Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

Acha kazi unayofanya sasa... Nakuahidi utapata wazo Zuri sana la biashara na lazima utusue. Ili ufanikiwe lazima uwe centred kwenye kitu kimoja cha kufanya. La uwez hivo, nunua hata kiwanja au shamba.

Onyo. Sikushaur umfungulie mtu biashara ya mtaji wa milioni 7 afu umuache aendeshe, utalia na kusaga meno..... Don't trust people with money you have risked a lot to get.

Duh! mzee wewe, niache tena kaz ambayo imenifanya nimekopa hela hiyo, si bora niende nayo kimagumash deni lilipungua nachukua tena kukuza mtaji, au ulimaanisha nn mkuu?
 
nunua passo, nenda IFM chkua mtoto light-skinned weka heshima mtaani....utakufa uach ugomvi wa hiyo millioni saba kwenye familia yako......maisha yenyewe ndo hayahaya

Hujaacha kula mirungi, alafu ndo unaomba nchi, taifa likiwa kama ww tumekwisha.
 
Mkuu ungekuwa sio mwajiriwa ningekushauri hiyo hela ungenunua mahindi maana mwaka huu hii bidhaa ni issue sana!
Ungefanya hivi mil3 ungekusanya mahindi na kustore na m4 ungeanza mchakamchaka wa kuchukua mahindi shamba na kuleta mjini mpaka mavuno yatakapoisha utakuwa umezalisha m3 kutoka kwenye hii4mil. Baada ya miezi4 hadi5 mahindi ya stock yangekuzalishia m6-9 nyingine.
Hiyo hela usiiweka fixed a/c haitakusaidia coz ni ndogo sana. Na wala usiipeleke direct kwenye mradi wa shamba utadunda.
Hela ya mikopo midogo km hiyo unatakiwa uingize kwenye short term liquidity projects na sio miradi patapotea km kilimo. Otherwise utalipia mkopo hewa mkuu!!
This advise is based from my own experience.

mkoa gani inapatikana gunia kwa sh 35000,,kama yupo anayefahamu anipm,,
huku mahindi gunia 70000 hadi85000
 
Hiyo 700,000 unamanisha akatoe sadaka kwa hakina mwingira!! Nafikiri Mtoa mada anataka kujua biashara gani afanye ilipe

Sadaka siyo lazima ukatoe kanisani, unaweza tembea na kukuta watu wengi wenye shida za kweli kama wale wazee walemavu ambao wanalazimika kuwa ombaomba, au hata vituo vya watoto yatima ingawa siku hizi dili la vituo vya watoto yatima limegeuka kuwa la WAJANJA
 
mkuu hizo toa tu msaada kwa wahitaji, mfano hospitalini au kituo cha kelea watoto yatima, au hata kwa mtu unayemwona anamaisha magumu sana. Gawanya hizo pesa kwa wahitaji tena toa kwa moyo tu bila kuumia.
 
Nakushauri kama Dhamira yako ilikuw ani kilimo basi usibadilishe dhamira yako.
Maana ukipepesuka tu umekwisha.
Kila kitu kinachangamoto zake,nakushauri endelea na wazo lako la kilimo na utatoka tu.

Nakushauri nenda Bank onana na Manager moja kwa moja,kishamueleze lengo lako la kuweka pesa kwao kw amuda huo.Then watakupa njia,la sivyo ukisema uweke kwenye Ideas ambazo umezipata baada ya kupata pesa lazima utakwama.
7m ni nyingi kama ulikuwa na wazo ila ni ndogo sana kama wazo lako nikicheza na kurudi kwenye track ni issue.

Wapo wakulima wameanza na Milioni mbili tu na wametoka itakuwa 7m.
 
tumia mil 1 kukopesha watu wengine kwa riba..
tumia laki 5 kubet kwenye mpira.

Usimwigize mwenzio Jehannam... RIBA ya aina yoyote ni haram soma hapa... nimeweka hii maana sijui wewe ni dini gani ila kama wewe ni muislam kama mimi basi huu ndio usia wangu kwako... Ya Allah nimewasilisha

RIBA NI DHAMBI KUBWA; YAINGIZA MOTONI
Katika Qur'ani Mola amesema :
( الَّذِينَ يَأْكُلُونَ الرِّبَا لاَ يَقُومُونَ إِلاَّ كَمَا يَقُومُ الَّذِي يَتَخَبَّطُهُ الشَّيْطَانُ مِنَ الْمَسِّ ذَلِكَ بِأَنَّهُمْ قَالُواْ إِنَّمَا الْبَيْعُ مِثْلُ الرِّبَا وَأَحَلَّ اللّهُ الْبَيْعَ وَحَرَّمَ الرِّبَا فَمَن جَاءهُ مَوْعِظَةٌ مِّن رَّبِّهِ فَانتَهَىَ فَلَهُ مَا سَلَفَ وَأَمْرُهُ إِلَى اللّهِ وَمَنْ عَادَ فَأُوْلَـئِكَ أَصْحَابُ النَّارِ هُمْ فِيهَا خَالِدُونَ)
"Wale wanaokula riba hawasimami ila kama anavyosimama aliye pandwa na Shet'ani kwa wazimu. Hayo ni kwa kuwa wamesema: ‘Biashara ni kama riba tu', wakati Mwenyezi Mungu ameihalalisha biashara na kaiharamisha riba. Hivyo aliyefikiwa na mawaidha kutoka kwa Mola wake akaacha [kula riba], basi ni chake kilichotangulia, na hukumu yake iko kwa Mwenyezi Mungu. Ama wenye kurudia basi hao ndio watu wa Motoni, humo watadumu" (Albaqara, aya-275)
Wenye ilmu wanasema aya inatupa taswira ya wanaokula riba watapokuwa wanatoka makaburini mwao siku ya kiyama ya kwamba watakuwa wakitapatapa, wanasimama wakianguka kama mtu aliyeingiwa na shetani.
MLA RIBA HAWI MUUMINI :
Mwenyezi Mungu amebainisha kuwa kula riba na imani hayakubaliani:
(يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُواْ اتَّقُواْ اللّهَ وَذَرُواْ مَا بَقِيَ مِنَ الرِّبَا إِن كُنتُم مُّؤْمِنِينَ)
"Enyi mlioamini! Mcheni Mwenyezi Mungu, na acheni kilichobaki katika riba, ikiwa nyinyi ni Waumini" (Albaqara, aya-278)
Kwa hivyo ikiwa sisi ni waumini kweli basi tumche¹ Mwenyezi Mungu na tuache riba.
SIYEACHA RIBA KATANGAZIWA VITA NA MWENYEZI MUNGU :
Mwenyezi Mungu amesema baada ya aya iliyotangulia:

.( فَإِن لَّمْ تَفْعَلُواْ فَأْذَنُواْ بِحَرْبٍ مِّنَ اللّهِ وَرَسُولِهِ وَإِن تُبْتُمْ فَلَكُمْ رُؤُوسُ أَمْوَالِكُمْ لاَ تَظْلِمُونَ وَلاَ تُظْلَمُونَ)
"Na kama hamtafanya [hivyo], basi jueni kwamba mtakuwa na vita na Mwenyezi Mungu na Mtume wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe" (Albaqara, aya-279)
Vita vya Mwenyezi Mungu si vya risasi au mabomu, lakini vita vya Mwenyezi Mungu hapana mtu ambaye anaweza kuvikimbia. Miongoni mwa vita vya Mwenyezi Mungu ni kupatwa na maafa mengi kama vile dhiki au mtu kutokuwa na raha katika maisha yake hata akiwa na mali nyingi. Kwani Mwenyezi Mungu huondoa baraka katika mali ya riba::
(يَمْحَقُ اللّهُ الْرِّبَا وَيُرْبِي الصَّدَقَاتِ وَاللّهُ لاَ يُحِبُّ كُلَّ كَفَّارٍ أَثِيمٍ)…
"Mwenyezi Mungu huifutia baraka [mali ya] riba, na huzibariki [mali zinazotolewa] sadaka. Na Mwenyezi Mungu hampendi kila mwenye kukana [amri Zake], mtenda dhambi" (Albaqara, aya-276)
Huwenda ukamuona mtu masikini lakini akawa yumo katika furaha kuliko huyo anayekula riba. Sababu ya huyu kuwemo katika furaha ni ahadi ya Mwenyezi Mungu aliyoahidi ya kuwa Mu'umini yeyote atakaetenda mema (mke au mume) basi atamhuisha maisha mazuri na atamlipa malipo mazuri akhera:
(مَنْ عَمِلَ صَالِحاً مِّن ذَكَرٍ أَوْ أُنثَى وَهُوَ مُؤْمِنٌ فَلَنُحْيِيَنَّهُ حَيَاةً طَيِّبَةً وَلَنَجْزِيَنَّهُمْ أَجْرَهُم بِأَحْسَنِ مَا كَانُواْ يَعْمَلُونَ)
"Mwenye kutenda mema, mwanamume au mwanamke, naye akawa ni Muumini, tutamhuisha maisha mema; na tutawapa ujira wao kwa bora ya waliyo kuwa wakiyatenda" (An Nah'l, aya-97)

Lakini atakae pinga amri za Mwenyezi Mungu basi atakuwa na dhiki hapa duniani na siku ya kiyama atafufuliwa kipofu:

(وَمَنْ أَعْرَضَ عَن ذِكْرِي فَإِنَّ لَهُ مَعِيشَةً ضَنكاً وَنَحْشُرُه يَوْمَ الْقِيَامَةِأَعْمَى)
"Na atakayeacha kufuata mawaidha yangu, basi kwa yakini atakuwa na maisha ya dhiki, na Siku ya Kiyama tutamfufua hali ya kuwa kipofu" (Ta'ha, aya-124).

Bila ya shaka hapana mtu aliye tayari kufufuliwa kipofu, kisha aingizwe motoni. Kwa hivyo hapana budi ila tuyapokee mawaidha ya Mola wetu.
 
Jazaakallahu khair.
 
Nakushauri kama Dhamira yako ilikuw ani kilimo basi usibadilishe dhamira yako.
Maana ukipepesuka tu umekwisha.
Kila kitu kinachangamoto zake,nakushauri endelea na wazo lako la kilimo na utatoka tu.

Nakushauri nenda Bank onana na Manager moja kwa moja,kishamueleze lengo lako la kuweka pesa kwao kw amuda huo.Then watakupa njia,la sivyo ukisema uweke kwenye Ideas ambazo umezipata baada ya kupata pesa lazima utakwama.
7m ni nyingi kama ulikuwa na wazo ila ni ndogo sana kama wazo lako nikicheza na kurudi kwenye track ni issue.

Wapo wakulima wameanza na Milioni mbili tu na wametoka itakuwa 7m.

Mkuu hii hela imetoka benki unamshauri airudishe tena hukohuko benki???? hiki kitakuwa kituko cha mwaka aisee bab D ebu fanya kama unarudi kumuomba ushauri loan officer aliyeandaa mkopo wako uone atakavyo kushangaa!!!
Halafu mkuu Zanzibar Spices hujawahi kupractise nguswanguswa za kilimo wewe!!
Mimi nipo shamba zaidi ya miaka3 sasa nakijua vzr kilimo na nafahamu jinsi wafanyabiashara wanavyonufaika kupitia kilimo kuliko mkulima mwenyewe.
 
Last edited by a moderator:
(ﻭَﻣَﻦْ ﺃَﻋْﺮَﺽَ ﻋَﻦ ﺫِﻛْﺮِﻱ ﻓَﺈِﻥَّ ﻟَﻪُ ﻣَﻌِﻴﺸَﺔً ﺿَﻨﻜﺎً ﻭَﻧَﺤْﺸُﺮُﻩ ﻳَﻮْﻡَ ﺍﻟْﻘِﻴَﺎﻣَﺔِﺃَﻋ
Mkuu hebu tafsiri hapa
 
Tumia muda wako vzr mkuu ufanyie kazi nayokwambia nauhakika baada ya miezi5 utakuja na ushuhuda hapa.

mkuu nazani ushauri wako nimzuri, ingawa huku nilipo mazao mengi yanaelekea kuisha vijijini kwani wamevuna miezi mitatu iliyopita,hata bei imesha panda lakini ngoja nifanye research nione sokoni pakoje na kijjn nikiingiza na usafiri na gharama za ukusanyaji nitapata jibu, asante.
 
Back
Top Bottom