Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,656
- 13,480
....
huku mahindi gunia 70000 hadi85000
....huku ni wapi?
....
huku mahindi gunia 70000 hadi85000
Hiyo biashara ya mahindi labda ajaribu kama bahati nasibu, ila ni moja ya biashara kichaa na pasua kichwa sana. Ingawa hajasema yupo wapi anaweza kuyanunua kwa bei ndogo ila kuna gharama nyingine nyingi tu kuanzia kuyasafirisha, kuyatunza store, kuyawekea dawa. ushuru na kuyasafirisha tena muda wa kuyauza ukifika.
Na unaweza ukasubiri sana bei zipande na zikapanda taratibu kuliko ulivyotarajia, mahindi kupanda kwake bei hadi serikali iruhusu kuuza nje ya nchi. Mfano sehemu nilipo wateja wanaofanya bei za mahindi zipande sana ni Wakenya, ila kipindi wasipokuja kununua bei zinakuwa ni za kawaida. Na mimi hii naandika kutokana na uzoefu wangu kuna mwaka nilishawahi kula hasara milioni kadhaa kwa biashara hii.
Sina uzoefu sana na hii biashara ila nnachojua(nlichosoma kwnye taxation) kwnye food crops kisheria huwa hakuna ushuru...ata biashara iwe inalipa vipi sio wote waifanyayo watafanikiwa ni uwezo wa mtu tu..idea yoyte ya biashara inabid uifanyie research vzuri mwnywe kabla ya kuanza,usisklize mawazo ya watu tu ukajirizsha bila kujua uhalisia upoje..
Mkuu hebu funguka vizuri hapo kwenye taxation, kwamba haipo kivip,kwa wazalishaji, wachuuzi au wasafirishaji, lakini mbona belia kibao unakuta wakaguzi na gunia moja buku?
nunua dola .............uwekehabarini za mda huu,
nimekopa milion saba na nilicho panga kufanya kimekwama, nataka niitunze hela kwa mda wa miezi mine hadi sita, ndo nii-ingize kwenye mpango, lengo ilikua kuwekeza ktk kilimo, nilikuwa nimepata ekari nne za kukodi lakini kaniomba nisubiri kidogo atoe mazao yake na nitaikodi kwa miaka kadhaa, nimefikiria niiweke ktk fixed acount kwa mda huo, nishaurini kama kuna cha zaidi cha kufanya tofauti na nilivyo waza, kwani hata vifaa vya umwagiliaji nimesitisha kununua, pia mkopo huu nimeukopa kama mtumishi.
Karibuni.
nunua dola .............uweke
Kisheria nchi yetu wanapga VAT kla goods or services kwa 18% ya thaman yake...ila kna vitu kisheria havipigwi kodi..
Special reliefs supply hii ni(government agencies such as president ,judge au kam taxable goods or service inatumika kwnye mashirika ya dini)....zero rated supply(mf;vfaa vyote vya vnavyodeal na klmo ata kam umeimport,mahindi, unga wa mahindi) yaan apa vingi vnavyodeal na kilmo...exempt supply(maji ya kunywa ya bomba,mambo/vitu vnavyodeal na afya au elimu)...kam upo interest tafuta act yke upitie mkuu..
Note;mazao ya chakula mengi hayapigwi kodi ila usafiri wa kusafirsha hayo mazao wanachkua kodi..
tumia mil 1 kukopesha watu wengine kwa riba..
tumia laki 5 kubet kwenye mpira.
mkoa gani inapatikana gunia kwa sh 35000,,kama yupo anayefahamu anipm,,
huku mahindi gunia 70000 hadi85000
Nunua katika ma benki na hifadhi katika mabenki hayo hayo.Hii biashara ngen kwangu, si nitauwiwa fake?
Nunua katika ma benki na hifadhi katika mabenki hayo hayo.
Kawaulize jamaa wa mabenkiEbu nielekeze vzuri juu ya hii biashara...maana exchange rate ya dollar to tshs haipo fixed inashuka na kupanda mda wowte..je inaposhuka inakuwa hasara ya nan.?ebu nipe ufanunuz mkuu faida yake ipoje hii
Kawaulize jamaa wa mabenki
My ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nina kusihi..........Kama kitu hujui shut ur f*ck up...
My ndugu kwa unyenyekevu mkubwa nina kusihi..........
Chezea namba nyingine.
Sikutishi ila nakutangulizia pole.
Kitu ambacho watanzania wengi kinatushinda ni kicopy the way watu walipotokea.
Cha msingi fanya kitu ambacho unakipenda then kifanyie kazi kwa umakini na kujituma na sio kusema kitu furani kinalipa au kitu furani usikifanye utajuta,mtu anasema hivyo kutokana na uzoefu wake alioupata kutoka biashara usika .kila biasahara ina challenge zake na faida zake so ww chagua unayoiweza then ifanye kwa umakini na watafute watu waliwahi kuifanya hiyo biashara utajifunza mengi sana