Yanayojiri kwenye Mkutano Mkubwa wa Hadhara wa CHADEMA Sumbawanga Mjini

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,722
218,276
Wakuu , Natanguliza Salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Mjini Sumbawanga leo kunafanyika Uzinduzi wa Mikutano ya Hadhara kwenye Kanda kabambe ya Nyasa , ambapo Vigogo wazito wa Chadema wakiongozwa na Mwamba Mwenyewe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe Watahutubia .

Taarifa za Uhakika kutoka Sumbawanga zinadokeza kwamba , tayari kwenye mji huo "KIMENUKA" Msisimko na Mzuka wa Wananchi uko juu mno , Viwanja vya tukio hilo Muhimu na nadra vimeanza kufurika umati wa Watu , na tunasisitiza kama uko karibu wahi mapema usije ukajuta kwa kukosa Nafasi ya kusimama .

Usiondoke JF Kwa habari zote za uhakika kutoka kwenye Mkutano huo .

FB_IMG_1672941151490.jpg

============
UPDATES :

Kiukweli Mapokezi ya Mbowe Mkoa Rukwa hayaelezeki wala hayaandikiki , Inadaiwa ni rekodi ya Mkoa huo .

Hii ndio hali ya viwanja vya mkutano huo ambavyo ni viwanja vya Shule ya Msingi Dua , Sumbawanga Mjini , Siongezi neno .

View attachment 2527516View attachment 2527518View attachment 2527519View attachment 2527521
 
Dah! Hii picha nimeiona humu JF miaka mitano iliyopita na leo ndio inatumika kuhamasisha maandamano na mkutano wa Sumbawanga!? Kweli Chadema sasa kwishnei na ndio maana Lissu aliamua arudi zake Ubeleji!
Karibu sana , kama uko karibu sogea viwanjani ili usije kujuta
 
Wakuu , Natanguliza Salamu , na baada ya Salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja .

Mjini Sumbawanga leo kunafanyika Uzinduzi wa Mikutano ya Hadhara kwenye Kanda kabambe ya Nyasa , ambapo Vigogo wazito wa Chadema wakiongozwa na Mwamba Mwenyewe , Laingwanan , Mtemi Isike ama Ustaadh Aboubakar Mbowe Watahutubia .

Taarifa za Uhakika kutoka Sumbawanga zinadokeza kwamba , tayari kwenye mji huo "KIMENUKA" Msisimko na Mzuka wa Wananchi uko juu mno , Viwanja vya tukio hilo Muhimu na nadra vimeanza kufurika umati wa Watu , na tunasisitiza kama uko karibu wahi mapema usije ukajuta kwa kukosa Nafasi ya kusimama .

Usiondoke JF Kwa habari zote za uhakika kutoka kwenye Mkutano huo .

View attachment 2527296

============
Wakora on stage for nothing
 
Mungu ibariki CHADEMA
 
Karibu sana , kama uko karibu sogea viwanjani ili usije kujuta
Wanong'oneze viongozi waache kuzungumzia WAFU bali watoe mwelekeo wa chama na namna walivyojipanga kupambana na mapungufu yanayooneshwa na Chama Cha Mambuzi.

Wakiendekeza kuhubiri habari za waliokufa watakinaisha watu kuja kwenye hiyo mikutano.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom