BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI.

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.

Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.

Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.

Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.

Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.

Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.

Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.

IMG-20220702-WA0019.jpg
IMG-20220702-WA0017.jpg
IMG-20220702-WA0016.jpg
 
Hii nchi yetu inakuwa ya ovyooo kabisa... huyu shaka ameenda pale akiwa kama nani na mwenye wadhifa gani kwa hili taifa??

Kwa sasa we need to be salvaged, yaani watanzania tumeshikwa mateka na mafala kutokea uvccm
 
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.

Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.

Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.

Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.

Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.

Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.

Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.

=====
 
Samia ni legacy ya Magufuli kwa hiyo huwezi kuwashindanisha.

Samia anavyofanya vizuri ndiyo Magufuli anafurahia alichagua jembe
 
Rais Samia Suluhu Hassan kuandika historia katika karne ya 21 ndani ya uongozi wake, kujenga upya hospitali ya Muhimbili.

Fuatilia video katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka ameipongeza serikali kwa kutenga zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa hospitali hiyo ya Muhimbili.
 
Attachments

  • VID-20220702-WA0082.mp4
    18 MB
  • IMG-20220702-WA0088.jpg
    IMG-20220702-WA0088.jpg
    78 KB · Views: 12
Majanga ni mengi sana
Rais Samia Suluhu Hassan kuandika historia katika karne ya 21 ndani ya uongozi wake, kujenga upya hospitali ya Muhimbili”

Fuatilia video
katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndg.Shaka Hamdu Shaka ameipongeza serikali kwa kutenga Zaidi ya shilingi bilioni 600 kwa ajili ya ujenzi na ununuzi wa vifaa hospitali hiyo ya Muhimbili.

Hapa ndipo watanzania tunapokwama, inategemea Ripoti ya tra itawasilishwa kwa mapungufu?? Atakuwa mjinga asiyemsifia bosi wake.
 
KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI
IMG-20220702-WA0149.jpg

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa kwenye ziara hiyo amepata nafasi ya kupokea taarifa zinazohusu taasisi hizo.
IMG-20220702-WA0165.jpg

Aidha Shaka amepata nafasi ya kuzungumza na Wananchi mbalimbali waliokuwa wakipatiwa huduma mbalimbali.Pia katika ziara hiyo amezungumza na baadhi ya raia wa nchi mbalimbali za Afrika wakiwemo wa Rwanda,Burundi na Congo ambao wamekuja kupata huduma za matibabu ya afya.
IMG-20220702-WA0151.jpg

Shaka amefanya ziara hiyo leo mchana na lengo la ziara yake pamoja na mambo mengine ilikuwa ni kwenda kumjulia hali mzazi wa Watoto mapacha waliotengenishwa Amina Amosi(18) Mkazi wa Simiyu aliyepo Hospitalini hapo.
IMG-20220702-WA0162.jpg

Amemtia moyo huku akitoa maelekezo kwa Wizara ya Maendeleo ya Jamii kutembelea mzazi huyo na kumueleza namna ambavyo Serikali itamsaidia malezi ya Watoto.
IMG-20220702-WA0167.jpg

Akiwa katika ziara hiyo Shaka amepokea taarifa ya mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye amefanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya afya ikiwemo ununuzi wa vifaa tiba pamoja na uwekezaji katika miundombinu.

Aidha Shaka ameeleza mkakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kuboresha sekta ya afya huku akizungumza mipango ya kuijenga Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo zaidi ya Sh.bilioni 600 zimetengwa kwa ajili ya kufanikisha ujenzi huo ambao unakwenda kuandika historia nyingine katika sekta ya afya nchini.
IMG-20220702-WA0163.jpg

Hata hivyo amewapongeza watoa huduma katika taasisi hizo kutokana na huduma bora ambazo wanazitoa katika kuwahudumia Wananchi huku akieleza kwamba Kuna mambo makubwa na mazuri yamefanyika tofauti na baadhi ya watu wanavyozungumza.
IMG-20220702-WA0150.jpg

IMG-20220702-WA0164.jpg

=====
 
Back
Top Bottom