Elections 2010 Msafara wa rais Kikwete waua Muhutwe (Muleba)

Oh My God, Mungu aipumzishe kwema roho ya marehemu mtoto. Naona Sindibadi ashachanganyikiwa, tujuzeni kama TV za bongo na magazeti yataripoti juu ya hii!

Kamanda;

Nimeangalia ITV; TBC1 na Channel 10 hakuna kituo kilichotangaza. Huenda habari hii haina uzito kwao . . . . ingawa habari za mgombea Urais kupitia wa ticketi ya CCM zimetangazwa . . . .

Mpaka uchaguzi uishe . . . . tutasikia mengi.
 
Ajari zinasababishwa na matatizo mengi. Pengine ni uchovu wa maofisa wa ikulu walio katika msafara au ndio uzembe wa watumiaji barabara au vyote viwili. Pengine pia ni kukosekana kwa maandalizi ya kutosha ya kuendesha kwenye barabara za vijijini.
 
Kamanda;

Nimeangalia ITV; TBC1 na Channel 10 hakuna kituo kilichotangaza. Huenda habari hii haina uzito kwao . . . . ingawa habari za mgombea Urais kupitia wa ticketi ya CCM zimetangazwa . . . .

Mpaka uchaguzi uishe . . . . tutasikia mengi.

Kuna haja ya kuanzisha TV station mpya bongo
 
Kamanda;

Nimeangalia ITV; TBC1 na Channel 10 hakuna kituo kilichotangaza. Huenda habari hii haina uzito kwao . . . . ingawa habari za mgombea Urais kupitia wa ticketi ya CCM zimetangazwa . . . .

Mpaka uchaguzi uishe . . . . tutasikia mengi.

Yaani nawaambia ingekuwa ni kuwa msafara wa Slaa au Lipumba umeua basi ungesikia maneno ya hawa wanachama!
 
Muda mfupi uliopita, msafara wa Rais Jakaya Kikwete ukielekea Kamachumu umeua mtoto wa shule ya msingi katika maeneo ya Muhutwe - Muleba Kaskazini.

Hii ni habari ya kusikitisha na ninawapa pole wafiwa. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amina.

Mdau: Darlene Kisha

Chanzo: Blog ya Haki Ngowi

Maxence;

Angalia usije ukawa umefungwa baao la kisigino.

Nimeangalia Blog ya Haki Ngowi haina habari hiyo . . . Ama ni uvumi . . . ama habari hiyo imeondolewa . . . .

Ngoma inogile . . . Uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi.
 
Maxence;

Angalia usije ukawa umefungwa baao la kisigino.

Nimeangalia Blog ya Haki Ngowi haina habari hiyo . . . Ama ni uvumi . . . ama habari hiyo imeondolewa . . . .
Kaka, habari hiyo imo humo, sijui site gani unayoenda wewe. Nenda hapa halafu search neno "msafara."
 
Rip
nashauri wananchi wajiepushe na misafara hii isiyo na huruma wala tija kwao sasa na baadaye!!
 
Bu'yaka Bu'yaka na Invisible;

Asante sana, nimeiona. Haaa haaa kigugumizi cha macho . . .
 
Hata MWANANCHI gazeti NGULI lisilofungamana na upande wowote na Tanzania Daima... Hawajaandika chochote...
 
Hata MWANANCHI gazeti NGULI lisilofungamana na upande wowote na Tanzania Daima... Hawajaandika chochote...

Kamanda ya kweli hayo? Tanzania Daima (TD) nimeandika . . . . . Sub heading inasomeka "Gari la Msafara Wake lagonga Mtoto na Kufariki Dunia"
 
Mkuu, mbona unatoa hitimisho baya namna hii?
Ajali za barabarani ziko kila mahali, na ukizingatia kwamba misafara ya viongozi inakuwa kasi sn, ajali huwa hazikwepeki. Ajali za namna hii zimewapata akina Mudhihir, Kapuya, Sitta n,k, sasa kuna nini cha ajabu kwa Kikwete?

Hapo Mkuu nilipoweka rangi nyekundu! Why? ni utaratibu au uoga au ni kitu gani, mi navyojua Tanzania ni nchi ya amani tena mh anaomba kura lakini wanakuwa na haraka kiasi hicho, why????? Kuna kitu cha ziada. Matendo ya mtu ndo humuongezea/humpunguzia maadui.
 
Wazazi wake watatulizwa kiaina kama walivyotulizwa wale wa dereva wa daladala aliyeuwawa na Ditopile halafu Makamba atasema kijana amekufa kishujaa, maana alikuwa anakwenda kwenye kampeni za chama! poleni wazazi wa marehemu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom