Mtego huu ulimnasa Jakaya, Hayati Magufuli aliukwepa. Rais Samia soon ananaswa wajanja jiandaeni kama sio leo ni kesho ananaswa

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na wajanja.(WAHUNi WAHUNI WAHUNI).

Kichwa Cha habari kimewataja Marais watatu lakini kwa kumbukizi pia hata Hayati Benjamin Mkapa aliwai pigwa pesa alizopewa kama msaada zileeeee! za stimulus Package(kwa maana pesa za kuamsha uchumi baada ya tukio la kudodonka kwa uchumi wa Dunia enzi hizo, Tanzania Kuna pahala hizi pesa zilitakiwa zipelekwe Cha hajabu wajanja waliunda makampuni hewa na kupiga pesa hizi, kama mtakumbuka ndugu wanajamvi Kuna siku kwenye utawala wa mwendazake niliwai pandisha Uzi ulisomeka hivi;

''Mh Rais mbona Kuna faili Lina langi ya njano hapo mezani kwako unaliluka?'' baadae baada ya kusoma Uzi ule alipo pata nafasi Mh Rais Magufuli siku moja akiwa kwenye matukio Fulani Fulani alisikika akijibu ya kuwa yeye hafufui makubuli!(sisi tulio kuwa na uwezo wa kumsemea paspo kumvua nguo tukioofia kubinywa tuliweza mwabia kwa lugha iliyochutama" na tulitambua hata allivyojibu tulijua nae anatujibu sisi maana alikuwa bingwa wa kusoma nyuzi zetu.)

(Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?

Rais wa awamu ya pili Alie ingia choo Cha kike peupe ni Jakaya Mrisho kikwete, huyu yeye alirenga kuwasaidia washikaji wake,(genge la wahuni walio kuwa tayari kununua madaraka yakuwa wabunge na mawaziri Kikwete aliruka mtego wa kuwapa pesa za umma kama njugu aliona sehemu pekee ambayo anaweza ingiza pesa alafu watu hao wakazipata wakazitumia kununua madaraka ni kwenye Vyama vya Akiba na Mikopo, yaani Saccos Kikwete alihamasisha vikundi vya watoto wa mjini yaani wahuni wasajili saccos za kisiasa na atakuwa anatumbukiza mabilioni ya fedha halimaarufu mabilioni zikitokea CRDB(kama anavyotaka kuingiza Rais Samia?

Ya Jakaya hizi ni fedha za misaada zilizotoka nje kusaidia wananchi wa Hali ya chini hizi zillishia kwenye mikono ya wahuni walio nunua madaraka kupitia masacos hayo, kama haitoshi Kikwete wakati anatoka madarakani ikatungwa sheria iliyompa Madaraka Mrajisi mkuu wa vyama vya ushirika kufuta vyama vya ushirika wa Akiba na Mikopo ambavyo vinaonekana sua sua, Sheri hii mrajisi mkuu Taifa mwaka jana kama sio mwaka juzi alihakikisha anafuta masaccos yote yaliyosajiliwa kwenye utawala wa kikwete na yote yaliyokuwa na mabilioni ya hela yote aliyafuta, Sasa hivi hayapo,tunao jua tulipo hoji majibu yaliyokuja ni kuepuka kombe mwanahalamu apiite, maana Tetesi zilianza kuvuma kuwa mwendazake kwenye awamu ya pili alikuwa anaenda kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa kwa Ili unaambiwa genge lire lilijipanga vilivyo na likashinda kabla hata ya kufa kwake vyama vilifutwa.(mabilioni yalitembezwa Ili vifutwe kupoteza ushahidi?

Magufuli manusura anaswe na genge ili limpige Milioni 50,000,000/= za Kila Kijiji

Mtego huu mpaka anaingia kaburini

Unaambiwa moja ya changamoto ilikuwa ni yeye kufikilia jinsi ya kuingiza fedha hizi ziende kwa walengwa na sio kwa genge lire la jakaya Yani aliumiza kichwa mwisho wa yote akaona Bora aziache kwanza na hasingeziingiza kamwe Ili kupunguza kelele za kumuhoji aliona Bora aue upinzani kabisa.(maana ccm hakuna wa kumuuliza lilikuwa KOMANDO LIRE LISUKUMA vidume kibao alivikata ngebe usione Sasa hivi watu kama mwiguru wanaropoka enzi hizo hata angesema wote uchi wasingejitokeza)

Ila pahala alipo pigiwa na genge la wahuni waliopo serikali tu kumbuka pesa za Ben ziliipgwa na genge la watumishi kwA collabo na watoto wa mjini wajanja yaani. Za kikwete zilizopigwa na watoto wa mjini wengi kuliko watumishi, kwa magu amepigwa kwnye pesa za halimashauri Yani uko tunasema pesa zimepigwa NDORE nae pia alipgwa hivyo.

Samia anajua kabisa kuwa pesa za halimashauri hazirudi kwa sbabu ya siasa na watumishi kuunda vikundi hewa ile ni miladi ya wakurugenzi wakuu wa wilaya na Maafisa waendeleo ya jamii kurudishwa ni ngumu zimejaa na zinanuka rushwa. Na uccm na wanaozila wengi wao ni makada wa chama chetu pendwa

Wanajipanga wamnase kwa kujitengenezea njia mwenyewe.

Kikwete na ujanja wake, hakuwai ingiza pesa za umma moja kwa moja kwenye masacos yeye alizipitishia Benki iliyojitanabaisha kuwa ya ushirika yanii CRDB.

Zote zilipitia CRDB kwenda kwenye saccos kibao, na zikapigwa nenda Morogoro mwanza na Kilimanjaro ni aibu.

Jana nimesikia Mh Raisi anawambia wanawake wenzake kuwa ameanza kuandaa pesa zitakazoingizwa kwenye mabenki ya CRDB na NMB kuwa kama mtaji kwa akina mama, ila aliwambia zitakuwa za mkopo na sio ruzuku, kumbe anajua yakuwa pesa zinazotolewa na serikali kwenda kwa wanawake, kupitia halimashauri Kuna kauli huko kuwa sio mikopo ila zinaitwa pesa za ccm?nenda wilaya ya muleba mkoani kagera hizi fedha huitwa fedha za ccm.

Sasa anasema atarudia kosa kuingizia feda kwenye mabenki hayo kuwapelekea wanawake, mitaji je za halimashauri hazitoshi? Kama hazitoshi ni kwa nn tusiongeze asilimia?

Je, ni kweli CRDB na NMB zinaenda kuingiziwa fedha hizo wazitoe paspo riba kweli? Hizi ni benki zinazotakiwa kuingiziwa fedha zisizo na riba? watakao uska kuzikopesha watalipwa na nani? Karatasi za mikataba zitatolewa Bure na serikali? Watakao zifatilia kuzidai watazidai Bure? Hakuna pesa ya Bure Duniani bhana mwisho wa hii program najua ni kichaka Cha kutaka kuwatengenezea mazingira KIKUNDI kidgo Cha wapigaji kama ilivyofanyika huko kote niliko kutaja.

Nahisi huu tusiuute mtego maana hata nyinyi watawala yawezekana mwanufaika nao.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma Kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi Fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na wajanja.(WAHUNi WAHUNI WAHUNI)...
Global Economic Crisis ilikuwa 2007/08;
Mkapa ameondoka madarakani Nov 2005,

Ni vema ukaweka kumbukumbu sawa stimulus package zilitoka wakati wa JK na sio BWM;

Huenda lengo la stimulus package lilikuwa zuri kama ambavyo US na EU serikali zilitoa stimulus packages ili kuhakikisha uchumi hauangiki.

Bongo kuna bahati mbaya moja, watu wengi sana badala ya kuwekeza kwenye miradi ya kuzalisha ndipo wale faida, watu wanakula seed money. Very unfortunate.

Japo kwenye hizo economic stimulus packages,kuna kampuni kadha wa kadha zianzishwa na zingine zilikuwa kwa haraka sana.

Sitaweka majina, ila iko wazi kabisa Kwa kampuni kadhaa za mafuta, gas na ujenzi na sasa zimeingia mpaka kwenye rubricants na bila shaka zitakua zaidi.

Ili kuwekeza lazima hela iwepo ili mwekezaji awe na investment capital CAPEX na opox pia.
Ila kwa kuwa baadhi ya wanaoidhinisha nao wanataka kuwa sehemu ya mafanikio ya haraka bila utaratibu, it ends up hela kupitia kwenye mabenki then yanagawanwa kama sandakarawe.

Hii ndio bongo.
 
Unajua umaskini wa Tanzania hauwezi kuisha kwa kukopeshana pesa

Bali utaisha kwa kutafuta mfumo rasmi wa kuwezesha wajasiria Mali

Leo vikundi vimekuwa vya moto kwa watu kukimbia na hela na wakat huo wanao baki wanatakiwa kulipa hela zilizo kopwa

Maanake tunaongeza maskini
 
Acha unaa. Hii nchi pesa hata ikipigwa haiwezi kuisha. Ulishasikia serikali inaishiwa hela
 
Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?
We jamaa vipi
 
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na wajanja.(WAHUNi WAHUNI WAHUNI).

Kichwa Cha habari kimewataja Marais watatu lakini kwa kumbukizi pia hata Hayati Benjamin Mkapa aliwai pigwa pesa alizopewa kama msaada zileeeee! za stimulus Package(kwa maana pesa za kuamsha uchumi baada ya tukio la kudodonka kwa uchumi wa Dunia enzi hizo, Tanzania Kuna pahala hizi pesa zilitakiwa zipelekwe Cha hajabu wajanja waliunda makampuni hewa na kupiga pesa hizi, kama mtakumbuka ndugu wanajamvi Kuna siku kwenye utawala wa mwendazake niliwai pandisha Uzi ulisomeka hivi;

''Mh Rais mbona Kuna faili Lina langi ya njano hapo mezani kwako unaliluka?'' baadae baada ya kusoma Uzi ule alipo pata nafasi Mh Rais Magufuli siku moja akiwa kwenye matukio Fulani Fulani alisikika akijibu ya kuwa yeye hafufui makubuli!(sisi tulio kuwa na uwezo wa kumsemea paspo kumvua nguo tukioofia kubinywa tuliweza mwabia kwa lugha iliyochutama" na tulitambua hata allivyojibu tulijua nae anatujibu sisi maana alikuwa bingwa wa kusoma nyuzi zetu.)

(Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?

Rais wa awamu ya pili Alie ingia choo Cha kike peupe ni Jakaya Mrisho kikwete, huyu yeye alirenga kuwasaidia washikaji wake,(genge la wahuni walio kuwa tayari kununua madaraka yakuwa wabunge na mawaziri Kikwete aliruka mtego wa kuwapa pesa za umma kama njugu aliona sehemu pekee ambayo anaweza ingiza pesa alafu watu hao wakazipata wakazitumia kununua madaraka ni kwenye Vyama vya Akiba na Mikopo, yaani Saccos Kikwete alihamasisha vikundi vya watoto wa mjini yaani wahuni wasajili saccos za kisiasa na atakuwa anatumbukiza mabilioni ya fedha halimaarufu mabilioni zikitokea CRDB(kama anavyotaka kuingiza Rais Samia? ya Jakaya hizi ni fedha za misaada zilizotoka nje kusaidia wananchi wa Hali ya chini hizi zillishia kwenye mikono ya wahuni walio nunua madaraka kupitia masacos hayo, kama haitoshi Kikwete wakati anatoka madarakani ikatungwa sheria iliyompa Madaraka Mrajisi mkuu wa vyama vya ushirika kufuta vyama vya ushirika wa Akiba na Mikopo ambavyo vinaonekana sua sua,Sheri hii mrajisi mkuu Taifa mwaka jana kama sio mwaka juzi alihakikisha anafuta masaccos yote yaliyosajiliwa kwenye utawala wa kikwete na yote yaliyokuwa na mabilioni ya hela yote aliyafuta, Sasa hivi hayapo,tunao jua tulipo hoji majibu yaliyokuja ni kuepuka kombe mwanahalamu apiite, maana Tetesi zilianza kuvuma kuwa mwendazake kwenye awamu ya pili alikuwa anaenda kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa kwa Ili unaambiwa genge lire lilijipanga vilivyo na likashinda kabla hata ya kufa kwake vyama vilifutwa.(mabilioni yalitembezwa Ili vifutwe kupoteza ushahidi?

Magufuli manusura anaswe na genge Ili ililumpige Milioni 50,000,000/= za Kila Kijiji

Mtego huu mpaka anaingia kabulini

Unaambiwa moja ya changamoto ilikuwa ni yeye kufikilia jinsi ya kuingiza fedha hizi ziende kwa walengwa na sio kwa genge lire la jakaya Yani aliumiza kichwa mwisho wa yote akaona Bora aziache kwanza na hasingeziingiza kamwe Ili kupunguza kelele za kumuhoji aliona Bora aue upinzani kabisa.(maana ccm hakuna wa kumuuliza lilikuwa KOMANDO LIRE LISUKUMA vidume kibao alivikata ngebe usione Sasa hivi watu kama mwiguru wanaropoka enzi hizo hata angesema wote uchi wasingejitokeza)

Ila pahala alipo pigiwa na genge la wahuni waliopo serikali tu kumbuka pesa za Ben ziliipgwa na genge la watumishi kwA collabo na watoto wa mjini wajanja yaani. Za kikwete zilizopigwa na watoto wa mjini wengi kuliko watumishi, kwa magu amepigwa kwnye pesa za halimashauri Yani uko tunasema pesa zimepigwa NDORE nae pia alipgwa hivyo.

Samia anajua kabisa kuwa pesa za halimashauri hazirudi kwa sbabu ya siasa na watumishi kuunda vikundi hewa ile ni miladi ya wakurugenzi wakuu wa wilaya na Maafisa waendeleo ya jamii kurudishwa ni ngumu zimejaa na zinanuka rushwa. Na uccm na wanaozila wengi wao ni makada wa chama chetu pendwa

Wanajipanga wamnase kwa kujitengenezea njia mwenyewe.

Kikwete na ujanja wake,hakuwai ingiza pesa za umma moja kwa moja kwenye masacos yeye alizipitishia Benki iliyojitanabaisha kuwa ya ushirika yanii CRDB.

Zote zilipitia CRDB kwenda kwenye saccos kibao,na zikapigwa nenda Morogoro mwanza na Kilimanjaro ni aibu.

Jana nimesikia Mh Raisi anawambia wanawake wenzake kuwa ameanza kuandaa pesa zitakazoingizwa kwenye mabenki ya crdb na NMB kuwa kama mtaji kwa akina mama,ila aliwambia zitakuwa za mkopo na sio ruzuku, kumbe anajua yakuwa pesa zinazotolewa na serikali kwenda kwa wanawake, kupitia halimashauri Kuna kauli huko kuwa sio mikopo ila zinaitwa pesa za ccm?nenda wilaya ya muleba mkoani kagera hizi fedha huitwa fedha za ccm.

Sasa anasema atarudia kosa kuingizia feda kwenye mabenki hayo kuwapelekea wanawake, mitaji je za halimashauri hazitoshi?kama hazitoshi ni kwa nn tusiongeze asilimia?

Je, ni kweli CRDB na NMB zinaenda kuingiziwa fedha hizo wazitoe paspo riba kweli?hizi ni benki zinazotakiwa kuingiziwa fedha zisizo na riba ?watakao uska kuzikopesha watalipwa na nani?kalatasi za mikataba zitatolewa Bure na serikali?watakao zifatilia kuzidai watazidai Bure?hakuna pesa ya Bure Duniani bhana mwisho wa hii program najua ni kichaka Cha kutaka kuwatengenezea mazingira KIKUNDI kidgo Cha wapigaji kama ilivyofanyika huko kote niliko kutaja.

Naisi huu tusiuute mtego maana hata nyinyi watawala yawezekana mwanufaika nao.

Mungu ibariki Tanzania.
Umeibua mambo mazito.
 
Global Economic Crisis ilikuwa 2007/08;
Mkapa ameondoka madarakani Nov 2005,

Ni vema ukaweka kumbukumbu sawa stimulus package zilitoka wakati wa JK na sio BWM;

Huenda lengo la stimulus package lilikuwa zuri kama ambavyo US na EU serikali zilitoa stimulus packages ili kuhakikisha uchumi hauangiki.

Bongo kuna bahati mbaya moja, watu wengi sana badala ya kuwekeza kwenye miradi ya kuzalisha ndipo wale faida, watu wanakula seed money. Very unfortunate.

Japo kwenye hizo economic stimulus packages,kuna kampuni kadha wa kadha zianzishwa na zingine zilikuwa kwa haraka sana.

Sitaweka majina, ila iko wazi kabisa Kwa kampuni kadhaa za mafuta, gas na ujenzi na sasa zimeingia mpaka kwenye rubricants na bila shaka zitakua zaidi.

Ili kuwekeza lazima hela iwepo ili mwekezaji awe na investment capital CAPEX na opox pia.
Ila kwa kuwa baadhi ya wanaoidhinisha nao wanataka kuwa sehemu ya mafanikio ya haraka bila utaratibu, it ends up hela kupitia kwenye mabenki then yanagawanwa kama sandakarawe.

Hii ndio bongo.
Niwie radhi mkuu Asante kwa kunikosoa with vivid information nisamehe Sana ulichosema ndio ukweli mkuu ila hizo pesa zilipigwa mbaya sana na faili la walio zipiga lipo hapo ukichungulia haliko mbali Nina imani Raisi wa kugusa faili lile hajazaliwa kama yule msukuma alilikwepa mara kadhaaa, kiukweli ni Zitto sana faili lile ila kumbe Kuna mlio na taarifa za makampuni hayo si uzitaje tu hapa yawezekana Kuna super company currently kumbe ni pesa zetu ambazo tulipewa zisaidie nchi ila zimechezewa mbaya, wadau wanasema hata makampuni mengi ya mafuta tuliyonayo currently yameenda kwa watoto wa vigogo Sasa ila one Iko siku kitaeleweka labda faili liibwe Iko siku Mimi binafsi ntaingia pale na kulibeba na kumpiga nalo mtawala yoyote ila kuwakomesha.
 
Ikumbukwe pia Mwendazake nae pia alipiga pesa kupitia Saccos aliyoianzisha yeye mwenye pale CHATO sijui iliitwaje nayo Sasa hivi iilifutwa lakini iliungiziwa fedha nyingi sanaaa zaidi ya milioni 800,000,000 na hazikurejeshwa zilipotea mwamasishaji mkuu wa kuanzishwa kwa Saccos ile alikuwa ni Magufuli na Jakaya akimwingizia mapesa hayo ndo ikawa tikwti wanachato kumchagua kuwa mbunge wao na baadae kupewa Uwaziri Yani ndio maana Mimi nasema ndani ya ccm kumpata aliye msafi ni ngumu (baada ya kubandika bandiko Ili nimeshangaa mwananchi mmoja kutoka chato amenipm na kudai niliyasema ni sahihi ilo lisacos alirolianzisha lipo na viongozi wa kwanza wa saccos hiyo ni washikaji wa mwendazake.
 
Uzi huu ni maalumu kuonesha Marais wetu walivyowai kunasa kwenye mtego wa kufuja fedha za umma kwa kuutangazia umma yakuwa wanawasaidia makundi fulani mwishowe pesa hizo uishia kupigwa na wajanja.(WAHUNi WAHUNI WAHUNI).

Kichwa Cha habari kimewataja Marais watatu lakini kwa kumbukizi pia hata Hayati Benjamin Mkapa aliwai pigwa pesa alizopewa kama msaada zileeeee! za stimulus Package(kwa maana pesa za kuamsha uchumi baada ya tukio la kudodonka kwa uchumi wa Dunia enzi hizo, Tanzania Kuna pahala hizi pesa zilitakiwa zipelekwe Cha hajabu wajanja waliunda makampuni hewa na kupiga pesa hizi, kama mtakumbuka ndugu wanajamvi Kuna siku kwenye utawala wa mwendazake niliwai pandisha Uzi ulisomeka hivi;

''Mh Rais mbona Kuna faili Lina langi ya njano hapo mezani kwako unaliluka?'' baadae baada ya kusoma Uzi ule alipo pata nafasi Mh Rais Magufuli siku moja akiwa kwenye matukio Fulani Fulani alisikika akijibu ya kuwa yeye hafufui makubuli!(sisi tulio kuwa na uwezo wa kumsemea paspo kumvua nguo tukioofia kubinywa tuliweza mwabia kwa lugha iliyochutama" na tulitambua hata allivyojibu tulijua nae anatujibu sisi maana alikuwa bingwa wa kusoma nyuzi zetu.)

(Mwenyezi Mungu amweke anakoona anafaa kukaa,Mimi swezi mpangia Mungu wangu eti amweke mahali pema Peponi wakati anastaili kuwekwa motoni Sasa Mungu nampangiaje kwa mfano?Mimi naanzaje kumpangia Mungu nisiye muona?

Rais wa awamu ya pili Alie ingia choo Cha kike peupe ni Jakaya Mrisho kikwete, huyu yeye alirenga kuwasaidia washikaji wake,(genge la wahuni walio kuwa tayari kununua madaraka yakuwa wabunge na mawaziri Kikwete aliruka mtego wa kuwapa pesa za umma kama njugu aliona sehemu pekee ambayo anaweza ingiza pesa alafu watu hao wakazipata wakazitumia kununua madaraka ni kwenye Vyama vya Akiba na Mikopo, yaani Saccos Kikwete alihamasisha vikundi vya watoto wa mjini yaani wahuni wasajili saccos za kisiasa na atakuwa anatumbukiza mabilioni ya fedha halimaarufu mabilioni zikitokea CRDB(kama anavyotaka kuingiza Rais Samia?

Ya Jakaya hizi ni fedha za misaada zilizotoka nje kusaidia wananchi wa Hali ya chini hizi zillishia kwenye mikono ya wahuni walio nunua madaraka kupitia masacos hayo, kama haitoshi Kikwete wakati anatoka madarakani ikatungwa sheria iliyompa Madaraka Mrajisi mkuu wa vyama vya ushirika kufuta vyama vya ushirika wa Akiba na Mikopo ambavyo vinaonekana sua sua, Sheri hii mrajisi mkuu Taifa mwaka jana kama sio mwaka juzi alihakikisha anafuta masaccos yote yaliyosajiliwa kwenye utawala wa kikwete na yote yaliyokuwa na mabilioni ya hela yote aliyafuta, Sasa hivi hayapo,tunao jua tulipo hoji majibu yaliyokuja ni kuepuka kombe mwanahalamu apiite, maana Tetesi zilianza kuvuma kuwa mwendazake kwenye awamu ya pili alikuwa anaenda kuhakikisha fedha hizo zinarudishwa kwa Ili unaambiwa genge lire lilijipanga vilivyo na likashinda kabla hata ya kufa kwake vyama vilifutwa.(mabilioni yalitembezwa Ili vifutwe kupoteza ushahidi?

Magufuli manusura anaswe na genge Ili ililumpige Milioni 50,000,000/= za Kila Kijiji

Mtego huu mpaka anaingia kabulini

Unaambiwa moja ya changamoto ilikuwa ni yeye kufikilia jinsi ya kuingiza fedha hizi ziende kwa walengwa na sio kwa genge lire la jakaya Yani aliumiza kichwa mwisho wa yote akaona Bora aziache kwanza na hasingeziingiza kamwe Ili kupunguza kelele za kumuhoji aliona Bora aue upinzani kabisa.(maana ccm hakuna wa kumuuliza lilikuwa KOMANDO LIRE LISUKUMA vidume kibao alivikata ngebe usione Sasa hivi watu kama mwiguru wanaropoka enzi hizo hata angesema wote uchi wasingejitokeza)

Ila pahala alipo pigiwa na genge la wahuni waliopo serikali tu kumbuka pesa za Ben ziliipgwa na genge la watumishi kwA collabo na watoto wa mjini wajanja yaani. Za kikwete zilizopigwa na watoto wa mjini wengi kuliko watumishi, kwa magu amepigwa kwnye pesa za halimashauri Yani uko tunasema pesa zimepigwa NDORE nae pia alipgwa hivyo.

Samia anajua kabisa kuwa pesa za halimashauri hazirudi kwa sbabu ya siasa na watumishi kuunda vikundi hewa ile ni miladi ya wakurugenzi wakuu wa wilaya na Maafisa waendeleo ya jamii kurudishwa ni ngumu zimejaa na zinanuka rushwa. Na uccm na wanaozila wengi wao ni makada wa chama chetu pendwa

Wanajipanga wamnase kwa kujitengenezea njia mwenyewe.

Kikwete na ujanja wake,hakuwai ingiza pesa za umma moja kwa moja kwenye masacos yeye alizipitishia Benki iliyojitanabaisha kuwa ya ushirika yanii CRDB.

Zote zilipitia CRDB kwenda kwenye saccos kibao,na zikapigwa nenda Morogoro mwanza na Kilimanjaro ni aibu.

Jana nimesikia Mh Raisi anawambia wanawake wenzake kuwa ameanza kuandaa pesa zitakazoingizwa kwenye mabenki ya crdb na NMB kuwa kama mtaji kwa akina mama,ila aliwambia zitakuwa za mkopo na sio ruzuku, kumbe anajua yakuwa pesa zinazotolewa na serikali kwenda kwa wanawake, kupitia halimashauri Kuna kauli huko kuwa sio mikopo ila zinaitwa pesa za ccm?nenda wilaya ya muleba mkoani kagera hizi fedha huitwa fedha za ccm.

Sasa anasema atarudia kosa kuingizia feda kwenye mabenki hayo kuwapelekea wanawake, mitaji je za halimashauri hazitoshi?kama hazitoshi ni kwa nn tusiongeze asilimia?

Je, ni kweli CRDB na NMB zinaenda kuingiziwa fedha hizo wazitoe paspo riba kweli?hizi ni benki zinazotakiwa kuingiziwa fedha zisizo na riba ?watakao uska kuzikopesha watalipwa na nani?kalatasi za mikataba zitatolewa Bure na serikali?watakao zifatilia kuzidai watazidai Bure?hakuna pesa ya Bure Duniani bhana mwisho wa hii program najua ni kichaka Cha kutaka kuwatengenezea mazingira KIKUNDI kidgo Cha wapigaji kama ilivyofanyika huko kote niliko kutaja.

Naisi huu tusiuute mtego maana hata nyinyi watawala yawezekana mwanufaika nao.

Mungu ibariki Tanzania.
shamba la bwana heri
 
Back
Top Bottom