babaMike
Member
- Dec 19, 2022
- 31
- 27
Habarini wana Jamiiforums.
Mimi ni mjasiriamali, biashara yangu ya Sasa na iliyofanya Nika make hiyo pesa ni nguo za mtumba nayofanya katika minada...
Natamani kufungua ofisi nyingine, wife ananishauri nifungue duka la kawaida tu yaani la mahitaji ya nyumbani lakini Kila ukijaribu kuomba ushauri kwa watu wanakwambia faida yake ni ndogo ndogo sana na linahitaji usimamizi wa karibu na mimi siwezi kuwa pale a whole day kwa sababu kazi yangu nakuwa minadani.
Leo Kijiji hiki kesho kile.. wife nae ana shughuli zake hawezi kaa dukani, naomba ushauri, kwa mtaji huu nifungue biashara gani ambayo nitaweka mtu wa kumwajiri ikasonga? Usimamizi uwe wa kawaida yaani naweza nisifike siku mbili hadi tatu kwenye biashara Ile na mambo yakawa fresh?.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app