basil mramba

Basil Pesambili Mramba (15 May 1940 – 17 August 2021) was a Tanzanian CCM politician who served as Member of Parliament for Rombo constituency. He died from complications of COVID-19 on 17 August 2021.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Mmejitahidi sana kuipamba na kuinogesha harusi ya leo, ila hata haijafikia 25% ya iliyokuwa Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia

    Wengi wenu hapa JamiiForums bahati mbaya miaka hiyo ya mwishoni ya 90 bado mlikuwa katika Zipu za Baba zenu ila kwa Wakongwe tulikuwepo na mpaka hii leo sijaona bado Harusi ya Kuizidi hiyo. Ilikuwa ni Harusi ya Mtoto wa Mzee Rupia ( Tajiri wa Kihistoria Tanzania ) na Binti yake Mzee Mramba (...
  2. maramia

    DPP hoi kesi ya akina Mramba

    Chini ya mkurugenzi huyu wa mashtaka serikali lazima kila siku itakuwa inapelekwa mchaka mchaka na washtakiwa. Ebu fikirieni tangu akina Basil Mramba na mwenzie Daniel Yona wahukumiwe kwenda jela miaka mitatu mpaka wamemaliza kifungo leo ndiyo DPP anagundua kwamba kifungu cha 77 (1) alichotumia...
  3. figganigga

    Mramba na Yona, Wakabidhiwa vifaa vya usafi Hospitali ya Palestina

    Mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona wameripoti katika hospitali ya Sinza Palestina na kukabiziwa vifaa kwa ajili ya kufanya usafi. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu iliridhia waliokuwa Mawaziri wastaafu Basil Mramba na Daniel Yona kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi...
  4. King Kong III

    Hukumu ya kesi ya Mramba na Yona, Ni spinning kututoa kwenye Miswada?

    Umofia kwenu wana JF, Jana ilitolewa hukumu iliyopelekea mawaziri wawili kutupwa jela na vile vile Jana bunge lilipitisha miswada miwili ya mafuta na gesi pamoja na uwazi na uwajibikaji. Hii hukumu ni zuga tu kututoa kwenye mstari uliowaweka Serikali/Bunge kooni. Watz tusiyumbishwe na spin...
  5. Kibo10

    Kama Kesi Ya Mramba Imedumu Miaka 8 Vipi Kwa Masikini?

    Hivi kama kesi ya kina Mramba na Mgonja inakaa miaka 8 makabwela waliopo rumande kwa tuhuma watapata lini haki zao? Kumbuka Mramba kwa nafasi yake na uwezo wake amekuwa nje kwa dhamana muda wote wa kesi Je kwa wale wasioweza kujidhamini na wamesingiziwa kesi zao? Kesi ya mramba na Mgonja ilianza...
  6. TAWA

    Hukumu ya Basil Mramba na wenzake leo

    Hukumu ya aliyekuwa mbunge wa rombo ccm na mwenzake Daniel Yona kuhusu kesi ya kuisababishia serikali hasara ya shilingi bil 11.7 inatarajiwa kutolewa leo. ============== Chanzo: Nipashe
  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    Kesi ya Mramba sasa Novemba 18

    KESI ya matumizi mabaya ya ofisi na kuisababishia Serikali hasara ya Sh11.7 bilioni inayowakabili mawaziri wa zamani Basil Mramba, Daniel Yona na Katibu mkuu wa zamani wa Wizara ya Fedha na Uchumi, Gray Mgonja imepigwa kalenda hadi Novemba 18, mwaka huu. Kesi hiyo iliahirishwa jana na Hakimu...
Back
Top Bottom