Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

Nipo babu Dark City nilikuwa nimepata new version ya ile kitu sasa ndio kidogo kuna sehemu ilikuwa inanipa shida


Hahahahahahahahahah,

Haya bwana...tunasubiri siku moja na wewe tukurushe hewani kama Mtambuzi....

Hivi unahesabu siku, miezi, miaka au miongo bado??

Najua kuna dogo janja mmoja anahesabu siku tu...Ngoja nimwite mshikaji wangu Fidel80 anikumbushe nisijesahau mchango!!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahah,

Haya bwana...tunasubiri siku moja na wewe tukurushe hewani kama Mtambuzi....

Hivi unahesabu siku, miezi, miaka au miongo bado??

Najua kuna dogo janja mmoja anahesabu siku tu...Ngoja nimwite mshikaji wangu Fidel80 anikumbushe nisijesahau mchango!!

Babu DC!!
Hahahaha.....bado Babu siku nikiwa napewa daraja la ushemasi nitakuita uje ushuhudie
 
Na haya tafuatayo ndio majina ya wanangu:
1. Ngina -10 years
2. Ngano - 8 Years
3. Ngadu - 6 years
4. Ngedule - 4 Years
5. Ngidada .... Huyu ndiye aliyezaliwa jana

nimependa majina ya wanao, lol

hongera sana Mtanbuzi na mkeo mama Ngina, Mwenyezi Mungu amlinde mtoto na familia kwa ujumla.
 
Hapo ndo kwenyewe....

Kuna maeneo ambao mama wa Baby BOY anaandiliwa misosi ya nguvu ili dume liwe na akili zaidi ya nyoka...

Acha mchezo na preference kwa hii jinsia....Yaani hata mama mwenyewe kichwa kinavimba....Akiamini kwamba sasa kasimika mizizi kisawa sawa!!!



Underlined...That is an irrefutable fact mzee mwenzangu Asprin!!



Hongera sana Mkuu Mtambuzi na mama pia....ila bado kazi mnayo....Jukumu la kuongeza population density bado linakukabili mdogo wangu (may be mjukuu)!!

Ongeza ongeza speed kaka ili utukaribie....Kanyaga twende (kata mti panda mwingine)!!

Babu DC

Babu Dark City mtoto wa kiume raha bwana, but kwenye mambo ya kunyonya na misosi ni balaa.

Nakumbuka kabla sijapata mtoto nilikuwa namwomba sana Mungu nikija kupata mtoto nipate wa kiume na sala zangu zilipokelewa. Nimempata lakini ananipelekesha mbaya, anagonga msosi acha.

Mtambuzi hakikisha mama mtoto (nakosa jina zuri la kumwita, sijui dada siju wifi....) anapata misosi ya uhakika mtoto anyonye sawa sawa. Feding a baby boy si mchezo i see.
 
Last edited by a moderator:
Smile nipo nimekumiss kweli nikaambiwa umeishaolewa sasa hesabu zangu zimeishaharibika

Kaka kugombea ujumbe wa UVCCM unafikiri mchezo Mr Rocky unaweza kumsahau hadi wife wako :lol:

Mhhh the finest ulikuwa huko
kumbe na wewe ni mtoto wa nanihiii fisadi mmoja wapo
Maana tunasikia hizo nafasi ni kwa wateule tuu na wale wenye majina yanayofanana na wale walioko madarakani
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mtambuzi... Mungu awape hekima na busara ya kumlea mtoto wenu katika maadili mema..!
 
Back
Top Bottom