Makonda anashambuliwa kama ilivyokuwa kwa Kawawa enzi za Nyerere, Waswahili husema Mti wenye Matunda!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,151
Makonda ni mkuu wa mkoa tu ambaye haingii kwenye kikao chochote Cha Maamuzi ya Kitaifa iwe Baraza la Mawaziri wala Kamati Kuu ya CCM lakini anashupaliwa ajabu

Ni vema mkajikita kwenye kujadili Uchumi wa Nchi, Katiba mpya na Uchaguzi mkuu wa 2025

Makonda aliteuliwa na Kikwete Kuwa DC Kinondoni (Wilaya ya Viongozi Wakuu), akateuliwa na Shujaa Magufuli Kuwa RC DSM ( Ngome ya Uchumi) na ameteuliwa na Rais Samia Kuwa RC Arusha ( Ngome ya Utalii)

Hamjiulizi tu kwanini Marais Wote wa Enzi yake wanamkubali?

Niishie hapo
 
Michawa chawa ipo mingi mijitu imekaa kichawa tu kama kunguni yaani uchawa +chawa mwenye uzi ww ni lichawa
 
Makonda ni mkuu wa mkoa tu ambaye haingii kwenye kikao chochote Cha Maamuzi ya Kitaifa iwe Baraza la Mawaziri wala Kamati Kuu ya CCM lakini anashupaliwa ajabu

Ni vema mkajikita kwenye kujadili Uchumi wa Nchi, Katiba mpya na Uchaguzi mkuu wa 2025

Makonda aliteuliwa na Kikwete Kuwa DC Kinondoni (Wilaya ya Viongozi Wakuu), akateuliwa na Shujaa Magufuli Kuwa RC DSM ( Ngome ya Uchumi) na ameteuliwa na Rais Samia Kuwa RC Arusha ( Ngome ya Utalii)

Hamjiulizi tu kwanini Marais Wote wa Enzi yake wanamkubali?

Niishie hapo
Wacha awaburuze wamelala sana hivi makonda kila kona!
 
Makonda ni mkuu wa mkoa tu ambaye haingii kwenye kikao chochote Cha Maamuzi ya Kitaifa iwe Baraza la Mawaziri wala Kamati Kuu ya CCM lakini anashupaliwa ajabu

Ni vema mkajikita kwenye kujadili Uchumi wa Nchi, Katiba mpya na Uchaguzi mkuu wa 2025

Makonda aliteuliwa na Kikwete Kuwa DC Kinondoni (Wilaya ya Viongozi Wakuu), akateuliwa na Shujaa Magufuli Kuwa RC DSM ( Ngome ya Uchumi) na ameteuliwa na Rais Samia Kuwa RC Arusha ( Ngome ya Utalii)

Hamjiulizi tu kwanini Marais Wote wa Enzi yake wanamkubali?

Niishie hapo
Usimweke huyu zandiki kwenye kundi la watukuka kama kina Sokoine!
 
Back
Top Bottom