bab-D
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 1,207
- 301
Acha kazi unayofanya sasa... Nakuahidi utapata wazo Zuri sana la biashara na lazima utusue. Ili ufanikiwe lazima uwe centred kwenye kitu kimoja cha kufanya. La uwez hivo, nunua hata kiwanja au shamba.
Onyo. Sikushaur umfungulie mtu biashara ya mtaji wa milioni 7 afu umuache aendeshe, utalia na kusaga meno..... Don't trust people with money you have risked a lot to get.
Duh! mzee wewe, niache tena kaz ambayo imenifanya nimekopa hela hiyo, si bora niende nayo kimagumash deni lilipungua nachukua tena kukuza mtaji, au ulimaanisha nn mkuu?