Elections 2010 Msafara wa rais Kikwete waua Muhutwe (Muleba)

Maxence Melo

JF Founder
Feb 10, 2006
4,230
13,415
Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.

Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

Mdau: Darlene Kisha

Chanzo: Blog ya Haki Ngowi
 
HAAAAA ... na wanachi wenye hasira hawakuwepo karibu maana na wao wangeuwa huyo aliyesababisha ajali...au naye watamshtaki kama Chenge
 
Ni habari ya kusikitisha, ni mwanzo mbaya wa kampeni. Poleni wazazi wa mtoto, poleni ndugu na jamaa!
 
huenda ikawa ndo dawa ya kuanguka kwake kwenye majukwaa.

Nenda jongo nenda, nenda muuaji nenda
 
huyo mtoto aliyekufa atamsaidia kupona magonjwa yake ya kuanguka kwa hiyo ni kafara.......
 
OOH, MASIKINI MTOTO WA WATU, MI NAFIKIRI SASA INABIDI WATU WAACHE KWENDA KWENYE KAMPENI ZAKE, WASIJE WAKAFA BURE!!! MTU MWENYEWE HANA HATA SERA MPYA!!! NO HANA HATA YA ZAMANI. teh teh teh.
 
huyo mtoto aliyekufa atamsaidia kupona magonjwa yake ya kuanguka kwa hiyo ni kafara.......
Ni bahati mbaya naye mtoto aliyegongwa hakupenda kugongwa ila ni accident.

Sote tunaendesha magari siku tutakapopata ajali tunasema ni bahati mbaya hatukudhamiria kuwa hivyo. Tumuombee kwa Mungu mtoto aliyetangulia na tuwaombee binadamu wenzetu wote yaliyo mema japo sisi pia mimi na wewe (na wengine) tuna mabaya yanatokea na tunaomba msamaha kwa Mungu hivyo si vyema kutoa tamko la kafara kwa binadamu mwenzetu ambaye alipenda kuishi kama sisi tunavyoishi leo hii.
 
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya
 
Hiyo ni results Kasi zaidi break lazima zifeli - Mtoto amekufa kifo cha kimapinduzi, wazazi, ndugu jamaa na marafiki poleni sana. Tupo pamoja.
 
Kikwete bila kumwaga damu huna urais, haya endelea kafara zako nzito....shehe Yahya hakutabiri hili, maana huyo ni mfalme wa tawala za giza na nabiii wa aina ya kipekee./
 
Sheik ametaka damu ya katoto kapya, ambako hakajawahi kushiriki ngono
Ni bahati mbaya naye mtoto aliyegongwa hakupenda kugongwa ila ni accident.

Sote tunaendesha magari siku tutakapopata ajali tunasema ni bahati mbaya hatukudhamiria kuwa hivyo. Tumuombee kwa Mungu mtoto aliyetangulia na tuwaombee binadamu wenzetu wote yaliyo mema japo sisi pia mimi na wewe (na wengine) tuna mabaya yanatokea na tunaomba msamaha kwa Mungu hivyo si vyema kutoa tamko la kafara kwa binadamu mwenzetu ambaye alipenda kuishi kama sisi tunavyoishi leo hii.
 
Masikini poleni wafiwa kwa kumpoteza mpendwa wenu.

Naomba kuuliza mie mshamba:

Hivi huwa ni lazima waendage na yale ma-speed yao ya ajabu ajabu? Mimi kwa ujinga wangu huwa nasema wanafanyaga vile kwa kuogopa Rais kutekwa au kuuliwa na maadui (kama wafanyavyo Afughanistan sijui) sasa nabakigi jidomo wazi kwetu hapa au ndio mnayaitaga mapurotoko?
 
Mtoto huyo alikuwa mpita njia au ndo mwalimu mkuu alipeleka shule nzima kumlaki? Ilitokea kipindi cha mwisho cha Nkapa,pale Mwanza wanafunzi walijipanga barabarani kumlaki,Bus likajiachia na kuua watoto kadhaa. Isije kuwa hatujajifunza kutokana na yaliyowahi kutokea
 
Kikwete kisha anza kutoa watu kafara.

Mkuu, mbona unatoa hitimisho baya namna hii?
Ajali za barabarani ziko kila mahali, na ukizingatia kwamba misafara ya viongozi inakuwa kasi sn, ajali huwa hazikwepeki. Ajali za namna hii zimewapata akina Mudhihir, Kapuya, Sitta n,k, sasa kuna nini cha ajabu kwa Kikwete?
 
Back
Top Bottom