Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,445
Hiyo inaitwa ng'ombe hazeeki mainiyule mzee@Mtambuzi na uzee wote bado anazaaa?hongera mzee
Last edited by a moderator:
Hiyo inaitwa ng'ombe hazeeki mainiyule mzee@Mtambuzi na uzee wote bado anazaaa?hongera mzee
Hongera sana Mtambuzi, it feels good real to have a new born baby, especially baby BOY. It is blessing. Mshukuru Mungu.
We mzee Asprin acha GHUBU he....!
Kwa taarifa yako kwa mila na desturi zetu za KIGIRIAMA tunazaa hata ukiwa na mika 80, we vipi, na huyu wa jana ni dume la tatu na kuna vijanakike viwili tukijumlisha tunapatapo watoto watano..... Na ninatarajia kuongezapo wengine watatu wakiwa nane si haba........ Mzee Mtambuzi damu inachemka................LOL
Na haya tafuatayo ndio majina ya wanangu:
1. Ngina -10 years
2. Ngano - 8 Years
3. Ngadu - 6 years
4. Ngedule - 4 Years
5. Ngidada .... Huyu ndiye aliyezaliwa jana
Hesabu kwanza idadi ya LIKES ambazo nimekumiminia asubuhi yote hii ndo utajua kuwa unawasemea wengi!!Wazee huwa wakimbii kimbii na pampers...wanafanya kazi ya kulea wajukuu tu!!Babu DC!!Hata mimi nimeshasema Mtambuzi is no longer Mzee tena..............ni kijana tena nadhani hata 30 bado
Hesabu kwanza idadi ya LIKES ambazo nimekumiminia asubuhi yote hii ndo utajua kuwa unawasemea wengi!!Wazee huwa wakimbii kimbii na pampers...wanafanya kazi ya kulea wajukuu tu!!Babu DC!!