Kipi kinauma zaidi kati ya kulea mtoto asiye wako au kunyang'anywa mtoto

rula

Member
Aug 26, 2019
66
146
Habari za wakati huu ndugu na marafiki katika jukwaa la MMU

Kuna hiki kitu huwa kinanipa wakati mgumu sana kila nikikaa na kutafakari. Binafsi mimi ni kijana middle of twenties na bado sijabahatika kupata mtoto kutokana na mazingira ambayo labda yanatokea ukiachilia mbali kwamba bado sijaoa.

Kila nikiwa nawaza kuhusu suala la kupata mtoto huwa nawaza sana kwamba itakuwa vipi endapo nitabambikiziwa mtoto asiye wangu na ukizingatia watu especially wanawake wasivyo waaminifu nyakati hizi za sasa hivi. Unakuta umemlea mtoto asiye wako huku ukijua ni wako.

Lakini pia nawaza je ikitokea umempa msichana ujauzito na unahisi kabisa mimba ni yako lakini akakataa na hio mimba akapewa mtu mwingine, unajiskiaje unaponyimwa haki yako ya kumlea mtoto wako wa damu na akapewa mtu mwingine.

Kila mtu ana haki ya kulea mtoto ambaye ni wake regardless kazaliwa ndani ya ndoa au laah, wanawake please msiwanyime watu haki zao inaumiza sana
 
Kunyang'anywa mtoto haiumi sana maana siku itafika mtaungana tena. Pengine nimeeleweka
 
Back
Top Bottom