by default
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 839
- 215
Haki itapatkana siku moja tupige moyo konde., the freedom is coming!
Amekubali kutumika Bila mipango kwa wanasiasa wenye kurushiana makombora katika Kambi mbili za GAMBA...Si mwanaharakati I HATE HIM
Anakamatwa mlalamikaji watuhumiwa wanapeta nchi hii inatia kinyaaa
Wewe ni CCM, unashabikia hapa wenzako kina Rostam wana neemeka bila shida.
Kwani amefanya kosa gani kusema ukweli, tuache ubabaishaji bana mimi nadhani mafisadi tunao humu humu ndani ya JF.Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!
Ushahidi ulitaka upi wewe au ule aliosema JK kuwa hawajui Kagoda na nchi itatingishika mafisadi wakikamatwa?Ni vizuri kukamatwa na kufungwa yeye maana ushahidi hana anakurupuka na kuchezea dola
ZAwadi yake ndo kaipata :msela:
huyu hata ccm hayupo ni mnafiki mmoja tuuu! Mshenzi na mwizi kama wenzake akina rostam!wewe ni ccm, unashabikia hapa wenzako kina rostam wana neemeka bila shida.
Mbona unatoa hukumu wakati hujaambiwa sababu za polisi kumkamata? Kwani na wewe unafanya kazi usalama wa taifa au polisi?Ameyataka mwenyewe, KUKURUPUKA NI KUBAYA!
Mzazi wako ana hasara!Tuache sheria ifuate mkondo wake. Tusiwe na wasiwasi, atatendewa haki, hata kama itakula kwake.
Taarifa zinadai kuwa Msemakweli alielekea kwa DPP kama alivyodai hiyo jana kuwa angeenda kwake na kuambiwa kuwa appointment yake imesogezwa mpaka Jumatatu lakini akiwa njiani kurudi akakamatwa na maofisa wa polisi ambao mpaka sasa wanaendelea kumhoji.
Hatujapata taarifa za nini amehojiwa na nani kamhoji. Tutaendelea kufahamishana kadiri muda utakavyoruhusu.
Huu ni mwanzo tu, kuna mengine yatajiri muda si mrefu!
Inasikitisha sana
which style are you taking about?
Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi
Kwani amefanya kosa gani kusema ukweli, tuache ubabaishaji bana mimi nadhani mafisadi tunao humu humu ndani ya JF.
Ushahidi ulitaka upi wewe au ule aliosema JK kuwa hawajui Kagoda na nchi itatingishika mafisadi wakikamatwa?
Mungu yupo atamsimamia ili haki itendeke!
Umejuaje? na tangu lini nyie mkawa wasemaji wa polisi?which style are you taking about?
Huyu msemakweli kakiuka sheria za nchi maana katuhumu huku hana ushahidi