Sure!!!Itakuwa ngeleja na washa zima zake
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !
Kikosi cha fire kimewasili hapa ! yaaani ni kituko tu ! hawana msaada kabisa
Mkuu unajua maana ya hiyo 'Lol'?
mwambie ni nini..
AHAHAAAA..MKUU HILO NI ILE ILOKUWA SHABAN EAST NA WEST KAMA UNAENDA MAKANYAGIO KWA MAMA USWEGE KUNUNUA MAANDAZI ...UKIKOSA UNAENDA KWA CHUWA PALE OPPOSITE NA MAIN GATE..KISHA MWALIMU NGUWI NA MWENZAKE MWAIPAJA AU HATA MWANGOKA WANAKUFUKUZA MBAYA ILI WAKIKUKAMATA WAKUPELEKE KWA MKUU WA SHULE MZEE MGOHAMWENDE ILI IJUMAA HASA SIKU YA SCHOOL BARAZA UKUTANE NA KICHAPO CHA SOBBIBO CAMP....AHAHAHA...LIVE LONG MKWAWA COMPLEX AND CASSINO...BOMBA TATU FULL MCHONGOMA.....nawakilisha MAK-EAST-SIDAZ BABYYYYDah, my old school Mkwawa Complex....hilo Hall 6 ndiyo yale mabweni ya Magembe East n West au ni jipya?! Vipi, moto ushadhibitiwa?Pole kwa wahanga.
wagome wasigome ngoma droo...haina madhara...maana tushawazoea kwenda location bila maji ...huo nao mie naona ni mgomo tuu kama mbunge kuingia bungeni na haongei anaishia kusinzia na kupiga makofi.....vyote ni migomofire wanaruhusiwa kugoma?
wanafunzi hawajapewa boom soo walikuwa chumbani wanajipikilisha kwa jiko la mkaa then spark ikatokea ikachoma godoro lililokuwa chini la mwanafunzi waliye-mpa hifadhi baada ya kukosa hostel...si unajuwa room wanakaa wanafunzi 6-8..wanakuwa "wamebebana"chanzo cha moto ni nini?
taharuki hapa ni kuubwa ! mabinti wanalia ! na Giza limetanda mwanga mkali hewani ! Lol inatisha sana
Mkuu unajua maana ya hiyo 'Lol'?
AHAHAAAA..MKUU HILO NI ILE ILOKUWA SHABAN EAST NA WEST KAMA UNAENDA MAKANYAGIO KWA MAMA USWEGE KUNUNUA MAANDAZI ...UKIKOSA UNAENDA KWA CHUWA PALE OPPOSITE NA MAIN GATE..KISHA MWALIMU NGUWI NA MWENZAKE MWAIPAJA AU HATA MWANGOKA WANAKUFUKUZA MBAYA ILI WAKIKUKAMATA WAKUPELEKE KWA MKUU WA SHULE MZEE MGOHAMWENDE ILI IJUMAA HASA SIKU YA SCHOOL BARAZA UKUTANE NA KICHAPO CHA SOBBIBO CAMP....AHAHAHA...LIVE LONG MKWAWA COMPLEX AND CASSINO...BOMBA TATU FULL MCHONGOMA.....nawakilisha MAK-EAST-SIDAZ BABYYYY