Mkwawa University inawaka Moto

Niko hapa tunahangaika kuzima moto kwa kutumia matawi ya miti,zimamoto nao wamekuja na kukimbilia kukata matawi ya miti,wamekuja kutuunga mkono.
 
Nipo hapa Iringa , Pembezoni ya Shule yangu ya zamani Mkwawa , kuna Jengo wanaita Hall 6 linaungua , jengo hili ni hostel za wanawake , bado moto unawaka sana ! bila shaka litateketea Lote !

Dah, my old school Mkwawa Complex....hilo Hall 6 ndiyo yale mabweni ya Magembe East n West au ni jipya?! Vipi, moto ushadhibitiwa?
Pole kwa wahanga.
 
Sad news,sorry to the victims and may God give you strength to overcome.With time everything will be fine but we must learn and let not this misery happens repeatedly within education institutions in the country.
 
Naona Tz imekuwa ni nchi ya majanga sasa kuanzia moto,mafuriko,ajari za barabarani zingine unaweza ongezea
Poleni Wahanga
 
polen sn wana mkawa kwa njanga hili,tupe ripoti ya chanzo cha moto huo pamoja na athari zake
 
Dah, my old school Mkwawa Complex....hilo Hall 6 ndiyo yale mabweni ya Magembe East n West au ni jipya?! Vipi, moto ushadhibitiwa?Pole kwa wahanga.
AHAHAAAA..MKUU HILO NI ILE ILOKUWA SHABAN EAST NA WEST KAMA UNAENDA MAKANYAGIO KWA MAMA USWEGE KUNUNUA MAANDAZI ...UKIKOSA UNAENDA KWA CHUWA PALE OPPOSITE NA MAIN GATE..KISHA MWALIMU NGUWI NA MWENZAKE MWAIPAJA AU HATA MWANGOKA WANAKUFUKUZA MBAYA ILI WAKIKUKAMATA WAKUPELEKE KWA MKUU WA SHULE MZEE MGOHAMWENDE ILI IJUMAA HASA SIKU YA SCHOOL BARAZA UKUTANE NA KICHAPO CHA SOBBIBO CAMP....AHAHAHA...LIVE LONG MKWAWA COMPLEX AND CASSINO...BOMBA TATU FULL MCHONGOMA.....nawakilisha MAK-EAST-SIDAZ BABYYYY
 
fire wanaruhusiwa kugoma?
wagome wasigome ngoma droo...haina madhara...maana tushawazoea kwenda location bila maji ...huo nao mie naona ni mgomo tuu kama mbunge kuingia bungeni na haongei anaishia kusinzia na kupiga makofi.....vyote ni migomo
 
chanzo cha moto ni nini?
wanafunzi hawajapewa boom soo walikuwa chumbani wanajipikilisha kwa jiko la mkaa then spark ikatokea ikachoma godoro lililokuwa chini la mwanafunzi waliye-mpa hifadhi baada ya kukosa hostel...si unajuwa room wanakaa wanafunzi 6-8..wanakuwa "wamebebana"
 
AHAHAAAA..MKUU HILO NI ILE ILOKUWA SHABAN EAST NA WEST KAMA UNAENDA MAKANYAGIO KWA MAMA USWEGE KUNUNUA MAANDAZI ...UKIKOSA UNAENDA KWA CHUWA PALE OPPOSITE NA MAIN GATE..KISHA MWALIMU NGUWI NA MWENZAKE MWAIPAJA AU HATA MWANGOKA WANAKUFUKUZA MBAYA ILI WAKIKUKAMATA WAKUPELEKE KWA MKUU WA SHULE MZEE MGOHAMWENDE ILI IJUMAA HASA SIKU YA SCHOOL BARAZA UKUTANE NA KICHAPO CHA SOBBIBO CAMP....AHAHAHA...LIVE LONG MKWAWA COMPLEX AND CASSINO...BOMBA TATU FULL MCHONGOMA.....nawakilisha MAK-EAST-SIDAZ BABYYYY

Dah, Mkuu kama nakukumbuka vile!! Mwalimu Nguwi mzee wa 'YAHHh' na mzee mwenyewe Mwangoka na kile kigugumizi chake cha kinyakyusa! Mwaipaja na zile tambo zake za kuponda 'comb' za Arts! Nakumbuka siku moja pale Assembly tulikuwa tunapewa dawa za kinga kwa ajili ya ugonjwa fulani wa mlipuko (siukumbuki), dawa zilikuwa ni vidonge vingi vya 'rangi mbili', sasa ticha Mwaipaja akatangaza kuwa waanye kunywa wa HKL wale wa PCM, PGM na PCB wawe wa mwisho, kisa eti kama zina madhara basi yawakute kwanza wa Arts!!
Ticha Nguwi na zile mbio zake, aliwahi fukuza mtu toka makanyagio hadi bwenini jamaa akajificha ndani ya 'tranker' Nguwi akamkosa akaanza kuongea mwenyewe mle chumbani (cube) eti "Yah, nimekukosa, lakini nimekukariri, yah ntakukamata tu, yahh..." jamaa si akabanwa na kicheko, akacheka ticha akamdaka...kuna siku assembly akawa anaongea "...yah, najua mnataka niseme 'yah', na mimi sisemi sasa, yah!" watu tulichekaje, hadi Mgohamwende mwemyewe alicheka.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom