Idimi
JF-Expert Member
- Mar 18, 2007
- 14,980
- 10,474
Leo mbona malaria sugu aonekani?mods mmemficha wapi?
Soma pale kwenye jukwaa la malalamiko!
Leo mbona malaria sugu aonekani?mods mmemficha wapi?
Hapana mkuu imani isitutoke kiasi hiki.Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya
walikatisha ratiba ya siku hio hili kuomboleza huyu mtoto au waliendelea na shughuli zao za kampeni ziliendelea?
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya
je ametoa pole kwa wasfiwa hapo kwenye hotuba?Wasitishe wapi sasa hivi Kikwete yupo uwanja wa Mayunga Bukoba mjini akihutubia wananchi
je ametoa pole kwa wasfiwa hapo kwenye hotuba?
very sad in deedAcha kutoa pole hata habari ya kutokea kwa ajali haikusemwa.Labda kwa kuwa Muhutwe ni wilaya nyingine mbali ya Bukoba.
Fair comment.Wachawi wengi sana humu! Sijawahi kuona taarifa ya msiba ikifanyiwa dhihaka ya namna hii!
Poleni wafiwa!