Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

Mbona mkutano hauna mpangilio wengine wanaongea huku wamesimama, jamani tusikilizane basi mwenyekiti uko wapi sikuoni naomba niongee.
 
Mbona mkutano hauna mpangilio wengine wanaongea huku wamesimama, jamani tusikilizane basi mwenyekiti uko wapi sikuoni naomba niongee.

Haaa haaaa Tatizo vijana hawataki kutulia hawa . . . hebu Mavuvuzela yatulie kwanza

Amandla . . . .
Kidumu . . .
Power to . . . .
Haki sawa . . .

Quinine, naomba sasa utoe maoni yako . . . Mwenyekiti hatuna . . . Aiseeee
 
jamani mnisamehe nimechelewa foleni.....je naruhusiwa kuingia mkutanoni au mkutano ushaisha?....mbona naona mashati ya kijani,nyekundu,bluu aaah wengine jembe na nyundo ,mizani,vidole viwili,misalaba,vibalaghashia....au ......?
 
Karibu Mahesabu, siku nyingine ni vema utumie Boda Boda, maana zenyewe haziathiriki na fole.

Ingia Mkutanoni. Panda jukwaa kuu uanze kutoa maoni yako. Matusi hayaruhusiwi . . .
 
WoS, hatuna uhakika mpaka sasa labda tufanye sensa maalumu, lakini bado tunakukaribisha kutoa maoni ya "Agenda Kuu 2010" toka JF

Napendekeza:
" AHADI ZA WAGOMBEA: NI KWA VIPI TUTAPIMA UTEKELEZAJI WAKE UKIZINGATIA TUNAPEWA AHADI MPYA KILA SIKU ILHALI ZA ZAMANI HATA HAZIKUMBUKWI?"

( Inanikumbusha wakati nachumbiwa...ahadi kibaooo! ukishaingia ndani...utakoma kuringa!)
 
Back
Top Bottom