Elections 2010 Msafara wa rais Kikwete waua Muhutwe (Muleba)

Poleni wazazi mmebakia na kumbukumbu ya kudumu ya kampeni za uchaguzi 2010. Mungu awape faraja ktk kipindi hiki kigumu kwenu.
 
walikatisha ratiba ya siku hio hili kuomboleza huyu mtoto au waliendelea na shughuli zao za kampeni ziliendelea?
 
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya
Hapana mkuu imani isitutoke kiasi hiki.
Mi naona ni ajali tu.
 
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya

Naomba tuamini kuwa ni ajali ya kawaida, ingawa pia mengi yaweza husisha, la msingi sisi tuangalie jinsi ubaya unavyojitenga na wema. Nawaomba tusilipe baya kwa baya, bali baya kwa jema...ndo dawa ya CCM. wao wakiua sisi tujenge mazingira mazuri ya kuishi jamii zetu. Nadhani ndipo penye tofauti. Amen
 
Wachawi wengi sana humu! Sijawahi kuona taarifa ya msiba ikifanyiwa dhihaka ya namna hii!

Poleni wafiwa!
 
Oh My God, Mungu aipumzishe kwema roho ya marehemu mtoto. Naona Sindibadi ashachanganyikiwa, tujuzeni kama TV za bongo na magazeti yataripoti juu ya hii!
 
Poleni sana wazazi, ndugu,jamaa na marafiki wa marehemu. Mungu aipuzishe roho ya marehemu kwa amani! Amina.
 
Wamemchukua msukule na kumpa sheikh yahaya siku zote nasema IKULU imejaa ushirikina na ndio maana hawakuwahi kukanusha maneno ya sheikh yahaya, mungu maliza majambazi haya

tusiende kwenye hizi imani nadhani wa kulaumiwa ni hawa jamaa wa CCM manake hapo Muhutwe ingawa hakuna matuta lakini kuna viashiria kibao kuonesha makazi na kivuko hasa cha wanafunzi!
 
Naona Rais Kikwete ana nuksi katika hii kampeni. Bora mwingine agombee. Awe mwanaume na ampishe mwingine. Afya yake inaelekea inazorota atadumu miaka mitano zaidi kweli?:confused2:
 
Ni jana tu mkuu alikuwa anajinadi hakuwahi kuidhinisha mtu kunyongwa, kumbe alikuwa anajitayarisha angalau kwa huyu mmoja? Familia ya wafiwa poleni sana na yaliyowafika. Mungu na aipokee pema nafsi hii ya malaika wake(kitoto).
 
Hii ni habari mbaya sana. Maskini mtoto wa watu amepoteza maisha bila kuona ujana wake. Mungu aiweke mahali pema peponi... amina!
 
Wachawi wengi sana humu! Sijawahi kuona taarifa ya msiba ikifanyiwa dhihaka ya namna hii!

Poleni wafiwa!
Fair comment.
Lakini walengwa wastahiki wa neno lako mwanana hili ni wale walioendelea na safari ya kampeni huku wakijua fika kuwa wamesababisha mauaji.
Inaonyesha they will stop at nothing katika kupata ulaji pale Magogoni (sic), even if some innocent souls are lost (naturally or superstitiously) in the process!
 
Back
Top Bottom