Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha

Nipo live ktk mkutano hapa,mc anasema wapo wazee wa kimila Wa kimasai toka Monduli/Kiteto/Manyara watakuja Leo ktk mkutano huu.Watu ni wengi na wanaendelea kuja kadiri muda unavyozidi kwenda.Katika pita pita Yangu sijabahatika kuwaona wazee Wa intelijensia(police),hata hapa maeneo wanayozoea kukaa(CRDB bank)sijawaona labda Kama wamebadili maeneo..Mkutano mpaka sasa hivi haujaanza rasmi,mpaka sasa hivi amani imetawala.
 
Watu wanazidi kuwasili kwa wingi; 'red brigade' wanautayarisha uwanja: limeandaliwa eneo maalum watakapokaa wanachama wapya wanaotarajiwa kutawazwa leo kutoka Simanjiro, Kiteto, Longido, Monduli & Ngorongoro; eneo hili maalum limepewa jina MASAI PENTAGON kwa kuwa wilaya hizi 5 za Arusha & Manyara wanakotoka wengi wa hawa, wenyeji wake ni Wamasai.

Pia kuna mapipa maalum ya taka ambayo kwa leo kazi yake ni kuweka chochote kinachohusu CCM iwe ni kadi, kanga, skafu n.k

KITUKO:
jamaa mmoja anatembea na mbwa wake watatu, mmoja kambeba mgongoni kama mtoto anacheza wimbo wa 'people's power'

bado hajawasili kiongozi hata mmoja ila tayari wanaCCM kadhaa wanarudisha kadi ambazo zinatiwa kwenye mapipa!

mmmmmhhh!!!!
KWENYE MAPIPA? nimeipenda sana hii!!
 
Nimeipenda hiyo MASAI PENTAGON, hongeni ndugu zetu wamasai popote pale mlipo. Mmekuwa mfano bora wa mabadiliko. Nina uhakika hata kwetu huku kusini watawafuata. "M4C Daima"
 
Natamani sn kufika,ila nipo mbali.Ile sayansi ya kiafrika huwa inatumika usiku tu?maana nasikia huwa ni usafiri wa fasta kama air41 ngoja nimcheki mmagamba 1 aniekekeze fundi mkali,maana wenyewe wanawatumia sn.KUNA KIPINDI HATA IKULU ILIKUWA INA MTAALAM MAALUM WA AINA HII.
 
Wakuu kama kawaida jaribuni kutupa mi updates ya nn kinajiri kwa sasa kupitia picha kadharika
 
kwa ninavyoijua NMC na CHADEMA, watu kuwa wengi kiasi hiki mapema hivi, maana yake leo historia itaandikwa hapa!
 
hapa sidhani kama kuna update yoyote,raia zimeingia mitini
 
du magamba hawana lao arusha hata cdm wasimamishe jiwe watu wamepagawa utadhani wanagaiwa mapesa
 
Nasikiliza Arusha mambo hapa LIVE, kuna ngoma zinagongwa kinyama hapo NMC..

HIP HOP concious za ukweli!!

Lol!! Kama niko Arusha aisee!!
 
Ambao mko mbali kama mimi fuatilia TuneIn gonga LIKE sikiliza ukweli...
 
Back
Top Bottom