Mkutano wa CHADEMA viwanja vya NMC Arusha



-Jamaa wa intelijensia vipi? Wameshaanza kuranda randa maeneo ya karibu,
migari yao ya kuwasha, n.k.
.

Mkuu umenimaliza hapa.
Anyway, umeme hatimaye umerudi, na hofu ya kutosikiliza matangazo live kutoka huko imepungua kwa sasa.
 
Nimevunja shughuli zilizonileta Dar sasa niko KIA nawahi NMC kusikiliza manabii waliotumwa kukomboa nchi hii
 
we zuzu kweli, moto huu unasambaa tunataka ukolee ile tupate wasambazaji wengi, mambo yapo ki strategy, usifikiri chadema wanaakili mgando kama mwenyekiti wa chama chako anayeongea na wazee wa magomeni na kariakoo kila anapoana maji ya shingo. chupi zitawabana sana mwaka huu
 
nasikia James Millya ameachana na uamuzi wake wa kuhamia CDM na amekiomba radhi chama chake cha CCM. na hii ni baada ya Nanyaro kumwambia atakaa benchi kwa muda usiopungua miaka 5 bila hata cheo cha m/kiti wa kata CDM.


CHITANDA AT WORK!

Hii inaitwa ni ngumu kumeza!
Mafisadi kwisha mambo yao!
 
Makamanda mliopo Arusha kulikoni mbona kima katika hili tunata updates za uko nini kinaendelea mkutano si umeanza saa 4 hii? Tuwekeeni hapa kinachoendelea maeneo hayo.

Kama hauko Arusha ulikuwa na sababu gani ya kuanzisha thread? Tupo Makini kurusha kila kinachoendelea, but kupitia Thread ya DALAILAMA
 
Kila siku Arusha tu Makamanda jaribuni kujitanua kitaifa zaidi kuliko kikanda.

Lini tutasikia Chadema wameweka kambi maeneo mengine kama.

Kilwa.
liwale.
Ruangwa.
Nachingwea.
Newala.
Nanyumbu.
Tandahimba.
Ngara.
Karagwe.
Muleba.
Kyerwa.

Kwani ni lazima waweke maeneo unayofikiria? Wao wana mapango na makusudio ya kuweka kambi eneo fulani kutokana na waliyoona, sasa wewe unajifanya mshauri wa CDM? Kaweke wew kambi maeneo unayofikiri yanafaa kwako au ishauri CCM ikaweka kambi huko.

Umeona kimeumana ndo maana unashauri wahame ili upumue au?
 
Wakuu tulieni mkutano unaanza saa 8 kinachoendelea sasa watu wananunua Skafu za cdm kwa fujo na cd zenye nyimbo za ukombozi.
 
Najua mko wengi ila wenye uwezo wa real live updates ni wachache na sidhani kama wewe ni miongoni mwao!

kamanda taratibu mkutano ndiyo unakaribia kuanza naona watu wanazidi kuongezeka...
 
Chadema kuna maeneo muhimu mnatakiwa kuweka kambi kama chama hivi kila siku Arusha mbaya zaidi mnadanganya leo mnasema kuna watu Milioni 1 wanachukuwa kadi za Chadema.

Chadema nendeni maeneo mengine kama.

Pangani.
lushoto.
Korogwe.
Muheza.
Kiindi.
Pangani.
Mkinga.

Hapo ni wapi mkuu?
 
My Friend Rejao ulisema unaishi maeneo ya Kikatiti. Tunakuomba usikose huo mkutano ili ukumbolewe kifikra.
 
M4c karibuni lindi, mtwara na masasi...

Arusha somo lishaeleweka, tuleteeni na sie wa kusini hilo somo la m4c.
 
Kwa kuwa DUDUZ kaonyesha dharau kwangu..ngoja nisitishe mchango wangu jf kwa leo..naishia hapa maana kuna wenye uwezo mkubwa.

Mkuu DALAILAMA,

DUDUZ ni mmoja tu, wapo members wengi wa Jf watategemea updates yako weka pembeni hasira
 
Back
Top Bottom