Mtambuzi apata mtoto, Baby Boy

kwanza niombe Mods wasiutoe huu uzi hapa mmu kwa heshima ya Mtambuzi katika jukwaa hili.

Pili naanza kuwaamsha wana Mmu wote tuanze kazi mapema kwa ajili ya kumkaribisha kichanga wetu siku ya leo. zifuatazo ni kazi za leo
King'asti mtoto mkubwa wa mzee Mtambuzi wewe utakaa nyumban kupokea wageni na kuwasaidia wakina mama watakaokuja kumsaidia mamam ngina kazi. jeneneke, Smile, Preta sweetlady nyie mtashughulika na kupiga nguo za mama ngina na za kichanga pasi mhakikishe mmezipanga vizuri. mwanangau Ronn M, ukisadiwa na wajomba zako platozoom Eiyer, Mentor, @excellent mtafunga baby Cort na kaauhakikisha imekuwa stable mtoto asije anguka.
cacico, @fp, wakiongozwa na ASHA dii hawa watamkanda mama mtoto maji ya leo siku ya kwanza baada ya dr MziziMkavu na dr riwa kumpatia discharge leo saa mbili.

kuhusu mapish BADILI TABIA akisaidiana na charming lady na eversmilinggirl watahakikisha kuko sawa. mwl mwenzangu snowhite wewe utahakikisha mambao yote yako sawa hapo nyumban manake mie si unajua sitoweza kuepo bado nauguza?

akina dada wengine wote kila mmoja abebe ndoo yake aende kumtekea maji manake tabata kuna shida ya maji sana.msichelewe wapenzi kuanza kazi mapema.
BAK na Boflo nyie mtampiga mtoto picha na mzee wetu Dark City na Asprin asali ya moyo ya wengi nyie mtahakikisha mnawah mnadani vingunguti kuleta mbuzi safi wa supu ya mzazi na hapa mchinjaji ni ma swtlo Kaizer akisaidiwa na Mr Rocky.

wakaka wengine wote hakikishen kwamba Mtambuzi anapata kampani ya kutosha manake aliugua sana toka jana utafikiri yeyey ndo alokuwa anataka kuzaaa so mpeni liwazo la kutosha na hapa kaka mkubwa SnowBall usimamie hili.

asubuhi njema mie ntakuwa napita tu kuangalia kama kazi zimeenda sawa.
Swa mamii, mama atapata huduma muafaka, si unajua experience ya kutosha tunayo? lol
 
Mzee Mtambuzi na my wife wako
images
 
Last edited by a moderator:
Hongera MTAMBUZI na mama MTAMBUZI kwa kutuletea askari wa kutusaidia kulinda maliasili zetu zinazoiibiwa na mafisadi kila kukicha; Mungu awazidishie nguvu muweze kuleta wengine wengi!!!
 
Mh, naona hiyo itakuwa ngumu, mwenyewe hapa kuna uzi nataka kupost....................

Khaaa! Mbaba mbishi wewe! Hebu msaidie dada yetu kubembeleza kichanga siku mbili tatu hizi maana anahitaji kupumzika achana na mambo ya kupost uzi. We unajua kabisa ukipost uzi lazima watu kibao tuukimbilie kuona kilichomo na kila mtu ataanza Mtambuzi hiki Mtambuzi kile ili mradi tu kutwa utakuwa JF kujibu comments za watu!

Halafu wewe ukizidisha ubishi nakuitia cacico Madame B snowhite and company. Najua hao hawatakushauri kiutaratibu kama mie ohoooooo! shauri yako! Badala ya kufurahia pongezi utashtukia umepelekwa chit chat kugalagazwa kwa shutuma za kukataa kusaidia kazi home.
 
sasa nachelewaga basi kuitika wito! Mtambuzi nimekwambia kabembeleze mtoto!
 
Last edited by a moderator:
sasa nachelewaga basi kuitika wito! Mtambuzi nimekwambia kabembeleze mtoto!

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhhhh,

Naona hapa kichaa kakabidhiwa rungu na kupelekwa kwenye alaiki ya watoto wa chipukizi....

Ngoja nikae pembeni kwanza ila nitafute mbinu za kumtorosha huyu kijana Mtambuzi asije kutoka hapa na manundu usoni au bila reception inayatambulika!!

Babu DC!!
 
umeona enh Babu DC mtu mkewe ndo kwanza hata maji ya kwanza hajayapata ye yuko huku eti anataka kupost uzi?sas kama kuharibiwa resepsheni anakokitafuta atakuwa anatafuta nini?ngoja nimwite boss wangu!
mimi kwa kweli sitaki mama ngina apate shida kwa kweli! Mtambuzi kwa usalama wako potea humu jamvini!
 
Last edited by a moderator:
Babu wewe hutamani mtoto wa uzeeni??

:behindsofa:

Kweli...tukiwezeshwa tunaweza, weza weza!!

Babu DC!!
 
Babu wewe hutamani mtoto wa uzeeni??

:behindsofa:

Hapana aisee,

Na uzee huu nitaweza wapi mambo ya kukesha huku kichanga kimelazwa kifuani + pampers?

Ila huu uzi Bibi hatakiwi kuuona hata kwa dawa...anaweza kuanza kukengeuka!!

Ngoja nimwombe mkuu Max ampe server BAN ya hii thread!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom