Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 31,881
- 33,319
Siasa inalipa,acha ningie uko
Ningefurahi sana kama wangewaambia warejeshe fedha zetu pia
Siasa inalipa,acha ningie uko
Hakika hujakosea umenena vyema wenzake wHata wao wanatamani kudeki kuliko kukaa gerezani, kwa hiyo wewe utakuwa unatamani kitu ambacho mwenzako amekichagua
Mwisho wa siku kila upande utafaidika na kitendo cha wao kupiga deki, wewe utafaidi kuona na wao watafaidi kuwa nje ya jengo la gereza. Wao wana chenji ya yale mahela ila wewe huna, lakini walau unafaidi kuwaona wakipiga deki. Jioni kila mtu anarudi kwao, mmoja ana hela za kufaidi na familia yake na mwingine ana simulizi za kufaidi na familia yake
Weee mtupu kichwani eeh?HAWA NI WASOMI NADHANI WANGEPEWA ADHABU KAMA YA KUFUNDISHA VYUO VYENYE UHABA WA WAFUNDISHAJI.
Hata kama lingekuwa lisaa limoja...mimi nikifika hapo nachafua tu....Wao wanafanya masaa ma4 tu kwa siku. Tumia akili yako vizuri!
HAWA NI WASOMI NADHANI WANGEPEWA ADHABU KAMA YA KUFUNDISHA VYUO VYENYE UHABA WA WAFUNDISHAJI.
Mazuri waliyofanya ni mengi kuliko hilo walilohukumiwa nalo. Kuna wengi wapo njee wameliibia taifa huku akilindwa na chama pamoja na mfumo.
ni sarakasi tu na ngonjera!Kwa hiyo wamepata nafasi nzuri ya kutumia walicho tuibia.Kweli mahakama ya mafisadi itawafunga kweli hawa jamaa?
WanaJF hapa jamvini ni sehemu ya kuelimishana. Natupia Sheria ya 'The Community Service Act, No.6/2002 au Cap.291 ambayo imemewapa fursa Mramba na Yona, kutumikia adhabu nje ya magereza kwa kufanya kazi za kijamii. Sheria hii imetungwa na sisi wenyewe wananchi kupitia wawakilishi wetu yaani wabunge. Ipitieni mujiridhishe.
Usanii unaendelea wewe wanatakiwa kudeki hospital nzima
BAADA YA KUFAGIA WANAENDA LALA NYUMBANI?