Vladmir Putini
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 777
- 1,442
Habari wana JF.
Binafsi mgogoro wa wayahudi na wapalestina umenifanya nitafti vitu ambavyo hapo awali sikuwa na shida ya kuvijua.
Na hivyo vitu ambavyo nimetaka kuvitafti nimeishia njia panda tu bila kujua jibu sahihi ni lipi.
Ukiachana na mgogoro wa ardhi ulioko sasa kati ya wayahudi na wapalestina, kuna hili la HEKALU nalo ni kaa la moto.
Wayahudi wanaliita HEKALU,
WAKRISTO wanaliita KANISA na
Waislam wanaita MSIKITI
Yaani ki-ufupi wote watatu wanamaanisha kitu kile kile ambacho pia kinaonekana kuleta utata.
Sasa DINI ya KIYAHUDI na UKRISTO nitaiunganisha nitakapokuwa naelezea hili (maana tofauti ya dini hii huwa ni ndogo sana) lakini kwa UISLAM nitaielezea kitofauti kabisa.
KWA WAKRISTO : MCHUNGAJI MOSES MAGHEMBE anasema kwamba : HEKALU alilojenga suleiman liliharibiwa kwa mara ya kwanza na mfalme NEBUKADREZA kutoka Babeli mwaka 586 BC, kabla ya kuzaliwa YESU.
Alafu likaja kujengwa mara ya pili na DAUD nafikiri, lakini likaja likaharibiwa tena mara ya pili na Jenaral TITUS wa roman empire mwaka 70 AD baada ya kuzaliwa YESU.
Lakini mchungaji MAGHEMBE anaendelea kusema kwamba biblia imetabiri unabii wa kujengwa kwa HEKALU mara ya tatu kabla ya YESU kurudi tena.
Anaendelea kusema kuwa tayari mipango ya ujenzi imushawekwa tangu mwaka 1989 ambapo kuna kampuni ya kiyahudi imejipanga kwa ajili ya hilo, na anaesimamia mipango ya ujenzi wa HEKALU alimataja kwa jina sema nimemsahau kidogo ila ni kama RABI FRAIMAN nadhani nnavokumbukia.
Na anaendelea kusema kwamba tayari vitu vyote vilivyokuwa ndani ya HEKALU wayahudi washavitengezaga imebaki tu kusimamisha jengo.
Lakini kamalizia kwa kusema kinacho chelewesha ujenzi wa HEKALU hilo hadi sasa ni "kuna jengo la dini nyingine limejengwa pale lilipokuwa HEKALU la SULEIMAN" πππ
Hapana nadhani alimaanisha MSIKITI WA wa AL-AQSA sema aliogopa kutaja wazi.
Na kasema wayahudi hawawezi kujenga jengo HEKALU sehemu nyingine tofauti na pale lilipo hilo jengo la DINI nyingine (Bila shaka ni MASJID AL AQSA ana maanisha).
TUJE KWENYE UISLAMU sasa : Kwa mujibu wa SHEKH AL-HAJI SULLE yeye hatumii neno HEKALU bali anatumia neno MSIKITI.
SHEKH SULLE anasema kwamba MSIKITI ulijengwa na nabii Suleiman na ukaja kuharibiwa na NEBUKADREZA mwaka 586 BC.
Anaendelea kusema kwamba Msikiti huo baada ya kuharibiwa na NEBUKADREZA ulikuja kujengwa tena mara ya pili lakini ukaja ukaharibiwa tena jenaral TITUS wa RUMI Mwaka 70 AD.
Nilicho furahi hapa ni kwamba MAELEZO ya SHEKH SULLE yameenda sambamba kabisa na ya mchungaji MAGHEMBE bila kutofautiana hata kidogo ila tu tofauti ipo kwenye huyu anatumia neno HEKALU na mwingine anatumia neno MSIKITI πππ
Lakini nikaona tofauti za majina siyo isssue kubwa kwa sababu zote ni nyumba za IBADA π
SASA KUBWA KULIKO NI HII HAPA : Mchungaji maghembe anasema HEKALU la tatu bado halijajengwa ila mipango ya kulijenga imeshakamilika shida ni moja tu, mahali lilipokuwa hekalu pana jengo la dini nyingine π (masjid Al Aqsa) na wayahudi hawawezi kujenga hekalu tofauti na hapo.
Lakini SHEKH SULLE anasema MSIKITI wa Tatu ushajengwa tayari na ndiyo huo unauona sasahivi MASJID AL AQSA ambao uko Jerusalem.
Anasema msikiti huo ulijengwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA kutoka MADINA, SAUD ARABA mwaka 689-691 aliyeitwa ABD AL-MALICK πππ
Sasa hapa nishachanganyikiwa nashindwa kutambua ukweli uko wapo πππ
Kwa Wayahudi na Wakristo HEKALU/KANISA kwa mara tatu bado halijajengwa ila ndiyo lipo kwenye maandalizi ya ujenzi, na kinachokwamisha ujenzi huo hadi sasa ni uwepo wa jengi la dini nyingine, yaani msikiti wa AL-AQSA.
Lakini kwa waislam MSIKITI huo alio haribiwa na RUMI chini ya jenerali TITUS tayari umeshajengangwa kwa mara ya tatu na KHALIPHA ABD AL-MALICK kutoka MADINA tangu mwaka 689-691 AD.
Sasa kina nani wapo sahihi ? Huu mgogoro ni mgumu sana kwa kweli.
Je, wayahudi watakuwa tayari kuubomoa msikiti wa AL-AQSA ili wajenge hekalu lao ? yatakuwa maamuzi magumu na ni hatari yanayoweza kusababisha umwagaji damu mbaya sana, maana ni mgongano wa imani tofauti.
Lakini Je, Waislam watakubali msikiti wao ubomolewe na wayahudi ili wao wajenge HEKALU lao ?
SHEKH SULE anasema waislam wote duniani wapo tayari kuulinda huo msikiti kwa gharama yeyote ile.
Hapo ndipo kitendawili kilipo .