Mkutano wa Makonda Arusha ulidoda

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
18,930
31,172
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.

CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la Kilombero.

Makonda hakuwa na jambo la maana kuongea zaidi kutafuta kiki za kupanda Bodaboda.

Namshauri Makonda apeleke upuuzi wake Koromoje huku Arusha watu wanajua wanafanya nini, wanataka nini...
 
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli,Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.
Sijakaelewa umesema Arusha ni nchi wa wajanja halafu hapo hapo tena ni wajinga wajinga
 
Kama ilivyo desturi Arusha ni nchi ya wajanja hawataki ujinga. Licha ya kukusanya wajinga wajinga kutoka Karatu, Monduli, Longido, Loliondo, Arumeru na Karatu bado mkutano ulipwaya sana.

CCM kwakujua Makonda si lolote si chochote walikimbia uwanja wa Sheikh Amri Abeid na kufanya mkutano Soko la Kilombero.

Makonda hakuwa na jambo la maana kuongea zaidi kutafuta kiki za kupanda Bodaboda.

Namshauri Makonda apeleke upuuzi wake Koromoje huku Arusha watu wanajua wanafanya nini, wanataka nini...
Nyie nyumbu mna hasira sana! Kila mtu jana aliona watu walivyokuwa wengi hapo Arusha!
Mbona nyinyi maandamano hayana watu hatusemi! Licha ya kuokotezana nchi nzima bado mnapambana na nyomi la Makonda1
 
Back
Top Bottom