Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

Hongera sana bwana Mtambuzi, sijui huyu wa sasa naye utamwitaje? Maana yule wa mwanzo ulimwita Ngina, LOL!
 
Last edited by a moderator:
Nazidi kuamini humu JF wazee ni mimi na Dark City tu.

Kijana Mtambuzi hongera kwa kupata mtoto wa pili.

We mzee Asprin acha GHUBU he....!
Kwa taarifa yako kwa mila na desturi zetu za KIGIRIAMA tunazaa hata ukiwa na mika 80, we vipi, na huyu wa jana ni dume la tatu na kuna vijanakike viwili tukijumlisha tunapatapo watoto watano..... Na ninatarajia kuongezapo wengine watatu wakiwa nane si haba........ Mzee Mtambuzi damu inachemka................LOL
Na haya tafuatayo ndio majina ya wanangu:
1. Ngina -10 years
2. Ngano - 8 Years
3. Ngadu - 6 years
4. Ngedule - 4 Years
5. Ngidada .... Huyu ndiye aliyezaliwa jana
 
hongera Mtambuzi kwa kuijaza dunia...khaaa ustaafu sasa maana hii ni batch ya vidume.......!!!
 
Last edited by a moderator:
We mzee Asprin acha GHUBU he....!
Na haya tafuatayo ndio majina ya wanangu:
1. Ngina -10 years
2. Ngano - 8 Years
3. Ngadu - 6 years
4. Ngedule - 4 Years
5. Ngidada .... (me)Huyu ndiye aliyezaliwa jana
Mtambuzi ungetuwekea na jinsia basi mfano in red hapo juu............hahahahaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
hongera sana mkuu mtambuzi,ni fahari iliyoje kupata waridhi wa kaya yako,wenye kukuita baba,wenye kukufanya usijione mpweke,hongera sana kaka.nafurahi kuona si tu mtambuzi umepata mtoto bt unapata heshma zaid ktk jamii.mlee mtoto vizuri ktk maadili na mila na desturi za kwetu,mpe elimu naye ajivunie kuwa na baba kama wewe!hongera mtambuzi.
 
ka hiyo Mtambuzi unalea sasa haya hongera zako nimeamining;ombe hazeeki maini ila mkia tu unaisha nywele zakuchapia inzi hahahahah
 
Last edited by a moderator:
Mwalimu sister wa ukweli gfsonwin nimeitikia wito, lakini licha ya jukumu letu la kuhakikisha kichanga hakianguki lakini ujue hii ni party na party zoote zina miiko yake na protokali zake, hasa ukizingatia Mtambuzi ni mwanachama wetu mzuri kwenye round table........................sijui umenielewa lakini kabla sijaendelea
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mtambuzi. utakapo mpa jina usisahau na kumtengenezea id na avator ya jf kama moja ya urithi wake. mia
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana Mtambuzi. utakapo mpa jina usisahau na kumtengenezea id na avator ya jf kama moja ya urithi wake. mia
 
Last edited by a moderator:
Mwenye kujua mtoto ni wanani ni mama jamani.Anaweza akawa sio wake fanya mchezo mjini hapa
 
Back
Top Bottom