa mbona watutukana Wanyamwezi jamani bila kosa? People Power ilipofika Igunga, somo limeeleweka.
Sisi huku SIKONGE, hatujawahi kumuona Dr. Slaa hata siku moja maana anapita tu wilaya nyingine.
Kinachotuponza Sikonge ni kuwa eneo letu ni kubwa sana na vijiji vipo mbalimbali huku idadi ya watu ikiwa ndogo sana. Yaani huwezi kuamini majimbo kama Arumeru kwa Nassary peke yake, idadi ya wapiga kura inazidi wapiga kura wote wa SIKONGE. Idadi ya watu Mwanza na Shinyanga ni kubwa sana ila kwa Tabora na hasa SIKONGE hadi unakuja kufika Mbeya na Mpanda, huko ni watu wachache sana. Maeneo kama INYONGA, Kikwete ndiyo alikuwa RAIS WA KWANZA TANZANIA kufika huko maana hata Nyerere alikuogopa kufika kwa umbali. Pia kumbuka Kikwete mwenyewe gari lake lilikwama njiani na ikabidi afike kwa Helicopter.
Hivyo msiwe mnatutukana tu wakati tumeachwa na vyama vyote vya upinzani kwa sababu ya ukubwa wa eneo vs idadi ndogo ya wapiga kura. Siku Chadema wakigundua umuhimu wa kufika mara moja moja walau robo tu ya wanavyofika Arusha, Mwanza, Shinyanga na Mbeya, basi na sisi somo litaeleweka. Mbona Igunga wameamka na ushindi ulikuwa karibu sana sana kama siyo mauwaji, unyanyasaji na kila aina ya uonevu wa CCM?
mkuu mkoa wa Tanga upo kaskazini lakini loh!!! lushoto pekeee ndo kuna wajanja wachache, huko kwingine ni CCM A na CCM B tu.
Mi sijaelewa hoja ya msingi ni ipi hasa.
kwamba tusiichukie CCM eti kwa sababu kuna mema mengi imetufanyia?
Vipi kuhusu mabaya iliyotufanyia? Binafsi sina chuki na CCM ila hakistahili kubakia madarakani..

sasa akinyosha maelezo si atanyimwa bahasha na mamvi
false hopeWanabodi,