Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.

Chadema nendeni maeneo mengine kama.

Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.

Arusha leo ni mkutano maalum kwa ajili ya kupokea waliojiengua ccm, hata hivyo arusha wanastahili hii support ya chama kwani wanajitoa na wanajuhudi za dhati wengine hamjaamua mnasuasua!
 
Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.

Chadema nendeni maeneo mengine kama.

Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.
Mkuu hapo umenena nia sawa na kumlazimisha simba kula majani
 
Wamasai wengi na wazee wao wa kimila wako njiani kuja NMC kuvua gamba ni kutoka Simanjiro, Monduli, Kiteto na ngorongoro, ni zaidi ya 3,000.
 
nimeipenda....pia hii ianzie hata kwenye familia zetu..tutoe elimu ya kutosha ya M4C...ikifika 2015 kazi iwe rahisi
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

ushauri wako mzuri, "sangara hujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe"
 
Arusha leo ni mkutano maalum kwa ajili ya kupokea waliojiengua ccm, hata hivyo arusha wanastahili hii support ya chama kwani wanajitoa na wanajuhudi za dhati wengine hamjaamua mnasuasua!

Ndio mnasema mnawapokea wanachama wapya milioni 1 na madiwani saba?
 
Wana JF tunaomba updates maana saanane ndo hii. nini kinaendelea hapo Arusha? tunahitaji kujua nini kinafanywa na makamanda wetu. Tujuzeni jamani, ni muhimu.
 
Dah kumbe ni kweli Rejao kala Ban. Pole sana najua upo unachungulia kama Guest au with another ID sema ndiyo hivyo tena huwezi kufanya reply

[h=1]Rejao
user-offline.png

Banned
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
[/h]
 
Watu wanazidi kuwasili kwa wingi; 'red brigade' wanautayarisha uwanja: limeandaliwa eneo maalum watakapokaa wanachama wapya wanaotarajiwa kutawazwa leo kutoka Simanjiro, Kiteto, Longido, Monduli & Ngorongoro; eneo hili maalum limepewa jina MASAI PENTAGON kwa kuwa wilaya hizi 5 za Arusha & Manyara wanakotoka wengi wa hawa, wenyeji wake ni Wamasai.

Pia kuna mapipa maalum ya taka ambayo kwa leo kazi yake ni kuweka chochote kinachohusu CCM iwe ni kadi, kanga, skafu n.k

KITUKO:
jamaa mmoja anatembea na mbwa wake watatu, mmoja kambeba mgongoni kama mtoto anacheza wimbo wa 'people's power'

bado hajawasili kiongozi hata mmoja ila tayari wanaCCM kadhaa wanarudisha kadi ambazo zinatiwa kwenye mapipa!
 
Bado ritz! Achezee jukwaa aone. Lakini ninavyomfahamu atakuwa kashacreat another ID. Sasa hivi anatuchora tu. Anyway ngoja nicheki status yake

Kama hizo Ban unazitoa wewe sawa JF sio mali ya Chadema TUMBIRI Mkuu wangu Rejao kama una ID ingine ni-PM
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom