Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

Hongera sana Mtambuzi, it feels good real to have a new born baby, especially baby BOY. It is blessing. Mshukuru Mungu.

Hapo ndo kwenyewe....

Kuna maeneo ambao mama wa Baby BOY anaandiliwa misosi ya nguvu ili dume liwe na akili zaidi ya nyoka...

Acha mchezo na preference kwa hii jinsia....Yaani hata mama mwenyewe kichwa kinavimba....Akiamini kwamba sasa kasimika mizizi kisawa sawa!!!

Nazidi kuamini humu JF wazee ni mimi na Dark City tu.


Kijana Mtambuzi hongera kwa kupata mtoto wa pili.

Underlined...That is an irrefutable fact mzee mwenzangu Asprin!!

We mzee Asprin acha GHUBU he....!
Kwa taarifa yako kwa mila na desturi zetu za KIGIRIAMA tunazaa hata ukiwa na mika 80, we vipi, na huyu wa jana ni dume la tatu na kuna vijanakike viwili tukijumlisha tunapatapo watoto watano..... Na ninatarajia kuongezapo wengine watatu wakiwa nane si haba........ Mzee Mtambuzi damu inachemka................LOL
Na haya tafuatayo ndio majina ya wanangu:
1. Ngina -10 years
2. Ngano - 8 Years
3. Ngadu - 6 years
4. Ngedule - 4 Years
5. Ngidada .... Huyu ndiye aliyezaliwa jana

Hongera sana Mkuu Mtambuzi na mama pia....ila bado kazi mnayo....Jukumu la kuongeza population density bado linakukabili mdogo wangu (may be mjukuu)!!

Ongeza ongeza speed kaka ili utukaribie....Kanyaga twende (kata mti panda mwingine)!!

Babu DC
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nimeshasema Mtambuzi is no longer Mzee tena..............ni kijana tena nadhani hata 30 bado
Hesabu kwanza idadi ya LIKES ambazo nimekumiminia asubuhi yote hii ndo utajua kuwa unawasemea wengi!!Wazee huwa wakimbii kimbii na pampers...wanafanya kazi ya kulea wajukuu tu!!Babu DC!!
 
Hesabu kwanza idadi ya LIKES ambazo nimekumiminia asubuhi yote hii ndo utajua kuwa unawasemea wengi!!Wazee huwa wakimbii kimbii na pampers...wanafanya kazi ya kulea wajukuu tu!!Babu DC!!

Ha ha ha ha DC bana unanikumbusha kugonga like mie huwa najisahau sijui kwanini...........................

Mtambuzi is no longer Mzee.................
 
Hongera sana Mtambuzi, Nawatakia mama na mtoto afya njema. Punguza story JF ili upate muda wa kumsaidia mama Ngina kipindi hiki kulea kichanga.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mtambuzi, Nawatakia mama na mtoto afya njema. Punguza story JF ili upate muda wa kumsaidia mama Ngina kipindi hiki kulea kichanga.

Mh, naona hiyo itakuwa ngumu, mwenyewe hapa kuna uzi nataka kupost....................
 
Niliona thread ishakuwa ndefu nikadhani ina wiki nimeshachelewa kukupongeza kumbe ni ya leo tu! naona ingekuwa NEC usingekuwa na haja ya kuhonga mtambuzi gombea japo udiwani kura unazo za kutosha lol! Hongera sana kwa kuleta rais mtarajiwa!
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom